TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 13,944
- 21,737
Kunapotokea jambo linalohitaji kiongozi kujitoa au kushirikiana na wananchi ni pale panapokuwa na ushirikishwaji wa aina yeyote ile.
Kwenye kipindi kama hiki wanasiasa wengi wanakuwa na hofu kujitoa kwa wananchi hasa upande wa kuchangia maendeleo katika eneo husika, mfano Halima Mdee hajawahi kufika au kukaribia sehemu inayoitwa Boko Basihaya.
Boko Basihaya ipo jijini Dar Es Salaam njia ielekeayo Bagamoyo, wakazi wa eneo hili wanakumbwa na mafuriko yanayosababishwa na maji yanayotokea maeneo tofauti kama vilima vya wazo nk.
Taarifa za mapema wiki hii wananchi wa eneo hilo wanajichangisha ili kufanikisha uchimbaji wa njia ya maji (mtaro) utakaopeleka maji kwenye mto Bunju na mengine kwenye karavati lililoidhinishwa kujengwa na Kikwete enzi akiwa Rais.
Mgombea wa CCM ndg Gwajima wananchi hawajakuharika sababu inaweza kuwa ni rushwa au ushawishi ila jaribu kuwatembelea na kufanya mkutano eneo hilo usikie wananchi watakachokwambia.
Binti yangu Halima hapa hata usipoenda ni sawa maana wananchi wanadai wanakufaham japo ulikuwa mbunge wao ila hujawahi kukanyaga eneo hilo.