Angalia usanii wa wanaojiita wanaharakati

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,201
Reaction score
8,144
Polepole hakua mjinga atoke cuba na kuja nchini kuhamasisha UKOMBOZI ilihali akijua usalama wake upo rehani, hii ni mbinu ya UKOMBOZI lazima uwe tayari kuwa sadaka ili wengine waone dhamira ya dhati huwezi waambia watu tupo tayari kufa kwa ajili ya nchi yetu wewe upo abroad nje ya nchi unaishi kwenye nyumba ya bilioni 12 na unatembelea gari ya milioni 491 😅😅

Zaidi pia wakiwa huko nje ya nchi wanahamasisha uhalifu kutaka vijana wawe waasi, wanatukana ovyo matusi ya nguoni kiufupi wamechanganyikiwa.
 
SAMIA NA FAMILIA YAKE NI WAHALIFU WA KIMATAIFA AWEZI KUTOBOA SHIKA HAYA MANENO YANGU ..NDIYO MAANA ANATUMIA NGUVU ZOTE KUJIBAKISHA MADARAKANI ILI KUVUTA MUDA ..MAANA NDIYO NJIA PEKEE KWAKE KUCHELEWESHA ANGUKO LAKE ...
 
Polepole hakua mjinga atoke cuba na kuja nchini kuhamasisha UKOMBOZI ilihali akijua usalama wake upo rehani, hii ni mbinu ya UKOMBOZI lazima uwe tayari kuwa sadaka ili wengine waone dhamira ya dhati huwezi waambia watu tupo tayari kufa kwa ajili ya nchi yetu wewe upo abroad nje ya nchi unaishi kwenye nyumba ya bilioni 12 na unatembelea gari ya milioni 491 😅😅

Zaidi pia wakiwa huko nje ya nchi wanahamasisha uhalifu kutaka vijana wawe waasi, wanatukana ovyo matusi ya nguoni kiufupi wamechanganyikiwa.
Kwani, ulilenga kusema nini?
 
Africa hamna wapinzani kuna vibaraka wa wakoloni emu fikilia unataka kuikomboa tanzania unakimbilia kenya mara uko ubelgiji wengine midomo tu ila atujawai waona bongo wakitekwa kidogo wanakimbilia zimbabwe🥲 wenzetu waliweza kutuchafua kwa kufuta historia yetu wakatutenganisha wakatufanya iwe ngumu kutembeleana wakaeka mipaka na sera zao mpka leo tupo kwa wakoloni na wapinzani ndo mawakala wa wakoloni
 
SAMIA NA FAMILIA YAKE NI WAHALIFU WA KIMATAIFA AWEZI KUTOBOA SHIKA HAYA MANENO YANGU ..NDIYO MAANA ANATUMIA NGUVU ZOTE KUJIBAKISHA MADARAKANI ILI KUFUTA MUDA ..MAANA NDIYO NJIA PEKEE KWAKE KUCHELEWESHA ANGUKO LAKE ...
Kwahiyo CHADEMA wakiwapa nchi ndio utatoboa?

Hao CHADEMA ruzuku za Chama tu zilitafunwa na wachache alafu ndio wapewe nchi? Labda kama kitafika kipindi Watanzania wote wakawa kilaza kama wewe ndio hilo litawezekana

Samia ndio raisi pekee aliyeajili vijana wengi ndani ya miaka yake 4 ya kwanza

Samia ndio raisi pekee akiyeongeza posho za wanafunzi kutoka elfu 5 Hadi 10 Kwa siku
 
Kweye hii nchi ambayo uhai wa mtu si muhimu kuliko madaraka unataka mwanaharakati akae kufanyanini izo harakati za karne zilizopita unazileta leo huwezi kuchukulia mfano Mo29
 
mo29 mkoloni alionesha ni kiasi anatumiliki
 
Yesu alitoka kwenye nchi yake na kwenda nchi ya Misri, mpaka pale yule Mfalme aliyetaka kumuua alipokufa ndipo alirudi tena.
Watu wanadhani kukomaa ndio ushujaa... ni ujinga wa hali ya juu. You need to survive for you to fight.
 
mo29 mkoloni alionesha ni kiasi anatumiliki
mwanaharakati ni sahihi kabisa kukaa nje ya nchi ili kuendeleza harakati kwa dhama hizi hata ikibidi apewe hifadhi mbinguni kabisa ili kuhakikisha usalama wake pia binadamu wanamatatizo mfano kwa polepole walilalamika kuwa yupo nje baadae kakamatwa wakasema aliijia nini
 
Polepole hakua mjinga atoke cuba na kuja nchini kuhamasisha UKOMBOZI ilihali akijua usalama wake upo rehani, hii ni mbinu ya UKOMBOZI lazima uwe tayari kuwa sadaka ili wengine waone dhamira ya dhati huwezi waambia watu tupo tayari kufa kwa ajili ya nchi yetu wewe upo abroad nje ya nchi unaishi kwenye nyumba ya bilioni 12 na unatembelea gari ya milioni 491 😅😅

Zaidi pia wakiwa huko nje ya nchi wanahamasisha uhalifu kutaka vijana wawe waasi, wanatukana ovyo matusi ya nguoni kiufupi wamechanganyikiwa.
SAMIA NI MUUAJI
SAMIA NI MHAINI
SAMIA SIYO RAIS....
 
Kwahiyo unataka Sativa ,Maria ,Mange ,Rachel ,Roma ,Ansbert ,PCK wote waje Bongo wauawe kama PolePole? Kwani Laurent Kabila wakati anapigania Congo(Zaire) kumuondoa Dikteta Mobutu alikuwa ndani ya Congo(Zaire)?
 
Back
Top Bottom