CDM - Sasa basi na ikawe basi kweli kweli

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,813
35,803
Mahsusi kwa wataka haki na uhuru.

Haipo safari rahisi kuelekea kunako haki au uhuru. Itambulike kuwa kuwaondolea hivyo waliovihodhi kwa ubinafsi wao ni zaidi ya kumwondolea simba windo alilokwisha jimilikisha.

Hawawezi kuridhia!

Haki wala uhuru haviombwi.

Rejea kauli za Nyerere (rip). Rejea kauli za Mandela (rip). Rejea kauli za Mao (rip). Rejea kauli za Che Guevara (rip). Rejea kauli za Castro (rip). Rejea kauli za watukuka wote duniani.

Hatuwezi kupata haki wala uhuru wetu kwa kukubali kufuata sheria, kanuni wala taratibu za waliotupora hivyo kwetu wakinufaika navyo.

Safari ya kuelekea kuvirejesha haiwezi kuwa rahisi hadi pale 'basi' itakapokuwa 'basi kweli kweli.'

Habari hii na iwafikie wale ambao hadi sasa wangali kuelewa kuwa 'haki na uhuru wetu' leo ni sawa na hewa tunayopumua.

Tunavitaka sasa na kwa gharama yoyote.
 
"KEYBOARD WARRIOR", At your best. Eti kwa gharama yoyote. Sisiti kuendelea kuwaita WAPUMBAVU.
 
"Sisiti" kwani wewe nani?

Kimsingi unajidhihirisha wazi kwa kutojua hata kuchagua maneno.

Hivi hata hapa hukuona: "Mahsusi kwa wataka haki na uhuru." Inakuhusu nini kama huhusiki? Ilikuwa mstari wa kwanza kabisa.

Haiyumkiniki utakuwa mpumbavu kweli kweli!
 
Uwezi kupigania haki kwa ngazi ya Taifa wakati ndani ya chama chako hakuna matendo ya haki, ndani ya Chadema kuna Hongo za ngono, wiz wa pesa, double standard, chuki, ubabe kuna wanaojiona wenye chama wengine wanaonekana washamba, wakuja.
Hata siku moja chama kilicho na matabaka hakiwezi kukishinda chama kilicho imara
 
"Sisiti" kwani wewe nani?

Kimsingi unajidhihirisha wazi kwa kutojua hata kuchagua maneno.

Haiyumkiniki utakuwa mpumbavu kweli kweli!
UPUMBAVU wako ulionekana tangu kipindi cha Corona. Mkuu huwa sipepesi macho, nakupa live wewe huna akili, kama ulikuwa hujui ndo ujue Sasa. Mpaka dakika hii upo unaongoza mapambano nyuma ya KEYBOARD,eti kwa gharama yoyote halafu wajiona mjanjaaa... Lissu hawezi kuwa Raisi wa Tanzania - NEVER. Sio 2020 tu bali kamwe.(Never).
 
Utakuwa mpumbavu kuliko hata ulivyo kwa maana yaonesha kwako upumbaav unaongezeka kila dakika inayopita.

"sipepesi". Kwani wewe nani? Jifunze kuchagua maneno kama wenye busara.

Mpumbavu kapuku wewe unakuja mbele za watu na vi maneno vya kipumbavu hivi:

"sipepesi", "sisiti".

Hivi peleka kwa wanaokusugua. Wakimaliza watakupa buku 7.
 
Mahsusi kwa wataka haki na uhuru.

Haipo safari rahisi kuelekea kunako haki au uhuru. Itambulike kuwa kuwaondolea hivyo waliovihodhi kwa ubinafsi wao ni zaidi ya kumwondolea simba windo alilokwisha jimilikisha.

Hawawezi kuridhia!

Haki wala uhuru haviombwi.

Rejea kauli za Nyerere (rip). Rejea kauli za Mandela (rip). Rejea kauli za Mao (rip). Rejea kauli za Che Guevara (rip). Rejea kauli za Castro (rip). Rejea kauli za watukuka wote duniani.

Hatuwezi kupata haki wala uhuru wetu kwa kukubali kufuata sheria, kanuni wala taratibu za waliotupora hivyo kwetu wakinufaika navyo.

Safari ya kuelekea kuvirejesha haiwezi kuwa rahisi hadi pale 'basi' itakapokuwa basi kweli kweli.

Habari hii na iwafikie wale ambao hadi sasa wangali kuelewa kuwa 'haki na uhuru wetu' leo ni sawa na hewa tunayopumua.

Tunavitaka sasa na kwa gharama yoyote.
Tusihamasishe vurugu. Amani haipatikani hovyo wala kuokota. Shauri mbinu bora zaidi
 
Vipi Lissu anaendelea na kampeni saa ngapi?,au mpaka tarehe 9?.. Niliwaambia nyie ni warembo tu hamuwezi fanya lolote na Lissu wenu. Leo mmejazana humu mmefura kwa hasira baada ya jamaa yenu Lissu kutepeta na kutii adhabu. Tuone mkipigwa knock out tarehe 28 mtafanya nini na Amsterdam wenu.
 
Sawa tuu, bila kufuata sheria, wenzenu wanawasubiri kuwatumbukiza kwenye viroba.
 
Umejitahidi kutambua hivi vi "sisiti", "sipepesi" siyo dili. Hiyo ni hatua njema kwenye kupambana na upumbaav binafsi.

Endelea hivyo penye nia pana njia.
 
Sawa tuu, bila kufuata sheria, wenzenu wanawasubiri kuwatumbukiza kwenye viroba.

Wale wa kwenye vile viroba pendwa wahusika waliokuwa hawajulikani tayari wameshajulikana na ni hawa hawa unawaongelea?

Kumbe kweli malipo ni hapa hapa duniani.

Mtatajana wenyewe mdogo mdogo.

Endeleeni kutujuza.
 
UPUMBAVU wako ulionekana tangu kipindi cha Corona. Mkuu huwa sipepesi macho, nakupa live wewe huna akili, kama ulikuwa hujui ndo ujue Sasa. Mpaka dakika hii upo unaongoza mapambano nyuma ya KEYBOARD,eti kwa gharama yoyote halafu wajiona mjanjaaa... Lissu hawezi kuwa Raisi wa Tanzania - NEVER. Sio 2020 tu bali kamwe.(Never).
Lumumba street sizani kama lissu anagombea kuwa raisi bali ni mgombea U rais
Rudi darasani kwanz
 
Tusihamasishe vurugu. Amani haipatikani hovyo wala kuokota. Shauri mbinu bora zaidi

Hakuna mtu anayehamasisha vurugu.

Sidhani kama kuna machampioni wa kutohamasisha vurugu kuliko kina Nyerere na kina Mandela.

Mtu aliyetupora haki na uhuru wetu hawezi kutuwekea sheria, kanuni wala taratibu ya kuzidai haki hizo wala uhuru huo. Hii ni common sense.

Mbaya zaidi ni kuwa sheria, kanuni na taratibu hizo kila siku zinakuwa zinazochipuka matawi mapya yenye upendeleo wa wazi kila uchao.

Kila siku pana jipya. Kuyakataa mapya haya hakuna maana ya kuhamasisha vurugu.

Si kuwa haya twayaona leo:

Uchaguzi 2020 - Mshindani anapoasisi sheria kwa washindani wengine kufuata

Tunayoyaona hayakubaliki. Ni vyema itambulike hivyo na bila ya shaka yoyote.
 
Uwezi kupigania haki kwa ngazi ya Taifa wakati ndani ya chama chako hakuna matendo ya haki, ndani ya Chadema kuna Hongo za ngono, wiz wa pesa, double standard, chuki, ubabe kuna wanaojiona wenye chama wengine wanaonekana washamba, wakuja.
Hata siku moja chama kilicho na matataba hakiwezi kukishinda chama kilicho imara

Mkuu CDM inakunyima amani kabisa? Ukisikia CDM una mashaka na kula yako ya kesho?

Kama ni kwa haki na uhuru wetu kwa hakika njaa na ikawasakame tu.
 
Back
Top Bottom