Kifungu cha 134 sura ya 345 cha Sheria ya Mikataba kinamwelezea Wakala kama mtu aliyeajiriwa kufanya kazi au kitu chochote kwa niaba ya mtu mwingine au kumwakilisha mtu mwingine katika shughuli...
Kila anaeiita Tanzania kwetu kuna vile anapenda iwe na atendendewe. Muda wako ni huu wa kusema kupendekeza, kushauri, kushawishi, kuonya, kutahadharisha, kulaani, na kulaumu na kuunga mkono yale...
Kunapotokea jambo linalohitaji kiongozi kujitoa au kushirikiana na wananchi ni pale panapokuwa na ushirikishwaji wa aina yeyote ile.
Kwenye kipindi kama hiki wanasiasa wengi wanakuwa na hofu...
Wanajamvi,
Katika sikia sikia zangu za sera na ahadi mbalimbali za wagombea katika uchaguzi wa mwaka huu ; kundi moja kubwa la "Wafanyakazi" (Umma na Binafsi) ambao ni walipa kodi wa uhakika hapa...
"Tunataka Rais ambaye si mkabila, si kaburu. Makaburu wa Tanzania ni wale wanaojiita wazawa. Ni makaburu tuu, mimi siwaonei haya hata kidogo ni makabuuruu tuu. Kwa sababu kama una mawazo yaleyale...
Habari wangu?
Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the...
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amewataka viongozi wa vyama vya siasa na wadau wote kuheshimu Sheria na Taratibu za Uchaguzi kama zilivyoainishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi...
WARAKA KUTOKA KWA MWENYEKITI WA CHADEMA NJOMBE, BIBI ROSE MAYEMBA KWENDA KWA ASKOFU MWAMAKULA.
Hello Bishop! Heshima yako!
Ninaitwa Rose Mayemba, Mwenyekiti wa CHADEMA Njombe. Leo tarehe 3...
Tunahesabu wiki, kisha siku, na mwisho saa ya kupiga kura. Lakini tngu mwanzo wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu, 2020, kama ilivyokuwa wa 2015, wafuasi na shabiki wa upinzani humu JF ni habari ya nyomi...
TUNDUMA HALI SIO SHWARI!
Hali ya Tunduma mkoani Songwe siyo nzuri. Hadi sasa wamekufa watu wawili mmoja wa CCM na mwingine wa CHADEMA. Vurugu zilizosababisha vifo hivyo zina uhusiano kwa sehemu...
Kumpa pumzi CCM kwa siku 7 litakuwa kosa kubwa sana kwenye huu uchaguzi wa kihistoria.
Kukubali kutekeleza amri za kinyonyaji za NEC maana yake ni kipimo pia cha kukubali kuibiwa kura na...
Mimi mkazi wa Songea Kitai, nilikuwa naumia sana kuona katika eneo letu ndipo yanapatikana makaa ya mawe yanayolisha karibu viwanda vyote nchini, na mengine yanasafirishwa kwenda Rwanda, Uganda...
Hii ndio taarifa mpya inayovuma huko Iramba , kwamba Uwezekano wa Mwigulu Nchemba kurudi bungeni kwa njia ya kura ni kama haupo , Jessica Kishoa kishamkalia kooni , tangu njama za kumuengua...
Kila mtu ana haki ya kuchagua mgombea anayemkubali, awe mwanachama wa chama chochote au asiwe mwanachama. Kuna watu wengi tu hatuna kadi ya chama chochote, lakini hii haitunyimi haki ya kuamua ni...
Katiba yetu na sheria zetu zinatambua uwepo wa vyama vingi. Hivyo mgombea urais anayesema nikipata urais sitapeleka maendeleo kwenye majimbo yaliyo chagua wabunge au madiwani wasio wa chama chake...
Hivi macho yako yanaona kama mimi yanaona yanayoendelea CHADEMA? Chama kinachoomba ridhaa ya kuongoza Tanzania kwenye uchaguzi huu. Viongozi wa Chama hicho ni kama wamemsusia kila kitu mgombea wao...
Ikiwa kama umechoshwa na unyama unaotendwa dhidi ya binadamu nchini Tanzania ( RIP Lwajabe , pole Lissu ) , na ikiwa kama unakerwa na dhuluma dhidi ya wakulima , ikiwa unakerwa na rushwa na ikiwa...
Mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda ametoa maelekezo kwa wakuu wa wilaya kuwa wasome ilani ya CCM, wasome hotuba ya Magufuli ya kufungua bunge na pia wasome mazingira yao ya kazi kwa wiki mbili...
Sifa ya kikatiba inadai mgombea awe na afya njema.
Swali la kujiuliza waliripotisha vyeti vya madaktari kwa ofisi za tume?
Je, huu mwenendo wa mgombea huyu kuwa na mapumziko mengi yanaashiria...