Uchaguzi 2020 Hata baada ya kudhalilishwa na OCD, Freeman Mbowe aendelea na Kampeni zake za Ubunge jimbo la Hai

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,474
215,294
FB_IMG_1602159805155.jpg

Mh Freeman Mbowe leo anaendelea na kampeni kwenye kata ya Rundugai , licha ya jana kudhalilishwa na OCD ambaye ni Mkuu wa Polisi Wilaya ya Hai aliyeshindwa kuzuia mapenzi yake kwa Chama chake cha CCM
=======

Subpost 2 - Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Ubunge Jimbo la Hai Mhe. Free ( 360 X 640 ).jpg
Subpost 1 - Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Ubunge Jimbo la Hai Mhe. Free ( 359 X 640 ).jpg
 
Attachments

  • Subpost 4 - Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Ubunge Jimbo la Hai Mhe. Free ( 360 X 640 ).jpg
    Subpost 4 - Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Ubunge Jimbo la Hai Mhe. Free ( 360 X 640 ).jpg
    39.8 KB · Views: 1
  • Subpost 3 - Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Ubunge Jimbo la Hai Mhe. Free ( 359 X 640 ).jpg
    Subpost 3 - Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Ubunge Jimbo la Hai Mhe. Free ( 359 X 640 ).jpg
    31.4 KB · Views: 1
Police na ccm awaelewi kete za upinzani wapinzani wanakusanya ushahidi kila matendo na matukio yote wanayotendewa ili kutengeneza ushahidi mzuri ambao polisi na ccm hawawezi chomoka uzuri technology utunza kila kitu ili siku ya mwisho usiseme umeonewa, maana utaonyeshwa live "we si ndo umesema piga bomu" au huyu nani" hakuna ushahidi mbaya sana Kama wa recording, Kama ule wa wasaliti huwa wanafanya nini" hapa unachomakaje sasa.
Sisi yetu ni kuipongeza tu polisi walizidi kutengeneza ushahidi kwa matendo yao ya kuwanyanyasa wapinzani.
 
Usimuamshe aliyelala
 
Red blood cells unafurahisha sana, nimetambua tulidanganywa saana kama unavyo wadanganya wasomaji humu .

Wewe mbunge wa jimbo lako umemchagua anachofanya kuja kuomba kura wakati wa uchaguzi nakupotea? , kwani na wabunge wenu wanawafanyia hivi hivi?

Kwani sisi Wamachame ndio wajinga sana kiasi mnashabikia sisi tuchague dubwana ambalo halina msaada wowote kwetu ?

Mtupunzishe na huyu mjinga wenu kama shuguli za kitaifa ndio jimbo lake mwambieni aende tuu, aache koti tutalichagua.

Ametuletea Wakurya wana tuumiza huku kila siku ili tufanye nini? Kututisha tusipo mchagua atatuonesha kazi, kwani majimbo mengine mnatishwa ili mchague wabunge wenu?

Safari hii kitaeleweka tuu, atatuumiza atatuchinja lakini kura ng'o hatumpi na mmwambie huko, kama hela hana ndio anafanya kumalizia hasira kwa wapiga kura wake?
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom