Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mujibu wa GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA la Tarehe 5 Juni, 2020 SEHEMU YA TANO Ukururasa wa 14. Angalia Kiambatisho. 5.2.2 Kamati ya Kitaifa Itakuwa na mamlaka ya kusikiliza...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna mgombea mmoja wa kiti cha Urais amekuwa akinukuu katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (toleo la 20 Juni, 2005) ibara ya 16 mara anapojibu swali la waandishi wa habari...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Nimepokea kwa mikono miwili sera ya CHADEMA, hasa kuhusu mfumo wa elimu. Sera yetu ya elimu na mfumo huu wa elimu siyo mzuri. Tuna mfumo wa elimu ambao umejikita kwenye kukariri ili kujiandaa na...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa miaka 5 mfululizo CCM imefanya mambo mengi ambayo yangetosha kuwa mabango yao ya kampeni kwenye uchaguzi wa 2020. Kazi zilizofanyika awamu ya tano pia zilijumuishwa kwenye wimbo wa Harmonize...
8 Reactions
29 Replies
3K Views
Moja ya kazi nzuri aliyofanya Mheshimiwa Rais Magufuli ni kupiga vita ufisadi na rushwa kwa vitendo. Mashauri makubwa ya ufisadi 407 yamepelekwa mahakama ya mafisadi na mashauri 385 yamesikilizwa...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM Dkt. Magufuli amewatakia kheri wazee wote katika kuadhimisha siku ya wazee duniani. Kadhalika mh Tundu Lisu mgombea urais wa JMT kupitia Chadema amewatakia kheri...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna wakati hapo nyuma, ambao baadhi yetu tulitilia Shaka Sana organization ya Chadema ktk Mambo kadhaa wakati huu wa kampeni. Kuna Mambo mengi wamefanyia marekebisho nakubali na Mambo yako sawa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Huu hapa ni mkutano uliopigwa leo kwenye viwanja vya Mapofu , Wingwi kisiwani Pemba , Maalim Seif si mtu wa kawaida hii ni Taasisi , haiwezekani kwa mtu wa kawaida kuungwa mkono kwa kiwango hiki .
16 Reactions
13 Replies
4K Views
Wale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini? Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna...
5 Reactions
88 Replies
5K Views
..sina uhakika kama baada ya hotuba hii ya Zitto Kabwe wananchi wa Kigoma wataipigia kura CCM.
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Kazi nzuri bw. Lissu, bila kujali maamuzi ya wapiga kura na bila kujali ubora wa sera ambao kwa kweli kila chama kuna udhaifu. Lakini, wako wapi unaowategemea kushika nafasi za ubunge? Sioni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Najaribu kupima upepo wa siasa katika makundi ya kijamii kuanzia CCM wenyewe wengi hawampi Magufuli kura ingawa wanamchekea dharani, Makundi ya wafanya kazi, Wakulima na Wafugaji, Wavuvi na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni jambo la kushangaza na kutia shaka kuona wataalam na wanasayansi wa Tanzania wanavyopinga uchunguzi wa Rais kwa hoja dhaifu. Hii inatia shaka juu ya uwezo wa wataalam tulio nao hapa nchini...
15 Reactions
138 Replies
10K Views
Hivi karibuni chama cha NCCR-Mageuzi kilizindua Ilani ya Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ambayo kiujumla wake ilibeba ajenda takribani 10. Ajenda hizi ni pamoja na: 1. Muafaka wa Kitaifa 2. Katiba...
4 Reactions
9 Replies
955 Views
The government decided that Sida should produce a basis for a new strategy for development cooperation with Tanzania. The instructions have a strong focus on democracy and human rights. It will...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Fedha na Mipango yatiliana saini makubaliano ya Mkopo wa Shilingi Trilioni 3.3 za kitanzania kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa reli ya...
11 Reactions
381 Replies
43K Views
Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa . Endelea kutegea sikio === Mgombea wa Urais kupitia tiketi ya Chama cha Demakrasia na Maendeleo (Chadema) Ndugu Tundu Lissu leo amekutana na...
35 Reactions
43 Replies
11K Views
Mkaguzi na Mdhibiti mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) mstaafu Ndugu Ludovick Utouh amesema kwamba ana furaha baada ya kuona mambo aliyokua anashauri yafanyiwe kazi ili kuokoa fedha za Serikali...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Jamani sisi wanyonge tusio na sauti tupaze sauti zetu angalau na sisi tusikilizwe mahitaji yetu na hawa wagombea... Kwa wagombea, Mimi namtaka kiongozi mwenye msimamo usioyumba kwenye kutetea...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Siungi mkono kutandikwa risasi huyu Mbunge wa huko Singida, lakini tatizo lake kubwa ni kukosoa bila kuwa na mbadala ya kile anachokikosoa. Amejitengenezea maadui kwa kuwatukana, kuwadhalilisha...
20 Reactions
125 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…