Huku ndiko kukaripia Polisi anakomaanisha IGP Sirro au kuna lingine?

GRAMAA

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
1,155
3,399
Tundu Lissu huwa anawaambia polisi namna hii:-

i/ "Nyie polisi nyie najua mnamiaka mitano sasa hamjaongezewa mishahara hivyo mna maisha magumu sana. Mimi nikiapishwa kuwa Rais wote nitawaongezea mishahara"

ii/ "nyie polisi nyie tuoneeni tu ila kesho mkistaafu na mkanyimwa pensheni yenu ndiyo mtakuja kuona ubaya wa serikali ya CCM"

iii/ "nyie polisi nyie na vyombo vyote vya ulinzi na usalama ndani ya serikali yangu nitahakikisha wote mnapata bima ya afya yenye kiwango kizuri ambayo itawasaidia maisha yenu yote hata mkistaafu"

iv/ " nyie polisi sheria inasema kama mnamalalamiko yapalekeni NEC kwenye kamati ya maadili na sio kuja kutupiga mabomu hapa. Sasa amueni tulale hapa au mtupige mabomu au mnipige risasi ila mimi siondoki hapa"

v/ "nyie polisi nyie naomba msimpendelee mgombea yoyote yule kwani wagombea wote ni sawa na wanahaki sawa"

Sasa hapo kamkalipia polisi kweli?

Ni chungu lakini ni dawa tuvumiliane tu.
 
IGP Siro a natamani asitaafie akiwa jela za ICC The Hague
 
Sirro alitoa tamko kabla ya kusoma press release ya ubalozi wa Marekani.

Baada ya kusoma ile press release sidhani kama msimamo wake ni uleule 😂

Wazungu wamemaanisha mwaka huu!!
 
Anajitekenya mwenyewe halafu anacheka
IMG_20200930_230531.jpeg
 
Tundu Lissu huwa anawaambia polisi namna hii:-

i/ "Nyie polisi nyie najua mnamiaka mitano sasa hamjaongezewa mishahara hivyo mna maisha magumu sana. Mimi nikiapishwa kuwa Rais wote nitawaongezea mishahara"

ii/ "nyie polisi nyie tuoneeni tu ila kesho mkistaafu na mkanyimwa pensheni yenu ndiyo mtakuja kuona ubaya wa serikali ya CCM"

iii/ "nyie polisi nyie na vyombo vyote vya ulinzi na usalama ndani ya serikali yangu nitahakikisha wote mnapata bima ya afya yenye kiwango kizuri ambayo itawasaidia maisha yenu yote hata mkistaafu"

iv/ " nyie polisi sheria inasema kama mnamalalamiko yapalekeni NEC kwenye kamati ya maadili na sio kuja kutupiga mabomu hapa. Sasa amueni tulale hapa au mtupige mabomu au mnipige risasi ila mimi siondoki hapa"

v/ "nyie polisi nyie naomba msimpendelee mgombea yoyote yule kwani wagombea wote ni sawa na wanahaki sawa"

Sasa hapo kamkalipia polisi kweli?

Ni chungu lakini ni dawa tuvumiliane tu.
Ndio shida ya kufikiria kwa kutumia matumbo siro ajitafakari
 
Back
Top Bottom