Uchaguzi 2020 Nchi yetu inakwenda kumpata Rais mpya kabisa kutoka kwenye chama kipya kabisa

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,227
16,178
Wakati Fulani daudi alikumbana na wakati mgumu sana mbele ya mfalme Sauli pale Sauli alipogundua Daudi ndiye anaependwa sana na Mungu na amepakwa mafuta kuwa mfalme wa Israeli badala yake. Alipanga kumuua kabla ya kutimiza ndoto zake lakini haikuwezekana.

Na mwisho wa siku yeye mwenyewe sauli alikufa kabla hajamuua Daudi.

Na mwisho wa siku Daudi akawa mfalme mahali pake katika Israeli na kuliongoza taifa la Israeli katika mafanikio makubwa kiuchumi kwa sababu tu daudi alimsikiliza Mungu katika namna ya kuongoza watu katika mafanikio yao na haki siku zote aliitanguliza mbele na ndio maana alipendwa sana na wananchi wake.

Kwenye nchi yetu kuna jambo linaenda kutokea na wale wasioamini mpaka washuhudie kwa macho wataona kama alivyoona Tomaso.

Kila Mtu aliye wake na asiye wake anakwenda kumpigia kura na hii ni kutokana na maono aliyopewa katika taifa hili.

Amini Usiamini lakini ndicho kitakachoenda kutokea.

Watu wanaoamini katika ulimwengu wa roho ule usioonekana kwa macho ya kawaida wala kusikika kwa masikio ya kawaida wananielewa nilichosema.
 
Piga spana kwa msaliti wa nchi, lissu atapigiwa kura robert

Unaambiwa robert anwchamba km mzaramo ukiingia twitter anaoga matusi ya kufa kutoka kwa watanzania
Mambo gani unaongea haya?!Watu wanaongea juu ya mambo makubwa ya Tanzania ya kesho, juu ya Tanzania mpya,juu ya mabadiliko ya watanzania,juu ya uhuru wao na juu ya ustawi wetu mpya ila wewe unaongea juu ya matusi na vichambo!

Unaelewa kuwa ni rahisi sana kupima kiwango cha akili ya mtu kwa kuchunguza tu kile mtu anachoongea na kuandika? Yaani katika uchaguzi huu wewe umeona kubwa la kuzungumzia ni matusi na vichambo? Nafikiri mpaka hapa umeshajua kuwa una akili kiasi gani.
 
Piga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu

Na lissu akiwaletea hata wabunge wawili mkatambike
Mambo gani unaongea haya?!Watu wanaongea juu ya mambo makubwa ya Tanzania ya kesho,juu ya Tanzania mpya,juu ya mabadiliko ya watanzania,juu ya uhuru wao na juu ya ustawi wetu mpya ila wewe unaongea juu ya matusi na vichambo!!

Unaelewa kuwa ni rahisi sana kupima kiwango cha akili ya mtu kwa kuchunguza tu kile mtu anachoongea na kuandika?Yaani katika uchaguzi huu wewe umeona kubwa la kuzungumzia ni matusi na vichambo?!Nafikiri mpaka hapa umeshajua kuwa una akili kiasi gani
 
Piga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu

Na lissu akiwaletea hata wabunge wawili mkatambike
Nilishakupa assignment ya kuthibitisha kuwa Lissu ni msaliti wa nchi ila ukaingia mitini.Uliingia mitini kwa sababu suala lako la kudai kuwa Lissu ni msaliti wa nchi ni porojo tu pamoja na siasa za maji taka na mtu pekee ambae anaweza kufanya siasa za namna hii ni mtu mwenye utindio wa ubongo au mbumbumbu.Wewe una utindio wa ubongo kwa sababu unafanya siasa za namna hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom