Hivi ni lini Gwajima alikoenda CCM na kadi alipata lini?

Prof Koboko

JF-Expert Member
Aug 15, 2020
350
2,549
Wale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini?
Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna kitu wanatafuta. Hatuwezi kuwapa kura hawa.
 
Na usipoangalia, mwandishi utakufa Kwa presha, sijui wewe ndio Mdee??

Hizo video hazikusaidii, kapige Kampeni wewe, mbona unataka kuwa mjinga na mwenye kukata tamaa Halima!!!
 
Gwajima ni mdini na mbaguzi wa Kikabila sijui ccm waliweka sababu ya kabila lake au sababu anajua sana kutusi Wakatoliki, Waislam, Lutheran, Anglican, Morovia na AIC
 
Kagombee wewe maana naona kelele nyingi kutamani usichoweza
Wale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini?
View attachment 1586576
Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna kitu wanatafuta. Hatuwezi kuwapa kura hawa.
 
Usicho fahamu nchi hii watu wenye umri kuanzia miaka 50 kwenda mbele 90% alisha miliki au wanamiliki kadi za ccm, ccm ni mfumo.
 
Yote hayo umeandika ili Tumchukie Gwajima si ndio
Haaaaàaaaaa inatakiwa uelewe sisi Tushampenda na Gwajima Kawe anachukua
 
Wale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini?
View attachment 1586576
Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna kitu wanatafuta. Hatuwezi kuwapa kura hawa.
Kawe tunaenda na Gwajima kwa hali yoyote ile hata mkileta vikwazo gani tumechoka kukaa miaka 10 bila maendeleo kwenye jimbo letu la Kawe.
 
Gwajima ni mdini na mbaguzi wa Kikabila sijui ccm waliweka sababu ya kabila lake au sababu anajua sana kutusi Wakatoliki, Waislam, Lutheran, Anglican, Morovia na AIC
Kwasababu anaona ambapo wewe huoni ningeweza kusema kwasababu ya akili yako ndogo ila isingependeza kulitumia mwenywe akili anangalia miaka 10 mbele na sio wiki moja
 
Back
Top Bottom