Uchaguzi 2020 Je, CHADEMA wamemsusia kila kitu mgombea wao wa kiti cha Urais, Tundu Lissu?

the horse

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
652
441
Hivi macho yako yanaona kama mimi yanaona yanayoendelea CHADEMA? Chama kinachoomba ridhaa ya kuongoza Tanzania kwenye uchaguzi huu. Viongozi wa Chama hicho ni kama wamemsusia kila kitu mgombea wao wa kiti cha Urais bwana Tundu Lissu na kumwacha afanye mwenyewe kila kitu.

Hakuna anayejishugulisha, anayempa sapoti wala kuonyesha ushirikiano nae wowote ule.
Tumeshuhudia mikutano yote anayotembea Lissu yuko mwenyewe tu bila kuambatana na viongozi wowote waandamizi wa kitaifa wa Chama hicho. Hatumuoni Mbowe, hatumuoni Kigaila wala hatumuoni John Mnyika. Wote wamemuacha solemba Lissu.

Nenda kwenye mikutano ya waandishi wa habari ambayo kimsingi palitegemewa awe John Mrema kama Mkuu wa Kitengo cha Itikadi na Uenezi kutoa taarifa na kuzungumzia tathmini ya uchaguzi na kampeni za Chadema lakini badala yake Lissu anazunguka mwenyewe mikutano yake yote na pakitokea jambo la kuzungumza analazimika tena huyohuyo mwenyewe Lissu kama mgombea kuzungumza na waandishi wa habari, tofauti na inavyotakiwa na hata tunavyoona kwenye vyama vingine vilivyojipambanua kama taasisi kuwa na kitengo cha uratibu wa kampeni kila mmoja. Hii ndio kali ya mwaka naiona.

Hata ratiba ya kampeni na mikutano ambayo kimsingi ilitakiwa kutolewa na idara ya Itikadi na Uenezi, Lissu anatoa mwenyewe. Kila mtu amemsusia Lissu kampeni zote. Hii ndio maana Lissu amekuwa na mlolongo wa makosa ya uvunjifu mkubwa wa maadili ya uchaguzi ya kujirudia rudia kwenye kila mkutano anaoufanya jambo lililosababisha mpaka akafungiwa kufanya kampeni siku 7. Hii inatokana na ukweli kwamba hakuna anayemfunga kengere tena Lissu na kumnyosha kimaadili na kufuata sheria na taratibu mana Chama chake kimemsusia.

Sasa hapa Watanzania wanaweza kupata picha ya aina ya upinzani na vyama vyetu vya upinzani. Hao ndo tuwape nchi kweli? Watu ambao wao kwa wao tu wenyewe hawapatani na wala hawaelewani, vipi itakuwa kwa Watanzania? Yani ndani ya Chama kimoja kila mtu na lake. Mwenyekiti wa Chama na Katibu wake hakuna anayeonekana kwenye mikutano ya mgombea wao na wala hajui kinachoendelea.

Lissu sasa wamemuacha kisiwani asijue cha kufanya. Kama tulivyozoea kuona kwenye mikutano ya vyama vingine vyenye taasisi imara pakiwa na safu nzima ya uongozi wa Chama kitaifa, viongozi waandamizi na wale wa maeneo husika, kwa Lissu mambo ni tofauti kabisa. Wao kwa wao hawana connection na wala huoni tafsiri ya utaasisi wa vyama vyao. Ni kama kikundi tu cha watu fulani wajanja wajanja wameamua kuhadaa na kurubuni watu ili wapate ruzuku ya Serikali ambayo wakishaipata wamekuwa wakigawana kama mchele mbele ya kuku.

Tukawanyime kura watu hawa Oktoba 28 kwenye sanduku la kura. Nchi hii si ya kuchezea chezea na kuleta usanii. Watanzania wanataka maendeleo na si vinginevyo.

Ni Mimi Kijana Wa Newala, Mtwara.
 
CCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii.. Yaani sisi
 
Huyo mmoja tu ameshawazikeni mnabaki kuingia hasara za kusafirisha watu na kuandaa matamasha ya wanamuziki.
Sasa kutumia hao wengine si ni misuse of team players and power?

Huyo Lissu peke yake mmejikuta mmeita msaada wa vyombo vyote vya dola nchini na idara zake. Vyombo vya habari, matangazo nchi nzima, wasanii, Tume, Msajili.
 
Tulia wewe, Kila MTU anamajukumu yake.Hata hivyo wengi uliowataja hapo ni wagombea Ubunge kwenye Majimbo yao.
Wangepitishwa na Tume bila kupingwa kama Majaliwa,nawao ungewaona wakiwa kwenye campaign na Lisu.
Huyo Chakubanga Polepole au Mzee Mangula wangekuwa wanagombea Majimboni pia usinge waona wanaambatana na Jiwe
 
Mwanzo Walimwamini kwa kujua ni Mtu pekee ambae anaweza pambana na Magufuli kiasa(kama wanavyosema,nia ni kumtoa magufuri na CCM madarakani lakini sio kuleta utawala bora zaidi ya Magufuli).

Ila kwa sasa wametambua huyu mtu si sahihi kwao,na hawajui anawapeleka wapi kisiasa.
Ndio maana hawawezi shirikiana nae kuogopa kupoteza hata ile trust iliyobaki kwao ndani ya baadhi ya Mioyo ya Wananchi wakitanzania.

Japo kuwa, Hawa Vijana|wazee wa Chadema Watakutukana sana sababu ya huu Uzi uliotanda ukweli.
 
Lissu hawezii kuwa Rais wa nchi hii hata kidogo
CCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii.. Yaani sisi
Mkuu,wewe ndo mtoa mada,alafu wewe ndo mchangiaji wa mada comment ya kwanza, si ni bora ungefanya edit hii comment ikawa sehemu ya mada ?.
 
Unamtaka kiongozi kama huyu
IMG_20201004_085622_828.jpg
 
Naamimi uamuzi wa kumuachia Lissu ahandle kampeni zake mwenyewe huku wengine wakiwa waratibu wa behind the scene naamini limefanyika kwa umakini na tarakuri kubwa.

Ni rahisi sana kumdaka na kumbana mbavu Mrema au Mnyika lakini ni vigumu kufanya hivyo kwa Lissu.

Huu uchaguzi ulitakiwa uwe Lissu vs. Magufuli, one on one kwenye ulingo tuone yupi anatufaa. Badala yake imekuwa Lissu vs. Tume, TRA, Polisi, CCM, NRA na vyombo vingine vya umma. It's not fair.

Unadhani watu wengi wanaojitokeza kila anapokwenda wanadondoka kutoka angani?

Ngoja niachie hapo nisije nikatoa siri kwa adui.
 
Mwanzo Walimwamini kwa kujua ni Mtu pekee ambae anaweza pambana na Magufuli kiasa(kama wanavyosema,nia ni kumtoa magufuri na CCM madarakani lakini sio kuleta utawala bora zaidi ya Magufuli).

Ila kwa sasa wametambua huyu mtu si sahihi kwao,na hawajui anawapeleka wapi kisiasa.
Ndio maana hawawezi shirikiana nae kuogopa kupoteza hata ile trust iliyobaki kwao ndani ya baadhi ya Mioyo ya Wananchi wakitanzania.

Japo kuwa, Hawa Vijana|wazee wa Chadema Watakutukana sana sababu ya huu Uzi uliotanda ukweli.
Kulikoni Mgombea wenu kupiga magoti na kuomba kura???

Mlidhani huu mchezo mwepesi kumbe mmeingia cha kiume.
 
Lisu ana kibri kikavu mbaka kwa viongozi wenzake katika chama, Lisu anajifanya anajua kilakitu, Lisu amepoteza mwelekeo yupo tayari kufanya jambo lolote ili kufanya uchaguzi uharibike.
 
Hivi macho yako yanaona kama mimi? Yanaona yanayoendelea Chadema? Chama kinachoomba ridhaa ya kuongoza Tanzania kwenye uchaguzi huu. Viongozi wa Chama hicho ni kama wamemsusia kila kitu mgombea wao wa kiti cha Urais bwana Tundu Lissu na kumwacha afanye mwenyewe kila kitu.

Hakuna anayejishugulisha, anayempa sapoti wala kuonyesha ushirikiano nae wowote ule.
Tumeshuhudia mikutano yote anayotembea Lissu yuko mwenyewe tu bila kuambatana na viongozi wowote waandamizi wa kitaifa wa Chama hicho. Hatumuoni Mbowe, hatumuoni Kigaila wala hatumuoni John Mnyika. Wote wamemuacha solemba Lissu.

Nenda kwenye mikutano ya waandishi wa habari ambayo kimsingi palitegemewa awe John Mrema kama Mkuu wa Kitengo cha Itikadi na Uenezi kutoa taarifa na kuzungumzia tathmini ya uchaguzi na kampeni za Chadema lakini badala yake Lissu anazunguka mwenyewe mikutano yake yote na pakitokea jambo la kuzungumza analazimika tena huyohuyo mwenyewe Lissu kama mgombea kuzungumza na waandishi wa habari, tofauti na inavyotakiwa na hata tunavyoona kwenye vyama vingine vilivyojipambanua kama taasisi kuwa na kitengo cha uratibu wa kampeni kila mmoja. Hii ndio kali ya mwaka naiona.

Hata ratiba ya kampeni na mikutano ambayo kimsingi ilitakiwa kutolewa na idara ya Itikadi na Uenezi, Lissu anatoa mwenyewe. Kila mtu amemsusia Lissu kampeni zote. Hii ndio maana Lissu amekuwa na mlolongo wa makosa ya uvunjifu mkubwa wa maadili ya uchaguzi ya kujirudia rudia kwenye kila mkutano anaoufanya jambo lililosababisha mpaka akafungiwa kufanya kampeni siku 7. Hii inatokana na ukweli kwamba hakuna anayemfunga kengere tena Lissu na kumnyosha kimaadili na kufuata sheria na taratibu mana Chama chake kimemsusia.

Sasa hapa Watanzania wanaweza kupata picha ya aina ya upinzani na vyama vyetu vya upinzani. Hao ndo tuwape nchi kweli? Watu ambao wao kwa wao tu wenyewe hawapatani na wala hawaelewani, vipi itakuwa kwa Watanzania? Yani ndani ya Chama kimoja kila mtu na lake. Mwenyekiti wa Chama na Katibu wake hakuna anayeonekana kwenye mikutano ya mgombea wao na wala hajui kinachoendelea.

Lissu sasa wamemuacha kisiwani asijue cha kufanya. Kama tulivyozoea kuona kwenye mikutano ya vyama vingine vyenye taasisi imara pakiwa na safu nzima ya uongozi wa Chama kitaifa, viongozi waandamizi na wale wa maeneo husika, kwa Lissu mambo ni tofauti kabisa. Wao kwa wao hawana connection na wala huoni tafsiri ya utaasisi wa vyama vyao. Ni kama kikundi tu cha watu fulani wajanja wajanja wameamua kuhadaa na kurubuni watu ili wapate ruzuku ya Serikali ambayo wakishaipata wamekuwa wakigawana kama mchele mbele ya kuku.

Tukawanyime kura watu hawa Oktoba 28 kwenye sanduku la kura. Nchi hii si ya kuchezea chezea na kuleta usanii. Watanzania wanataka maendeleo na si vinginevyo.

Ni Mimi Kijana Wa Newala, Mtwara.
Watamwelewa tu
 
Asiyejua maana haambiwi maana! Sasa wewe uishi huko newala na samaki nchanga zako halafu utarajie kuwa na akili ya kuyajua mambo makubwa kama hayo?! Kaa ulivyo nyau we!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom