JokaKuu Platinum Member Jul 31, 2006 30,442 55,017 Oct 1, 2020 #1 ..sina uhakika kama baada ya hotuba hii ya Zitto Kabwe wananchi wa Kigoma wataipigia kura CCM.
safuher JF-Expert Member Feb 11, 2019 11,161 15,839 Oct 1, 2020 #2 Katika watu nikiwasikiliza naona kuna kitu naongeza kichwani basi Zitto na mzee Lissu.
mugah di matheo JF-Expert Member Jul 28, 2018 6,276 12,335 Oct 1, 2020 #4 Hakika nchi hii tumejaliwa kuwa na vijana wenye maono makubwa ikiwemo Zitto