Rais Magufuli unatukosea sana watanzania

uchaguzi maana yake ni kuchagua kiongozi bora miongoni mwa wale wanaogombea, wananchi ndio tunaelewa yupi ni kiongozi sahihi na atakayetufaa,

lasivyo basi hakuna haja ya uchaguzi

si mara ya kwanza nakusikia ukiwasiaitiza wananchi wachague kiongozi fulani bila hivyo huwapi maendelelo,

sasa uchaguzi ni wa nini sasa?

halafu tangu lini hii nchi maendeleo yakawa ni hisani ya mtu?

maendeleo hayaletwi na mtu maana hatoi hela zake mfukoni, maendeleo ni kodi za watanzania, yanini kutishanatishana sasa?

huu ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu sana, sisi ni watu wazima yunajielewa tusipangiane

sasa mimi niko tunduma na ninasema silinde simpi kura wala wewe sikupi kura, kama maendeleo usiyalete sasa!

watu wote watapita ila tunduma itabaki, tumezaliwa tumeikuta na tutaicha tusitishane
Sasa ulitaka awaambie wachague Saccoss ya MBowe ili wakaendelee kupinga maendeleo? Bajeti yenyewe ya uchaguzi waligoma kupitisha nashangaa hata kuwaona wapo kwenye majukwaa wanajinadi bila hata aibu. Nadhani kwa upande fulani walipaswa wawashukuru wabunge wa CCM kwa kupitisha bajeti ambayo imewafanya hata sasa wakawa na uwezo wa kupanda majukwaani kumtukana JPM.
 
Ilitakiwa watu wamuonyeshe kwamba hawatishwi wala kubabaishwa wamnyime kura huyo Silinde
 
Sasa ulitaka awaambie wachague Saccoss ya MBowe ili wakaendelee kupinga maendeleo? Bajeti yenyewe ya uchaguzi waligoma kupitisha nashangaa hata kuwaona wapo kwenye majukwaa wanajinadi bila hata aibu. Nadhani kwa upande fulani walipaswa wawashukuru wabunge wa CCM kwa kupitisha bajeti ambayo imewafanya hata sasa wakawa na uwezo wa kupanda majukwaani kumtukana JPM.
IMG_20200826_114702_6.jpg

Hili ni jimbo la muhambwe kata ya kibondo mjini, wananchi ndio wanachota maji kwenye hii mitaro, sasa kama kata ya mjini wanachota hivi vipi kijijini?

na hapa mbunge ni Nditiye, naibu waziri na mbunge wa CCM, maendeleo yako wapi?

tuna haja gani ya kupigwa biti za kishamba sisi
 
Wananchi waachwe waamue kama huyo mgombea hafai wampige chini tu kwani majimbo yote ya wabunge wa ccm yana maji?

Nilipo mbunge ni CCM hakuna maji watu wananunua ya kwenye magari, barabara mbovu mpk wakazi wa eneo tulilopo tumejiunga kutengeneza nk kwa hiyo si kweli ukimchagua wa CCM ndiyo mtapata maendeleo hizo ni lugha tu za ulaghai. Wananchi tuwachague viongozi tunaona wanafaa kushirikiana nasi kujiletea maendeleo
 
Utadhani hizo pesa za maendeleo anatoa mfukoni kwake, huyu mzee wa kupima akili.
 
Sasa ulitaka awaambie wachague Saccoss ya MBowe ili wakaendelee kupinga maendeleo? Bajeti yenyewe ya uchaguzi waligoma kupitisha nashangaa hata kuwaona wapo kwenye majukwaa wanajinadi bila hata aibu. Nadhani kwa upande fulani walipaswa wawashukuru wabunge wa CCM kwa kupitisha bajeti ambayo imewafanya hata sasa wakawa na uwezo wa kupanda majukwaani kumtukana JPM.
Una akili ya hovyo sana.
 
uchaguzi maana yake ni kuchagua kiongozi bora miongoni mwa wale wanaogombea, wananchi ndio tunaelewa yupi ni kiongozi sahihi na atakayetufaa,

lasivyo basi hakuna haja ya uchaguzi

si mara ya kwanza nakusikia ukiwasiaitiza wananchi wachague kiongozi fulani bila hivyo huwapi maendelelo,

sasa uchaguzi ni wa nini sasa?

halafu tangu lini hii nchi maendeleo yakawa ni hisani ya mtu?

maendeleo hayaletwi na mtu maana hatoi hela zake mfukoni, maendeleo ni kodi za watanzania, yanini kutishanatishana sasa?

wewe nadi sera zako, waombee kura wagombea wako, maamuzi tuachie sisi

huu ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu sana, sisi ni watu wazima tunajielewa tusipangiane

sasa mimi niko tunduma na ninasema silinde simpi kura wala wewe sikupi kura, kama maendeleo usiyalete sasa!

watu wote watapita ila tunduma itabaki, tumezaliwa tumeikuta na tutaicha tusitishaneView attachment 1587143
Wengine watampa kwani Tunduma wewe ni mpiga kura pekee yako??
 
Usijitoe akili, Tunduma siku zote hawapendi ujinga ujinga, hata bosi wako anajua ndio maana anaropoka tu.
 
Sasa ulitaka awaambie wachague Saccoss ya MBowe ili wakaendelee kupinga maendeleo? Bajeti yenyewe ya uchaguzi waligoma kupitisha nashangaa hata kuwaona wapo kwenye majukwaa wanajinadi bila hata aibu. Nadhani kwa upande fulani walipaswa wawashukuru wabunge wa CCM kwa kupitisha bajeti ambayo imewafanya hata sasa wakawa na uwezo wa kupanda majukwaani kumtukana JPM.
Umemuelewa lkn Mtoa mada? Au umeona tu uwahi nafasi? Nini maana ya Uchaguzi chini ya Mfumo wa Vyama Vingi?

Bora sacos kuliko huyu Mbaguzi wenu hata huko kwenu hafai.
 
uchaguzi maana yake ni kuchagua kiongozi bora miongoni mwa wale wanaogombea, wananchi ndio tunaelewa yupi ni kiongozi sahihi na atakayetufaa,

lasivyo basi hakuna haja ya uchaguzi

si mara ya kwanza nakusikia ukiwasiaitiza wananchi wachague kiongozi fulani bila hivyo huwapi maendelelo,

sasa uchaguzi ni wa nini sasa?

halafu tangu lini hii nchi maendeleo yakawa ni hisani ya mtu?

maendeleo hayaletwi na mtu maana hatoi hela zake mfukoni, maendeleo ni kodi za watanzania, yanini kutishanatishana sasa?

wewe nadi sera zako, waombee kura wagombea wako, maamuzi tuachie sisi

huu ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu sana, sisi ni watu wazima tunajielewa tusipangiane

sasa mimi niko tunduma na ninasema silinde simpi kura wala wewe sikupi kura, kama maendeleo usiyalete sasa!

watu wote watapita ila tunduma itabaki, tumezaliwa tumeikuta na tutaicha tusitishaneView attachment 1587143
ifike muda popote anapoongea vitu kama hivyo afanyiwe kama walivyofanya wahaya Bukoba atapata adabu. Pia na yeye ajue Lissu atampelekea maji na umeme Chato ili astaafu vizuri
 
Ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu kumzomea Rais wa nchi.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Hastahili kupewa nidhamu kabisa Raisi kama huyu

Ikiwa anaahidi kutokuleta maendeleo wasipo chagua CCM basi itakua anastahili nidhamu ya pekee pale atakapo sisitiza wanachi hao pia wasilipe kodi kabisa serekalini

Mxieusssszzzz!!!
 
Back
Top Bottom