Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Simba chawene na matangazo ya kubadili Jeshi la POLISI liwe Jeshi la huduma, Badala ya keshi la vulumai, swali fikirishi nani anae toa amri JESHI liwe hivyo? Tumekubali Jeshi letu limetumiwa kama...
4 Reactions
2 Replies
116 Views
Rais Samia, Kwanini Masheikh wa awamu ya sita wanatukataza kushiriki Vyakula vya Christmas? Watanzania hatujazoea. Na rais ni mtu wa. Dini zote. Mbona hukemei? Rais ni wa wote, haijalishi...
7 Reactions
48 Replies
1K Views
Chadema ndicho chama pekee kikubwa kuliko vyote ambacho kina support ya wananchi kwa mapemzi ya kutoka moyoni. CCM iko kwa sababu ya polisi ma watu kutafuta RIZIKI. CCM ikitoka madarakani...
6 Reactions
3 Replies
207 Views
Naona siasa za HOJA Kama either zimekufa au watu wameacha kabisa kupambana na tatizo Ila wanapambana na MTU aliyeibua tatizo inafikirisha KITENDO CHA WATU KUTUKANA MATUSI NI ISHARA KUWA UWEZO WA...
1 Reactions
53 Replies
594 Views
BBC: Habari za polisi wa Tanzania kuhusu ukatili wa Oct 29 zime somwa sana kwenye chombo chao hicho cha kimataifa cha BBC.
8 Reactions
12 Replies
492 Views
Kwa kuwa tumewataka waliosmamia na kupitisha Uchaguzi. Huu watubu kwa Nini tusiwatenge wakina nchimbi na viongozi wote wanao tokana na uchaguzi wa Oktoba
3 Reactions
12 Replies
223 Views
"Siku zote katika chama cha siasa tarajia kuwa na watu wenye hoja mbadala zenye nguvu, kutakuwa na watu wenye utofauti katika kuwasilisha hoja zao, kutakuwa na wenye kupinga kabisa mawazo ya chama...
0 Reactions
0 Replies
177 Views
Bila shaka humu Kuna watumishi wa Mungu. Mtumishi wa Mungu ukiwa kanisani ongea kile ulichofunuliwa na Mungu acha kujitengenezea agenda zako za kisiasa unatukera sana, kwasababu huna uwezo wa...
2 Reactions
48 Replies
647 Views
Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na marehemu Matiko Matare. Ni rahisi kukosoa ukiwa...
13 Reactions
139 Replies
2K Views
Mange atakuja kuwa mtu mkubwa sana na kusomwa habari zake kwenye Tanzania ya kesho kutokana na mapigano yake dhidi ya wauwaji na watekaji. Mange anapigana na watekaji na wauwaji ambao wanaharibu...
7 Reactions
30 Replies
613 Views
Narejea kusisitiza kwamba, CCM ndiyo watakaosababisha vita ya wenyewe kwa wenyewe Tanzania Kitendo cha Hangaya kutangaza 2024 kuwa vyombo vyote vya ulinzi na usalama kujiandaa kijeshi kwa ajili...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
Namuona Mungu akinena ndani ya kinywa cha mtumishi wake Dr. Malasusa, hakika nimeponywa nafsi nimeuona utume wa Mungu ndani ya Malasusa. Ee! Mungu wetu Asante kwa kutuletea mtumishi huyu...
0 Reactions
8 Replies
241 Views
Baba Mtakatifu, Ninaandika kwa dharura kutoka Tanzania, nchi ambayo historia yake imesimama kama mfano wa kuvutia wa mshikamano wa kidini. Zaidi ya miongo sita, Wakristo na Waislamu wameishi kama...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Siku zote namshukuru mungu Kwa vile nilivyo Wala sitamani kuwa yeyote zaidi ya Mimi mwenyewe. Hata kuwa Elon Musk sitamani. Imagine kama UNGETAMANI kuwa kama polepole wa kipindi Cha ma V8 je Leo...
2 Reactions
3 Replies
156 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna mtu alikula pesa za Mabeberu na maadui zetu kwa ajili na kwa lengo la kutaka kumpindua Rais Samia pamoja na kuleta ama kuchochea machafuko hapa Nchini yatakayo...
3 Reactions
80 Replies
1K Views
Kwa tafasiri ya wale wahubiri Amani wa 'kijani', kusifia na kusifia kila jambo hara uovu ndio uzalendo.
2 Reactions
3 Replies
136 Views
Katibu Mkuu wa Barala La Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padre Dkt. Charles Kitima akizungumza jana Disemba 19, 2025 wakati wa akimtambulisha Naibu Katibu Mkuu mpya wa Baraza hilo huku...
6 Reactions
93 Replies
3K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Mahakama ya Tanzania litaendelea kuwawezesha Wafungwa na Mahabusu kusikiliza mashauri yao...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Shangazi wa Taifa Maria, pole sana kwa harakati zako za kupigania haki, na Tanzania yenye demokrasia ya kweli, maendeleo kwa watu na kupinga ufisadi na ubadhirifu na kila aina ya dhulma nchini...
21 Reactions
57 Replies
2K Views
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema katika kulinda maslahi ya wakulima wa Mbaazi na dengu nchini Tanzania, Serikali...
1 Reactions
4 Replies
509 Views
Back
Top Bottom