William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,657
- 2,252
Naona mnalalamika Sana kauli za mgombea anayejiamini kushinda kuwa akiwekewa mtu wa chama kingine haleti maendeleo.
Kampeni Ina Visa na Mikasa yake. Kulalamikia kauli hizo NI kukili hamta shinda nafasi ya Uraisi. Kwanini mnakili hivyo Sasa.
Lazima muwe na watafiti wa kubaini NI Sera au kauli zipi zinaleta athari positive kwa wapiga kura.
Muwe na jopo la watu wenye uwezo wa kuchanganua hoja na kumpa hoja mgombea kuijibu hoja zinazotolewa kwa umakini mkubwa. Msimwachie mgombea pekee kutumia Akili yake pekee kujibu kila hoja hataweza.
Naona Kama mnabweteka hivi Kama mrema UCHAGUZI sio lelemama lazma mtumie wiki chache zilizobaki kuhuisha hoja na mbinu za hoja zenu kumfikia na kueleweka vizuri kwa kila mpiga Kura.