Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakazi wa Kijiji cha Nindi, Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe, wamekubaliana kuchangishana fedha kiasi cha Shilingi Milioni 25 kwa lengo la kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa...
1 Reactions
1 Replies
184 Views
Nimefurahi kukuona ukiwa karibu sana na Wazee wa kutoka Mkoa wangu Tukuka wa Mara (Musoma) kwani huko ndiko kuna Vipanga (Geniuses) wengi halafu ni Watu Wakweli, wasio yumbishwa, wasio Wanafiki...
3 Reactions
24 Replies
622 Views
Kwakifupi nimekaa hapa nasubiri uchaguzi mkuu. Ujumbe: Ile digidigi itoke huko ilipojificha tule nyama.
10 Reactions
12 Replies
292 Views
Nyie wote ni mashahidi namna ambavyo humu jukwaani kumejaa hoja za kutetea utekaji, mateso, ufiraji na hata mauaji yanayotekelezwa dhidi ya raia wa Tsnanzania. Mmeshuhudia namna wanavyojenga hoja...
9 Reactions
15 Replies
304 Views
Kura zilipogwa kwa uwazi na Diwani Kapembe kushinda kwa aslimia 70. Manunga alishawachosha watu wa Chato. Anatuhuma nyingi sana ikiwemo ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi. Kapembe ameahinda kwa...
2 Reactions
5 Replies
247 Views
Wakili Jebra Kambole anasema: Mahakama imepanga kusikiliza kesi ya Kupinga Uteuzi wa tume tarehe 10/02/2026 baada ya muda wa Tume kuisha. Bila kujali maslahi mapana ya kesi na kuzingatia hati ya...
10 Reactions
29 Replies
739 Views
Luka 13:32 Yesu akawajibu, “Nendeni mkamwambie huyo mbweha hivi: ‘Leo na kesho ninafukuza pepo na kuponya wagonjwa, na siku ya tatu nitakamilisha kazi yangu.’ Kabla ya uchaguzi, Wati walishasema...
7 Reactions
17 Replies
399 Views
Serikali imetangaza mpango wa kuanzisha Youth Special Economic Zones (YSEZ) utakaotekelezwa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo, kwa lengo la kuwawezesha vijana kuingia kwenye uchumi wa...
7 Reactions
60 Replies
1K Views
Uongozi wa Samia hautakuwa kama miaka iliyopita na tusahau mambo kurudi kama zamani. Samia amepoteza heshima kwa chama chake, nchi yake na wananchi wake. Nani atamweshimu mtu fake! Yaani ni sawa...
10 Reactions
16 Replies
550 Views
Merry Christmas to all good people. Kama unaona hii salamu haikuhusu, basi sio mbaya. Mimi sina hiyana. Salaam Alaikum. Hii salamu ukiondoa lugha, kimuktadha haina mipaka. Ni kwa vile tu...
2 Reactions
9 Replies
235 Views
Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru amesema bila ya kuwa na tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya, vyama vya upinzani visahau kushinda urais katika Uchaguzi Mkuu ujao. Kauli ya...
5 Reactions
368 Replies
33K Views
Nilikaa kimya kwa muda baada ya Waraka wa Kanisa Katoliki, nilifanya hivyo ili kuruhusu mitazamo ya wengine katika tafakuri za waraka huu. Kabla sijachambua Waraka huo, Kwanza nithibitishe kuwa...
23 Reactions
91 Replies
10K Views
Bila kuongeza maneno, isome ripoti nzima hii: TAARIFA YA UCHUGUZI JUU YA KUTEKWA NA KUUMIZWA KWA ABSALOM KIBANDA IMEWASILISHWA NYUMBANI HOTEL - TANGA MEI 30, 2013 ​ UTANGULIZI: Usiku...
3 Reactions
183 Replies
22K Views
Wadau, mimi nilishajua kuna siku nitakufa. Lakini kabla sijafa nasema bila Polisi na Usalama wa Taifa kumkamata mtu anaitwa Joseph Ludovick, hawatakaa kamwe wajue kilichojificha kwenye sakata la...
62 Reactions
263 Replies
26K Views
Kwa kimombo tungesema! Did we mess up with wrong generation? Jibu linaweza kuwa ndio ama hapana kulingana na mitazamo, fikra na maono! Ila kiuhalisia watoto wa mjini wanasema tumeingia cha city...
12 Reactions
47 Replies
1K Views
Wameunda tuma ili kujua walio na ushidi ni akina nani, muhusika wa mauwaji na ndie chanzo hawezi kuunda tume kwa lengo zuri.
0 Reactions
4 Replies
164 Views
Mtu amekemea utekaji na mauwaji alafu linatokea jitu heti limeenda kumsemea kwa papa alafu watekaji na wauwaji haliwasemi hivi zimo ? Haya mambo yanatia hasira sana wanafikiri sisi tunafanya...
2 Reactions
12 Replies
214 Views
Nimeipenda sana picha ya bondia Hassan Mwakinyo, ikimuonesha Simba wa vita vya haki nchini, Tundu Antiphas Lissu, na Simba mwingine wa vita vyake, Samia Suluhu Hassan. Kwa maono ya kinabii...
6 Reactions
16 Replies
453 Views
https://www.facebook.com/share/v/17qxXJt2YN/ kuna video nyingi sana, huo mfano mmoja. Msikilizeni huyu dada, anaelezea kwa kirefu kiasi gani maandamano yalivyoandaliwa na baadhi ya diaspora wa...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Kauli na vitendo vya Mh. Simbachawene vinanipa matumaini kuwa huenda tatizo la police kuwa kero kwa wananchi likawa limepata ufumbuzi. Katika kipindi...
1 Reactions
9 Replies
273 Views
Back
Top Bottom