Uchaguzi 2020 Kamati kuu ya CHADEMA, tunaomba mtuletee maazimio yafuatayo

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,498
51,090
Leo kamati kuu ya Chadema inakaa, naamini itajadili mambo mengi ikiwemo mwenendo mzima wa kampeni kuanzia uraisi hadi madiwani nchi nzima bila kusahau suala zito la kusimamishwa kufanya kampeni kwa ndugu Tundu Lissu.

Kwa minajili hiyo mimi kama mwananchi naomba kamati kuu iazimie yafuatayo

1. Ipinge na ilaani kwa nguvu zote katazo hilo na ilitangaze kuwa ni batili

Ukangalia hilo katazo dhidi ya mh Lissu, mchakato wake mzima tangu Mahera anatangazia umma kuwa wamemwandikia Lissu barua ya wito na kuifikisha kwa mhusika wakati ni uongo, mpaka siku Nyahoza anapeleka barua ya wito kwa bodaboda siku moja mbele baada ya tangazo a Mahera, Ukiangalia namna ambavyo mtuhumiwa hakuambiwa kwa maandishi Kosa lake halisi alilolifanya ili aandae utetezi juu ya kosa hilo kwa maandishi ndani ya masaa 48 kama kanuni zinavyosema, na ukiangalia kuwa Mtuhumiwa hakupewa nafasi ya kujitetea kwa kosa ambalo kimsingi halikutajwa ni nini haswa na wala hakukabidhiwa wito yeye mwenyewe. Kwa hiyo ni dhahiri maamuzi ya Kamati ya maadili ni batili na kamati kuu iutangazie umma kuwa maamuzi hayo ni batili, ya kiuonevu na iutangazie umma kuwa katazo hilo ni kinyume cha sheria na ni uonevu wa dhahiri dhidi ya mgombea wake wa uraisi

2. Kamati kuu impongeze heshimiwa Lissu na iwashukuru wananchi.

Kiukweli kabisa, Lissu kapiga kazi nzito, kuanzia wakati wa kutafuta wadhamini, mpaka wakati wa kampeni, Kanadi ilani ya chama kwa weledi mkubwa sana, kasaidia kuhuisha uhai wa chama na anaelekea kukipatia chama ushindi mnono. Chama kitoe azimio kumpongeza ndugu Lissu na kuwashukuru Watanzania kwa mwitikio mzuri na kuonyesha kukubali sera za Chadema

3. Kamati kuu impe mapumziko ndugu Lissu au Impangie majukumu mengine ya kichama ndani ya siku hizi saba

Kamati kuu kwa kutambua kazi nzito aliyofanya mheshimiwa Lissu inaweza kuamua kumpa Likizo ya mapumziko ya siku saba au ikaamua kumpa likizo ya siku tatu na ikampangia majukumu ya kujenga chama kwa siku nne. Kwenye kujenga Chama mheshimiwa Lissu atembelee ofisi za Chama na matawi yake, abadirishane mawazo na watendaji wa ofisi hizo na matawi hayo.
Lakini chama kikipenda kinaweza kumpangia mh Lissu kazi ya kunadi wagombea udiwani na Ubunge bila kujinadi yeye mwenyewe. Kufanya hivi siyo kosa kwa sababu kwanza mheshimiwa Lissu bado ni mtanzania ana haki ya kwenda popote nchini kwa mujibu wa katiba, na pili ni kiongozi halali wa Chama ana wajibu wa kuimarisha chama chake hata kama hajipigii kampeni. Nne ana haki zote za uhuru wa maoni na uhuru wa kujumuika (Freedom of association) katika kusanyiko lolote.

4. Kamati kuu imuagize Mwenyekiti ndugu Mbowe kuzunguuka sehemu mbalimbali za nchi na kuwapigia kampeni Madiwani na wabunge

Iwapo chama kitaamua Makamu Mwenyekiti (Yaani Tundu Lissu) awe kwenye mapumziko, ni wakati muafaka sasa Mwenyekiti afanye kama anavyofanya Kassim Majaliwa, yaani azunguuke sehemu mbalimbali za nchi kunadi wabunge wake na madiwani wake. Na atumie hadhara hizo kuwaeleza wananchi kwa nini Lissu hayuko kwenye kampeni, awaeleze kuwa ni sababu za uonevu tu na kutofuata sheria kwa tume.

LISSU MWENYEWE AFANYEJE

1. Kama akiamua kukaa Likizo ya siku kadhaa, basi ni muda muafaka wa kwenda kufanya Shopping kwenye masoko makubwa

Kwa mujibu wa Katiba Lissu ana haki ya kwenda popote nchini, ana haki ya kwenda masokoni kununua bidhaa, ana haki ya kwenda sokoni kariakoo kununua matunda, kwenda Soko la Tandale, Kisutu, Mwananyamala na kwenye shopping malls zote kubwa. Ana haki ya kwenda kwa shoe shines kung'arisha viatu vyake, ana haki ya kuchukua aina ya magari ya watalii na kuzunguuka mijini etc

2. Tembelea majirani zako hapo Tegeta na hani misiba

Pita kwa majirani zako, waulize habari zao katika miaka mitatu iliyopita wakati ulipokuwa haupo nchini, hani misiba yao, washukuru kwa sala zao na maombi yao.
Mtume Muhammad alifundisha kuwa Malaika Gabriel alimsisitiza sana sana kuwa vizuri mno na majirani mpaka mtume akaanza kuhisi kuwa labda hiyo ni amri mpya ya lazima kutoka kwa Mungu

3. Baada ya kukuzuia kufanya Kampeni, basi huu ndo muda wa kuendelea kuwashukuru wananchi kwa kukuchangia pale ulipopigwa risasi na pia kutoa elimu ya uraia

Watu walikuandama kuwa unaongelea sana kupigwa kwako risasi badala ya sera, Ulipoanza kumwaga sera rasmi wakapagawa mpaka sasa wamekuletea figisu. Sasa mheshimiwa Lissu hizi siku saba kwa kuwa wamekuzuia kumwaga sera, Huu ni muda wa kuzungumzia wewe kupigwa risasi, kulitaka jeshi la polisi lichunguze tukio, kuwashukuru wananchi kwa kukuchangia. Ukifanya hivi siyo kosa, ni haki yako ya kikatiba kuzungumza. Ukifanya hivi utakuwa hufanyi kampeni na hivyo siyo kosa kwa mujibu wa NEC. Pia unaweza kuendelea kutoa elimu ya uraia kwa wananchi, unaweza kuamua kufanya indoor au nje kwenye mikutano ya chama n. k

Kamati kuu kwa kutambua kazi nzito aliyofanya mheshimiwa Lissu inaweza kuamua kumpa Likizo ya mapumziko ya siku saba au ikaamua kumpa likizo ya siku tatu na ikampangia majukumu ya kujenga chama kwa siku nne. Kwenye kujenga Chama heshimiwa Lissu atembelee ofisi za Chama na matawi yake, abadirishane mawazo na watendaji wa ofisi hizo na matawi hayo.
Lakini chama kikipenda kinaweza kumpangia mh Lissu ya Kunadi wagombea udiwani na Ubunge bila kujinadi yeye mwenyewe. Kufanya hivi siyo kosa kwa sababu kwanza mheshimiwa Lissu bado ni mtanzania ana haki ya kwenda popote nchini kwa mujibu wa katiba, na pili ni kiongozi halali wa Chama ana wajibu wa kuimarisha chama chake hata kama hajipigii kampeni. Nne ana haki zote za uhuru wa maoni na uhuru wa kujumuika (Freedom of association) katika kusanyiko lolote.

4. Kamati kuu imuagize Mwenyekiti ndugu Mbowe kuzunguuka sehemu mbalimbali za nchi na kuwapigia kampeni Madiwani na wabunge

Iwapo chama kitaamua Makamu Mwenyekiti (Yaani Tundu Lissu) awe kwenye mapumziko, ni wakati muafaka sasa Mwenyekiti afanye kama anavyofanya Kassim Majaliwa, yaani azunguuke sehemu mbalimbali za nchi kunadi wabunge wake na madiwani wake. Na atumie hadhara hizo kuwaeleza wananchi kwa nini Lissu hayuko kwenye kampeni, awaeleze kuwa ni sababu za uonevu tu na kutofuata sheria kwa tume.

LISSU MWENYEWE AFANYEJE

1. Kama akiamua kukaa Likizo ya siku kadhaa, basi ni muda muafaka wa kwenda kufanya Shopping kwenye masoko makubwa

Kwa mujibu wa Katiba Lissu ana haki ya kwenda popote nchini, ana haki ya kwenda masokoni kununua bidhaa, ana haki ya kwenda sokoni kariakoo kununua matunda, kwenda Soko la Tandale, Kisutu, Mwananyamala na kwenye shopping malls zote kubwa. Ana haki ya kwenda kwa shoe shines kung'arisha viatu vyake, ana haki ya kuchukua aina ya magari ya watalii na kuzunguuka mijini etc

2. Tembelea majirani zako hapo Tegeta na hani misiba

Pita kwa majirani zako, waulize habari zao katika miaka mitatu iliyopita wakati ulipokuwa haupo nchini, hani misiba yao, washukuru kwa sala zao na maombi yao.
Mtume Muhammad alifundisha kuwa Malaika Gabriel alimsisitiza sana sana kuwa vizuri mno na majirani mpaka mtume akaanza kuhisi kuwa labda hiyo ni amri mpya ya lazima kutoka kwa Mungu

3. Baada ya kukuzuia kufanya Kampeni, basi huu ndo muda wa kuendelea kuwashukuru wananchi kwa kukuchangia pale ulipopigwa risasi na pia kutoa elimu ya uraia

Watu walikuandama kuwa unaongelea sana kupigwa kwako risasi badala ya sera, Ulipoanza kumwaga sera rasmi wakapagawa mpaka sasa wamekuletea figisu. Sasa mheshimiwa Lissu hizi siku saba kwa kuwa wamekuzuia kumwaga sera, Huu ni muda wa kuzungumzia wewe kupigwa risasi, kulitaka jeshi la polisi lichunguze tukio, kuwashukuru wananchi kwa kukuchangia. Ukifanya hivi siyo kosa, ni haki yako ya kikatiba kuzungumza. Ukifanya hivi utakuwa hufanyi kampeni na hivyo siyo kosa kwa mujibu wa NEC. Pia unaweza kuendelea kutoa elimu ya uraia kwa wananchi, unaweza kuamua kufanya indoor au nje kwenye mikutano ya chama n. k

Missile of the Nation
Ni ushauri ulioshiba, najua wajumbe wataupata na wataufanyia kazi.
 
Naunga mkono maazimio haya. Lakini Lissu si ameshasema ataendelea na ratiba zake za kampeni hapo kesho Jumapili bila kujali katazo hilo?
Kuna hatari yoyote endapo akifanya hivyo? Kwa maazimio haya ni wazi unapingana nae.
Yale yalikuwa maoni yake lkn alisema atafuata kile Kamati kuu itakachoamua.
 
Leo kamati kuu ya Chadema inakaa, naamini itajadili mambo mengi ikiwemo mwenendo mzima wa kampeni kuanzia uraisi hadi madiwani nchi nzima bila kusahau suala zito la kusimamishwa kufanya kampeni kwa ndugu Tundu Lissu.

Kwa minajili hiyo mimi kama mwananchi naomba kamati kuu iazimie yafuatayo

1. Ipinge na ilaani kwa nguvu zote katazo hilo na ilitangaze kuwa ni batili

Ukangalia hilo katazo dhidi ya mh Lissu, mchakato wake mzima tangu Mahera anatangazia umma kuwa wamemwandikia Lissu barua ya wito na kuifikisha kwa mhusika wakati ni uongo, mpaka siku Nyahoza anapeleka barua ya wito kwa bodaboda siku moja mbele baada ya tangazo a Mahera, Ukiangalia namna ambavyo mtuhumiwa hakuambiwa kwa maandishi Kosa lake halisi alilolifanya ili aandae utetezi juu ya kosa hilo kwa maandishi ndani ya masaa 48 kama kanuni zinavyosema, na ukiangalia kuwa Mtuhumiwa hakupewa nafasi ya kujitetea kwa kosa ambalo kimsingi halikutajwa ni nini haswa na wala hakukabidhiwa wito yeye mwenyewe. Kwa hiyo ni dhahiri maamuzi ya Kamati ya maadili ni batili na kamati kuu iutangazie umma kuwa maamuzi hayo ni batili, ya kiuonevu na iutangazie umma kuwa katazo hilo ni kinyume cha sheria na ni uonevu wa dhahiri dhidi ya mgombea wake wa uraisi

2. Kamati kuu impongeze heshimiwa Lissu na iwashukuru wananchi.

Kiukweli kabisa, Lissu kapiga kazi nzito, kuanzia wakati wa kutafuta wadhamini, mpaka wakati wa kampeni, Kanadi ilani ya chama kwa weledi mkubwa sana, kasaidia kuhuisha uhai wa chama na anaelekea kukipatia chama ushindi mnono. Chama kitoe azimio kumpongeza ndugu Lissu na kuwashukuru Watanzania kwa mwitikio mzuri na kuonyesha kukubali sera za Chadema

3. Kamati kuu impe mapumziko ndugu Lissu au Impangie majukumu mengine ya kichama ndani ya siku hizi saba

Kamati kuu kwa kutambua kazi nzito aliyofanya mheshimiwa Lissu inaweza kuamua kumpa Likizo ya mapumziko ya siku saba au ikaamua kumpa likizo ya siku tatu na ikampangia majukumu ya kujenga chama kwa siku nne. Kwenye kujenga Chama mheshimiwa Lissu atembelee ofisi za Chama na matawi yake, abadirishane mawazo na watendaji wa ofisi hizo na matawi hayo.
Lakini chama kikipenda kinaweza kumpangia mh Lissu kazi ya kunadi wagombea udiwani na Ubunge bila kujinadi yeye mwenyewe. Kufanya hivi siyo kosa kwa sababu kwanza mheshimiwa Lissu bado ni mtanzania ana haki ya kwenda popote nchini kwa mujibu wa katiba, na pili ni kiongozi halali wa Chama ana wajibu wa kuimarisha chama chake hata kama hajipigii kampeni. Nne ana haki zote za uhuru wa maoni na uhuru wa kujumuika (Freedom of association) katika kusanyiko lolote.

4. Kamati kuu imuagize Mwenyekiti ndugu Mbowe kuzunguuka sehemu mbalimbali za nchi na kuwapigia kampeni Madiwani na wabunge

Iwapo chama kitaamua Makamu Mwenyekiti (Yaani Tundu Lissu) awe kwenye mapumziko, ni wakati muafaka sasa Mwenyekiti afanye kama anavyofanya Kassim Majaliwa, yaani azunguuke sehemu mbalimbali za nchi kunadi wabunge wake na madiwani wake. Na atumie hadhara hizo kuwaeleza wananchi kwa nini Lissu hayuko kwenye kampeni, awaeleze kuwa ni sababu za uonevu tu na kutofuata sheria kwa tume.

LISSU MWENYEWE AFANYEJE

1. Kama akiamua kukaa Likizo ya siku kadhaa, basi ni muda muafaka wa kwenda kufanya Shopping kwenye masoko makubwa

Kwa mujibu wa Katiba Lissu ana haki ya kwenda popote nchini, ana haki ya kwenda masokoni kununua bidhaa, ana haki ya kwenda sokoni kariakoo kununua matunda, kwenda Soko la Tandale, Kisutu, Mwananyamala na kwenye shopping malls zote kubwa. Ana haki ya kwenda kwa shoe shines kung'arisha viatu vyake, ana haki ya kuchukua aina ya magari ya watalii na kuzunguuka mijini etc

2. Tembelea majirani zako hapo Tegeta na hani misiba

Pita kwa majirani zako, waulize habari zao katika miaka mitatu iliyopita wakati ulipokuwa haupo nchini, hani misiba yao, washukuru kwa sala zao na maombi yao.
Mtume Muhammad alifundisha kuwa Malaika Gabriel alimsisitiza sana sana kuwa vizuri mno na majirani mpaka mtume akaanza kuhisi kuwa labda hiyo ni amri mpya ya lazima kutoka kwa Mungu

3. Baada ya kukuzuia kufanya Kampeni, basi huu ndo muda wa kuendelea kuwashukuru wananchi kwa kukuchangia pale ulipopigwa risasi na pia kutoa elimu ya uraia

Watu walikuandama kuwa unaongelea sana kupigwa kwako risasi badala ya sera, Ulipoanza kumwaga sera rasmi wakapagawa mpaka sasa wamekuletea figisu. Sasa mheshimiwa Lissu hizi siku saba kwa kuwa wamekuzuia kumwaga sera, Huu ni muda wa kuzungumzia wewe kupigwa risasi, kulitaka jeshi la polisi lichunguze tukio, kuwashukuru wananchi kwa kukuchangia. Ukifanya hivi siyo kosa, ni haki yako ya kikatiba kuzungumza. Ukifanya hivi utakuwa hufanyi kampeni na hivyo siyo kosa kwa mujibu wa NEC. Pia unaweza kuendelea kutoa elimu ya uraia kwa wananchi, unaweza kuamua kufanya indoor au nje kwenye mikutano ya chama n. k

Missile of the Nation
Badala ya kuhimiza atulie na kuomba msamaha wewe unahimiza aendelee kufanya ujuaji na kiburi....wahenga walishasema mkaidi hafaidi mpaka siku ya iddi
 
Naona unaingilia mpaka mambo ya ndani binafsi ya Tundu Lisu, kwani tundu lisu hana Mke hadi wewe uingilie mambo ya kwenda sokoni? Na yule aliyekuwa anamuuguza Ulaya ni housegirl au?
Angalia usivuke mpaka, kwanza tundu wala hakujui, ...
 
Polisi ipo kulinda sheria, sisi Watanzania tutabaki nyumbani kutii sheria hatuwezi kwenda kumskililiza muhubiri chuki
 
Naunga mkono maazimio haya. Lakini Lissu si ameshasema ataendelea na ratiba zake za kampeni hapo kesho Jumapili bila kujali katazo hilo?
Kuna hatari yoyote endapo akifanya hivyo? Kwa maazimio haya ni wazi unapingana nae.

Kuna staili nyingi za kumchinja Kobe.
Waliomuweka Lissu kitanzini wamemuweka kwenye mtego ili waendelee kumharibia kampeni na pia kujaribu kumframe mbele ya wananchi kuwa ni mtu asiyefata taratibu n. k

Njia ya akili ya kudeal nao hao ni "kufanya kampeni" bila kufanya kampeni. Yaani unawapiga kwenye mchezo wao wenyewe (You beat them at their own game), Unawapiga kanzu, unaambaambaa na mpira na kuwapiga goli la kimataifa
 
Muda wa kuongea na media za ndani na nje pia aandaliwe midaharo mingi na waan dishi nguli Kama Jenerali na taasisi za kitaifa na kimataifa Kama UDSm

Ni muda muafaka wa kuweka misimamo, mikakakati na kulishana yamini na mawakala wake nchi nzima

Ni muda muafaka wa kukaa na viongozi wa act, Membe, Seif, na zito ili kuweza mikakati ya pamoja
 
'1. Ipinge na ilaani kwa nguvu zote katazo hilo na ilitangaze kuwa ni batili.'

Hii ni kupoteza muda tu maana CCM inajua zaidi ya hilo tamko hamna kitu kitafanyika.

Na hapa CCM wanapima reaction ya Chadema na wananchi,hii ikipita hivi hivi then implication ya hio ni kwamba Kwny matokeo ya uchaguzi watachakachua kama kawa wakijua wataishia tu kutoa tamko.

Lissu aendelee na ratiba zake za kampeni kama kawaida ili kuwaonyesha hata kwny matokeo ya uchaguzi mkizingua haitapita hivi hivi.

Inshort ni kwamba akikubali kutopiga kampeni then he's done.
 
Leo kamati kuu ya Chadema inakaa, naamini itajadili mambo mengi ikiwemo mwenendo mzima wa kampeni kuanzia uraisi hadi madiwani nchi nzima bila kusahau suala zito la kusimamishwa kufanya kampeni kwa ndugu Tundu Lissu.

Kwa minajili hiyo mimi kama mwananchi naomba kamati kuu iazimie yafuatayo

1. Ipinge na ilaani kwa nguvu zote katazo hilo na ilitangaze kuwa ni batili

Ukangalia hilo katazo dhidi ya mh Lissu, mchakato wake mzima tangu Mahera anatangazia umma kuwa wamemwandikia Lissu barua ya wito na kuifikisha kwa mhusika wakati ni uongo, mpaka siku Nyahoza anapeleka barua ya wito kwa bodaboda siku moja mbele baada ya tangazo a Mahera, Ukiangalia namna ambavyo mtuhumiwa hakuambiwa kwa maandishi Kosa lake halisi alilolifanya ili aandae utetezi juu ya kosa hilo kwa maandishi ndani ya masaa 48 kama kanuni zinavyosema, na ukiangalia kuwa Mtuhumiwa hakupewa nafasi ya kujitetea kwa kosa ambalo kimsingi halikutajwa ni nini haswa na wala hakukabidhiwa wito yeye mwenyewe. Kwa hiyo ni dhahiri maamuzi ya Kamati ya maadili ni batili na kamati kuu iutangazie umma kuwa maamuzi hayo ni batili, ya kiuonevu na iutangazie umma kuwa katazo hilo ni kinyume cha sheria na ni uonevu wa dhahiri dhidi ya mgombea wake wa uraisi

2. Kamati kuu impongeze heshimiwa Lissu na iwashukuru wananchi.

Kiukweli kabisa, Lissu kapiga kazi nzito, kuanzia wakati wa kutafuta wadhamini, mpaka wakati wa kampeni, Kanadi ilani ya chama kwa weledi mkubwa sana, kasaidia kuhuisha uhai wa chama na anaelekea kukipatia chama ushindi mnono. Chama kitoe azimio kumpongeza ndugu Lissu na kuwashukuru Watanzania kwa mwitikio mzuri na kuonyesha kukubali sera za Chadema

3. Kamati kuu impe mapumziko ndugu Lissu au Impangie majukumu mengine ya kichama ndani ya siku hizi saba

Kamati kuu kwa kutambua kazi nzito aliyofanya mheshimiwa Lissu inaweza kuamua kumpa Likizo ya mapumziko ya siku saba au ikaamua kumpa likizo ya siku tatu na ikampangia majukumu ya kujenga chama kwa siku nne. Kwenye kujenga Chama mheshimiwa Lissu atembelee ofisi za Chama na matawi yake, abadirishane mawazo na watendaji wa ofisi hizo na matawi hayo.
Lakini chama kikipenda kinaweza kumpangia mh Lissu kazi ya kunadi wagombea udiwani na Ubunge bila kujinadi yeye mwenyewe. Kufanya hivi siyo kosa kwa sababu kwanza mheshimiwa Lissu bado ni mtanzania ana haki ya kwenda popote nchini kwa mujibu wa katiba, na pili ni kiongozi halali wa Chama ana wajibu wa kuimarisha chama chake hata kama hajipigii kampeni. Nne ana haki zote za uhuru wa maoni na uhuru wa kujumuika (Freedom of association) katika kusanyiko lolote.

4. Kamati kuu imuagize Mwenyekiti ndugu Mbowe kuzunguuka sehemu mbalimbali za nchi na kuwapigia kampeni Madiwani na wabunge

Iwapo chama kitaamua Makamu Mwenyekiti (Yaani Tundu Lissu) awe kwenye mapumziko, ni wakati muafaka sasa Mwenyekiti afanye kama anavyofanya Kassim Majaliwa, yaani azunguuke sehemu mbalimbali za nchi kunadi wabunge wake na madiwani wake. Na atumie hadhara hizo kuwaeleza wananchi kwa nini Lissu hayuko kwenye kampeni, awaeleze kuwa ni sababu za uonevu tu na kutofuata sheria kwa tume.

LISSU MWENYEWE AFANYEJE

1. Kama akiamua kukaa Likizo ya siku kadhaa, basi ni muda muafaka wa kwenda kufanya Shopping kwenye masoko makubwa

Kwa mujibu wa Katiba Lissu ana haki ya kwenda popote nchini, ana haki ya kwenda masokoni kununua bidhaa, ana haki ya kwenda sokoni kariakoo kununua matunda, kwenda Soko la Tandale, Kisutu, Mwananyamala na kwenye shopping malls zote kubwa. Ana haki ya kwenda kwa shoe shines kung'arisha viatu vyake, ana haki ya kuchukua aina ya magari ya watalii na kuzunguuka mijini etc

2. Tembelea majirani zako hapo Tegeta na hani misiba

Pita kwa majirani zako, waulize habari zao katika miaka mitatu iliyopita wakati ulipokuwa haupo nchini, hani misiba yao, washukuru kwa sala zao na maombi yao.
Mtume Muhammad alifundisha kuwa Malaika Gabriel alimsisitiza sana sana kuwa vizuri mno na majirani mpaka mtume akaanza kuhisi kuwa labda hiyo ni amri mpya ya lazima kutoka kwa Mungu

3. Baada ya kukuzuia kufanya Kampeni, basi huu ndo muda wa kuendelea kuwashukuru wananchi kwa kukuchangia pale ulipopigwa risasi na pia kutoa elimu ya uraia

Watu walikuandama kuwa unaongelea sana kupigwa kwako risasi badala ya sera, Ulipoanza kumwaga sera rasmi wakapagawa mpaka sasa wamekuletea figisu. Sasa mheshimiwa Lissu hizi siku saba kwa kuwa wamekuzuia kumwaga sera, Huu ni muda wa kuzungumzia wewe kupigwa risasi, kulitaka jeshi la polisi lichunguze tukio, kuwashukuru wananchi kwa kukuchangia. Ukifanya hivi siyo kosa, ni haki yako ya kikatiba kuzungumza. Ukifanya hivi utakuwa hufanyi kampeni na hivyo siyo kosa kwa mujibu wa NEC. Pia unaweza kuendelea kutoa elimu ya uraia kwa wananchi, unaweza kuamua kufanya indoor au nje kwenye mikutano ya chama n. k

Missile of the Nation
Mbowe hapangiwi, atafanya atakavyo. Wewe na maoni yako, anzisha chama chako..
 
Wewe ni Great Thinker kamanda...umeandika vitu muhim sana yaani umeandika kama mtu mwenye roho ya utu kwl kwl. Hongera sana mkuu. Lakini hofu kubwa ni ulinzi wa Mheshimiwa Lissu akipita maeneo yote uliotaja. Utakuaje? Hii ndy changamoto kubwa sana!!Mungu bariki Tanzania mpya itakayojali utu wetu na haki zetu!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom