Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,734
- 10,259
Dalili za mvua ni mawingu,kuwa CHADEMA haitaweza kupata wabunge zaidi ya watatu,maana kisiasa wamekabwa kila kona.
Mwaka 2015 ni muungano wa Ukawa ndio uliwasaidia wakapata wabunge wengi.
Mwaka huu wana hali mbaya maana sehemu nyingi tayari CCM imepita bila kupingwa. Na hii ni dalili tosha kuwa CHADEMA itapata madiwani na wabunge wachache.
Je CHADEMA itaweza kujiendesha bila ruzuku? Kama ilikuwa inapata mil 360 kwa mwezi lakini hali ni mbaya sana. Je bila ruzuku CHADEMA inaenda kuzikwa kabisa?