ChanaNywele
New Member
- Sep 6, 2020
- 2
- 0
Katika Kampeni za Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Kilombero Bw Abubakar Asenga zilizofanyika Kata ya Viwanja Sitini Oct 2 Vijana 6 Wa CHADEMA walirudisha KADI zao na Kujiunga na CCM
Katika Mkutano wa Mbunge huyo Kata ya Mlabani Oct 3 alijitokeza mmoja wa vijana wale nakuonyesha Jeraha kubwa Mkononi kuwa alitobolewa na Kisu na Kiongozi wa Chama fulani Katika kijiwe chao Cha Uchimbaji Mchanga Kionjo Baada ya kurudi kijiweni hapo.
Jeshi la Polisi limethibitisha tukio hilo na kuwa kijana aliefahamika Kwa jina la Richard Mfitanga Maarufu (Mbishi Kufa) anatafutwa na Jeshi hilo ili hatua za Kisheria ziweze kuchukuliwa.
Ndugu tuiombee nchi yetu ivuke salama katika Uchaguzi Mkuu
Tupunguze chuki na Visasi
View attachment 1589605