Uchaguzi 2020 Kampeni: Kama una hofu ya Mungu na kama umechoshwa na dhuluma tarehe 28 Oktoba chagua wagombea wa CHADEMA na washirika wao

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,650
218,105
Instagram media - CF4IVAAJw9X ( 640 X 640 ).jpg

Ikiwa kama umechoshwa na unyama unaotendwa dhidi ya binadamu nchini Tanzania ( RIP Lwajabe , pole Lissu ) , na ikiwa kama unakerwa na dhuluma dhidi ya wakulima , ikiwa unakerwa na rushwa na ikiwa kweli wewe ni mcha Mungu basi wakati wako wa kutenda kwa kadri ya maandiko Matakatifu umefika , pinga umasikini kwa kuikataa ccm na kuichagua Chadema , jiwekee akiba mbinguni kwa kuwakataa watekaji na wabambika kesi , kataa uonevu dhidi ya wananchi wa Tanzania .

Mungu anakuona unavyoteseka na amekuona ulivyo na Subira , sasa amekuletea Chadema na washirika wake ili ukombolewe dhidi ya Maisha ya kishetani ambayo ccm imejiapiza kuwapa wananchi , muda ni huu acha kulia lia , kura ni siri yako , ipige vizuri ili kumtukuza Mungu kwa " Ufufuo " wa Tundu Lissu ubarikiwe .

Nchi hii imebakisha wiki chache sana ili kuondokana na utumwa , dhiki , uonevu , ukosefu wa ajira , mishahara duni , ufisadi , utekaji , makanisa na misikiti kutumika , hofu , mateso , dharau , matusi , wizi , ada ya kuzaa , elimu duni , uonevu wa Masheikh wa Uamsho pamoja na mambo yote mabaya yaliyofichwa , mwenye maamuzi ni wewe , ikatae ccm ili tujue waliko waliopotea , ikatae ccm ili tuwajue watekaji , ikatae ccm ili chini ya mwezi mmoja tuyajue majina ya waliomshambulia Lissu na waliowatuma .

CHAGUA CHADEMA KWA UHURU , HAKI NA MAENDELEO YA WATU.
 
View attachment 1589163

Ikiwa kama umechoshwa na unyama unaotendwa dhidi ya binadamu nchini Tanzania ( RIP Lwajabe , pole Lissu ) , na ikiwa kama unakerwa na dhuluma dhidi ya wakulima , ikiwa unakerwa na rushwa na ikiwa kweli wewe ni mcha Mungu basi wakati wako wa kutenda kwa kadri ya maandiko Matakatifu umefika , pinga umasikini kwa kuikataa ccm na kuichagua Chadema , jiwekee akiba mbinguni kwa kuwakataa watekaji na wabambika kesi , kataa uonevu dhidi ya wananchi wa Tanzania .

Mungu anakuona unavyoteseka na amekuona ulivyo na Subira , sasa amekuletea Chadema na washirika wake ili ukombolewe dhidi ya Maisha ya kishetani ambayo ccm imejiapiza kuwapa wananchi , muda ni huu acha kulia lia , kura ni siri yako , ipige vizuri ili kumtukuza Mungu kwa " Ufufuo " wa Tundu Lissu ubarikiwe .

Nchi hii imebakisha wiki chache sana ili kuondokana na utumwa , dhiki , uonevu , ukosefu wa ajira , mishahara duni , ufisadi , utekaji , makanisa na misikiti kutumika , hofu , mateso , dharau , matusi , wizi , ada ya kuzaa , elimu duni pamoja na mambo yote mabaya yaliyofichwa , mwenye maamuzi ni wewe , ikatae ccm ili tujue waliko waliopotea , ikatae ccm ili tuwajue watekaji , ikatae ccm ili chini ya mwezi mmoja tuyajue majina ya waliomshambulia Lissu na waliowatuma .

Tutapiga kura zetu kwa CDM na pia tutapambana kuona ushindi wetu unalindwa, tumechoka na utumwa wa sasa.
 
Wapenda haki wote,was taifa la Tanzania,Mungu awabariki Sana.Na kwa uwezo wake tutashinda dhulma na ubaguzi ndani ya taifa letu.
 
Watz tusipoungana kwa nguvu zetu zote kuitoa madarakani hili lichama la maccm mwaka huu halitatoka tena hadi hiki kizazi cha sasa kife.
 
Mungu kupitia Maandiko matakatifu amekataza suala la mapenzi ya Jinsia moja,pia mapenzi kinyume na Maumbile.

Na kwa Misingi ya imani yangu,Kalaani kabisa watu watakaoshiriki hili tendo takwa hapo juu(Kufirana).

Na nikiwa na Hofu ya Mungu nimuaminiye siwezi Mchagua mtu anasapoti vitendo ambavyo Mwenyezi Muungu kavilaani,Hii kusema sitaki kushiriki kwenye dhambi yake.

Mkono wangu wa kulia ukiwa juu,Nitamchagua JOHN POMBE MAGUFULI kama rais wangu(wetu) sisi Watanzania.
 
ila amekubali watu kutekwa na kunyongwa na kutupwa mkuranga
 
Hakuna udhibitisho wa hili,au tukuite uisaidie mahakama kama shaidi kudhibitisha hili beyond reasonable doubt.

Haya mengine mnafanyiana wenyewe ndani ya chama kwa mgongo wa serikali iliyopo madarakani.
 
una akili timamu ?
 
unafikiria kuacha kazi wakati mbadala wa kazi hauna na hauja jiajiri kijana.

Sawa,Tuitoe CCM madarakani alafu nani aongoze??

Tusimpe kura J.P.M ,then tumpe nani??
Hashimi Rungwe(Mzee wa Ubwabwa) au bwabwa Mwenyewe T.L??

Tanzania hatuna Mbadala,Mbadala pekee alikuwa ni Dkt.Wilbord Slaa,Nae kwa sasa anawacheka tu.
Wewe utamchagua magufuly
Mimi nitamchagua TUNDU LISSU

kila mmoja ashinde mechi zake
 
Back
Top Bottom