Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nitabadili Katiba ili wabunge wawe na maamuzi juu ya fedha za Serikali

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
2,382
2,000
Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA amesema ni muhimu maamuzi yaweze kuwa ya wananchi na sio kwa Rais kama ilivyo hivi sasa

Amesema kwa sasa mbunge anapaswa kuomba kwa Rais kuhusu miradi mbalimbali na kama Rais atakataa basi hela za miradi hazitoki. Ni vyema kuweka mfumo ambao unaweza kufanya wabunge wakawa na sauti

Amesema masuala yote ya maendeleo yapo mikononi mwa Rais hali inayofanya wabunge wawe omba omba wa kumuomba Rais fedha za miradi mbalimbali

Hivyo amesisitiza kubadili katiba ili bunge liwe na mamlaka ya kuamua mambo ya fedha bila kumuhusisha Rais. Ameyasema hayo alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni Serengeti

mkulima gwakikolo

JF-Expert Member
Nov 22, 2014
939
1,000
Hapa ndy mimi nilikua nikiota nchi yetu ifikie..nadhani baada ya Mwlm Julius Kambarage. Nyerere hyu kama atachaguliwa ndy anaenda kuwa kiongozi bora wa Nchi mana wananchi wanaenda kuwa mabos wa wanasiasa kweli kweli.

Siku hizi mwanasiasa eti anchukuwa kodi yako anajenga barabara halafu anataka umsujudu hii ni akili gani hii . twende na Lissu ili mwanasiasa akawaheshimu wapga kura wake!wakati ni sasa kama si sasa ni lini???naomba mnijibu!!!
 
RMC

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
408
500
Huyu mtu kweli hana kabisa idea za uchumi! Sasa kazi ya exective ni nini kama bunge litafanya kazi ya executive?

Nchi haiendeshwi kwa mihemuko wala majaribio.

Uchumi wa Lissu hauna financial cinstraint yeye kila kitu kinaweza kufanywa na kama serikali haijafanya basi ni kwa sababu haitaki tu!

Ndio maana yeye kazi yake ni kusema ataondoa kodi huku akihadaa wasiojua kuwa atatoa huduma bora. Nchi zote zenye huduma bora za kijamii wastani wa serikali zao kukusanya kodi kwa uwiano wa GDP ni asilimia 34 Ubelgiji pekee uwiano ni asilimia 48.

Baada ya kushindwa uchaguzi tarehe 28/ Oktoba, aingie darasani asome kidogo uchumi itamsaidia huko mbeleni.
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
2,477
2,000
Huyu mtu kweli hana kabisa idea za uchumi! Sasa kazi ya exective ni nini kama bunge litafanya kazi ya executive?

Nchi haiendeshwi kwa mihemuko wala majaribio...
Hujaielewa concept; Lissu anamaanisha wabunge (bunge) wawe na uwezo wa kuhoji matumizi ya serikali kwenye pesa za walipa kodi, sio kama inavyotokea sasahivi tunaambiwa kuna Mayanga Construction waliojenga Chato Airport wakati hatujui hiyo budget ilipitishwa wapi na lini? na hizo pesa za ujenzi zilitoka wapi?

Kinachotakiwa ni bunge kama mhimili unaojitegemea kuwa na "meno", liwe na nguvu na mamlaka ya kuihoji serikali juu ya matumizi ya pesa za walipa kodi, sio kwa bunge hili la Ndugai linalojipendekeza kwa executive (Rais) ndio maana kila siku tunasikia mambo ya hovyo yanafanyika.

Mfano; wiki iliyopita kasema ijengwe barabara Kigoma huko Uvinza wakati bunge halijawahi kukaa kuipitisha budget ya ujenzi wa hiyo barabara, kule Rufiji nako alifanya kitu hicho hicho, huu ndio ujinga unaotakiwa kukoma anaomaanisha Lissu.
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
20,707
2,000
.." Raisi asipowakumbuka Serengeti, imekula kwenu. Na hakumbuki maeneo mengi." -- Tundu Lissu.
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
11,177
2,000
Huyu mtu kweli hana kabisa idea za uchumi! Sasa kazi ya exective ni nini kama bunge litafanya kazi ya executive?

Nchi haiendeshwi kwa mihemuko wala majaribio.

Uchumi wa Lissu hauna financial cinstraint yeye kila kitu kinaweza kufanywa na kama serikali haijafanya basi ni kwa sababu haitaki tu!

Ndio maana yeye kazi yake ni kusema ataondoa kodi huku akihadaa wasiojua kuwa atatoa huduma bora. Nchi zote zenye huduma bora za kijamii wastani wa serikali zao kukusanya kodi kwa uwiano wa GDP ni asilimia 34 Ubelgiji pekee uwiano ni asilimia 48.

Baada ya kushindwa uchaguzi tarehe 28/ Oktoba, aingie darasani asome kidogo uchumi itamsaidia huko mbeleni.
Akili uliyonayo inakutosha kuvukia barabara tu, kama kuna mtu alikabidhiwa Ilani alipofika Ikulu akafanya yake, mnataka tuendelee na mtu asiyefuata utaratibu? Leo amekiri mwenyewe aliyofanya zaidi ya nusu hayakuwemo kwenye kanuni, kwa hiyo miaka 5 mingine akiamua kujenga nyumba yake Rwanda mtamfanya nini?
Screenshot_2020-09-28-17-05-11.jpg
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
10,270
2,000
Hapa ndy mimi nilikua nikiota nchi yetu ifikie..nadhani baada ya Mwlm Julius Kambarage. Nyerere hyu kama atachaguliwa ndy anaenda kuwa kiongozi bora wa Nchi mana wananchi wanaenda kuwa mabos wa wanasiasa kweli kweli. Siku hizi mwanasiasa eti anchukuwa kodi yako anajenga barabara halafu anataka umsujudu hii ni akili gani hii . twende na Lissu ili mwanasiasa akawaheshimu wapga kura wake!wakati ni sasa kama si sasa ni lini???naomba mnijibu!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Magufuli anatumia kodi zetu kujenga miundombinu halafu anataka tumsujudie, what a waste of leadership
 
gigabyte

JF-Expert Member
May 27, 2015
1,613
2,000
Hii imekaa vizuri.itapunguza pia wabunge wakiwa bungeni kutumia muda mwingi kumsifia raisi badala yakuzungumzia shida na kero za wananchi.Aya mambo yakulundika majukumu na maamuzi mengi kwa mtu mmoja tena asiyehojika ni tatizo kubwa sana na yalipaswa yaishie miaka ya ujima nasio sasa.
 
Tiba Mubito

Member
Jun 8, 2020
60
125
Hapa ndy mimi nilikua nikiota nchi yetu ifikie..nadhani baada ya Mwlm Julius Kambarage. Nyerere hyu kama atachaguliwa ndy anaenda kuwa kiongozi bora wa Nchi mana wananchi wanaenda kuwa mabos wa wanasiasa kweli kweli. Siku hizi mwanasiasa eti anchukuwa kodi yako anajenga barabara halafu anataka umsujudu hii ni akili gani hii . twende na Lissu ili mwanasiasa akawaheshimu wapga kura wake!wakati ni sasa kama si sasa ni lini???naomba mnijibu!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Nakuunga mkono kabisa
 
mugah di mathew

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
3,259
2,000
Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA amesema ni muhimu maamuzi yaweze kuwa ya wananchi na sio kwa Rais kama ilivyo hivi sasa

Amesema kwa sasa mbunge anapaswa kuomba kwa Rais kuhusu miradi mbalimbali na kama Rais atakataa basi hela za miradi hazitoki. Ni vyema kuweka mfumo ambao unaweza kufanya wabunge wakawa na sauti

Amesema masuala yote ya maendeleo yapo mikononi mwa Rais hali inayofanya wabunge wawe omba omba wa kumuomba Rais fedha za miradi mbalimbali

Hivyo amesisitiza kubadili katiba ili bunge liwe na mamlaka ya kuamua mambo ya fedha bila kumuhusisha Rais. Ameyasema hayo alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni Serengeti

Wengne wanataka wabadili katiba ili wabakie Madarakani for 30 years
 
Dr Bill

JF-Expert Member
Aug 26, 2020
428
500
Huyu mtu kweli hana kabisa idea za uchumi! Sasa kazi ya exective ni nini kama bunge litafanya kazi ya executive?

Nchi haiendeshwi kwa mihemuko wala majaribio.

Uchumi wa Lissu hauna financial cinstraint yeye kila kitu kinaweza kufanywa na kama serikali haijafanya basi ni kwa sababu haitaki tu!

Ndio maana yeye kazi yake ni kusema ataondoa kodi huku akihadaa wasiojua kuwa atatoa huduma bora. Nchi zote zenye huduma bora za kijamii wastani wa serikali zao kukusanya kodi kwa uwiano wa GDP ni asilimia 34 Ubelgiji pekee uwiano ni asilimia 48.

Baada ya kushindwa uchaguzi tarehe 28/ Oktoba, aingie darasani asome kidogo uchumi itamsaidia huko mbeleni.
Umeongea Point Mkuuu Sema BAVICHA WANAPITA KAMA HAWAONI HUYU JAMAA TUNAKOELEKEA ATATUAMBIA ATAONDOA KODI KABISAA ATATUAMBIA NITAONDOA JESHIII NA POLICE
 
Dr Bill

JF-Expert Member
Aug 26, 2020
428
500
Hujaielewa concept; Lissu anamaanisha wabunge (bunge) wawe na uwezo wa kuhoji matumizi ya serikali kwenye pesa za walipa kodi, sio kama inavyotokea sasahivi tunaambiwa kuna Mayanga Construction waliojenga Chato Airport wakati hatujui hiyo budget ilipitishwa wapi na lini? na hizo pesa za ujenzi zilitoka wapi?

Kinachotakiwa ni bunge kama mhimili unaojitegemea kuwa na "meno", liwe na nguvu na mamlaka ya kuihoji serikali juu ya matumizi ya pesa za walipa kodi, sio kwa bunge hili la Ndugai linalojipendekeza kwa executive (Rais) ndio maana kila siku tunasikia mambo ya hovyo yanafanyika.

Mfano; wiki iliyopita kasema ijengwe barabara Kigoma huko Uvinza wakati bunge halijawahi kukaa kuipitisha budget ya ujenzi wa hiyo barabara, kule Rufiji nako alifanya kitu hicho hicho, huu ndio ujinga unaotakiwa kukoma anaomaanisha Lissu.
Hutaki Wajengewe
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
5,618
2,000
Kazi ya Executive ni nini?
Huyu mtu kweli hana kabisa idea za uchumi! Sasa kazi ya exective ni nini kama bunge litafanya kazi ya executive?

Nchi haiendeshwi kwa mihemuko wala majaribio.

Uchumi wa Lissu hauna financial cinstraint yeye kila kitu kinaweza kufanywa na kama serikali haijafanya basi ni kwa sababu haitaki tu!

Ndio maana yeye kazi yake ni kusema ataondoa kodi huku akihadaa wasiojua kuwa atatoa huduma bora. Nchi zote zenye huduma bora za kijamii wastani wa serikali zao kukusanya kodi kwa uwiano wa GDP ni asilimia 34 Ubelgiji pekee uwiano ni asilimia 48.

Baada ya kushindwa uchaguzi tarehe 28/ Oktoba, aingie darasani asome kidogo uchumi itamsaidia huko mbeleni.
 
MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
3,737
2,000
Hapa ndy mimi nilikua nikiota nchi yetu ifikie..nadhani baada ya Mwlm Julius Kambarage. Nyerere hyu kama atachaguliwa ndy anaenda kuwa kiongozi bora wa Nchi mana wananchi wanaenda kuwa mabos wa wanasiasa kweli kweli. Siku hizi mwanasiasa eti anchukuwa kodi yako anajenga barabara halafu anataka umsujudu hii ni akili gani hii . twende na Lissu ili mwanasiasa akawaheshimu wapga kura wake!wakati ni sasa kama si sasa ni lini???naomba mnijibu!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Unasoma comments za wenzako au unajiandikia tu! Hata wewe hujui nchi inavyioendeshwa?
 
Tiba Mubito

Member
Jun 8, 2020
60
125
Huyu mtu kweli hana kabisa idea za uchumi! Sasa kazi ya exective ni nini kama bunge litafanya kazi ya executive?

Nchi haiendeshwi kwa mihemuko wala majaribio.

Uchumi wa Lissu hauna financial cinstraint yeye kila kitu kinaweza kufanywa na kama serikali haijafanya basi ni kwa sababu haitaki tu!

Ndio maana yeye kazi yake ni kusema ataondoa kodi huku akihadaa wasiojua kuwa atatoa huduma bora. Nchi zote zenye huduma bora za kijamii wastani wa serikali zao kukusanya kodi kwa uwiano wa GDP ni asilimia 34 Ubelgiji pekee uwiano ni asilimia 48.

Baada ya kushindwa uchaguzi tarehe 28/ Oktoba, aingie darasani asome kidogo uchumi itamsaidia huko mbeleni.

Lisu hajawahi kusema ataondoa kodi alisema atabadili sheria ya kodi ili sheria ilenge kwenye haki ya mlipa kodi , Tax payers bill of right ni hilo tu hakusema atafuta kodi.
Huyu mtu kweli hana kabisa idea za uchumi! Sasa kazi ya exective ni nini kama bunge litafanya kazi ya executive?

Nchi haiendeshwi kwa mihemuko wala majaribio.

Uchumi wa Lissu hauna financial cinstraint yeye kila kitu kinaweza kufanywa na kama serikali haijafanya basi ni kwa sababu haitaki tu!

Ndio maana yeye kazi yake ni kusema ataondoa kodi huku akihadaa wasiojua kuwa atatoa huduma bora. Nchi zote zenye huduma bora za kijamii wastani wa serikali zao kukusanya kodi kwa uwiano wa GDP ni asilimia 34 Ubelgiji pekee uwiano ni asilimia 48.

Baada ya kushindwa uchaguzi tarehe 28/ Oktoba, aingie darasani asome kidogo uchumi itamsaidia huko mbeleni.

SERA YA KODI YA CHADEMA HII ,Fungua link hii.

Hicho ndicho alichosema kuhusu suala la kodi, si vizuri hata kidogo kumlisha maneno yako mtu.

Sera ya kodi iko clear kama alivyo isema.

Aidha, kuwapa wabunge kuamua juu ya maendeleo yao ina maana kuwapa wananchi maamuzi juu ya maendeleo yao.

Kila siku unasikia Rais anasema usipo mchagua fulani wa chama fulani sitaleta maendeleo kwenye Jimbo lenu. Ukiliachia bunge liamue hatima ya maendeleo.ya wananchi.itaondoa huu umangi meza wa Rais.
 
Uzalendo Wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
275
500
Aksante Sana Lissu kutuelimisha kuwa Mamlaka ya matumizi ya Fedha yapo chini ya Rais Kikatiba

Sitarajii Malalamiko kwa maamuzi atakayofanya JPM kwani ni halali Kisheria
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom