Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Aug. 2015. Akizungumza na vyombo vya habari jijini, Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Assah Mwambene alisema Serikali hakitatoa ruhusa kwa chama chochote cha siasa kuutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Greetings, Nimetafakari kwa kirefu suala hili na nikaguswa zaidi na kutoweka ghafla kwa rafiki yangu. Nimeona ni vyema sana tukumbushane haya kwa Wagombea wa vyama vyote. Moja, hakikisha...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
NICHAGUENI OKTOBA 28, NIWE RAIS ILI NISIMAMIA MAENDELEO YA KIUCHUMI NCHINI "PROF.LIPUMBA" TANGA- MKINGA Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itajenga uchumi wa kisasa wenye ushindani wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kuishiwa hoja mmekuja na slogan kwamba maendeleo ya vitu hayana maana Kwamba ndege zilizonunuliwa hazina maana, mkasahau kuwa ndugu zetu walipokwama India tuliwafuata na Ndege yetu...
0 Reactions
0 Replies
577 Views
Malalamiko yaliyofikishwa kwenye tume ya maadili ya uchaguzi ni pamoja na kumuita Gwajima kuwa ni Chokoraa, aidha ametoa madai yasiyoweza kuthibitika ni kudai kuwa mchungaji Gwajima anatembea na...
2 Reactions
56 Replies
7K Views
Uteuzi wa Mrisho Gambo Jimbo la Arusha umepokewa kwa mitazamo Tofauti ukizingatia kwamba siku Rais John Mgufuli akimtumbua ukuu wa Mkoa huo watu wengi walifurahia na kuonekana wakimwaga pombe bar...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Ukihudhuria kwenye kampeni za CCM, tishet utapata, kofia utapata, mauno utayakata, machambo utayakata, vitisho utavipata, yaan kila aina ya burudani utavipata, wengine hata kutembea na wake na...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Habarini wana jamvi. Juzi hapa tulimsikia rais akiwa-mind wakandarasi kwa kuchelewesha mradi wa stendi mpya ya kisasa pale mbezi jambo ambalo hakulitegemea tena mbele ya mgeni wake, Rais wa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ohoooo Gambo Anasema CCM wafanye vurugu ili Jimbo tu la Arusha lirudi CCM! Msisitizo, Wafanye hata Vurugu..... Hii kauli ingetolewa na Upinzani mmmmghh.. Leo May 27, 2018 Mkuu wa mkoa wa Arusha...
5 Reactions
138 Replies
19K Views
Mr David Concar has been appointed British High Commissioner to the United Republic of Tanzania in succession to Ms Sarah Cooke who will be transferring to another Diplomatic Service appointment...
6 Reactions
98 Replies
13K Views
Waswahili walisema kuwa "Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo". Ni kweli ataumia kidogo kwa sababu utakua umemshtua ila ukweli ni kwamba umemuongezea mwendo. CCM wanafurahi wapinzani kukamatwa...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Wana wema wa MUNGU. Ni ukweli ambao kwa wengine utawaumiza, na wengine utawafurahisha, lakini hakuna dalili yeyote ya upinzani kushimda nafasi ya uraisi, kwa sababu zifuatazo: 1: Mtandao wa CCM...
9 Reactions
30 Replies
3K Views
"What does not kill you, makes you Stronger". CCM wamehaha, hawana pa kukimbilia, sera imekua kurubuni na kununua wanachama wa CHADEMA, Hii si mara ya kwanza na nakuhakikishia haitakua mara ya...
11 Reactions
32 Replies
2K Views
Ni kama Tanzania imepata uhuru kutoka kwa mkoloni mweusi CCM ni furaha ilioje waTanzania wameweza kufanya maamuzi magumu ya kuiondoa CCM madarakani dalili zimeanza kuchomoza kila pembe ya...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Msikilizeni huyu kijana. Baadhi ya wasanii walikuwa wakifanya mambo machafu. Mambo yasiyoendana na maadili ya Watanzania. CCM iwe makini katika kuchagua wasanii wa kufanya kampeni. =======...
16 Reactions
70 Replies
11K Views
Wakuu, Nakumbuka niliwahi kuandika kitu kama hiki iwakati wa Uchaguzi uliopita lakini kwa bahati mbaya sana sana Ndugu yangu, Rafiki yangu Mohamedi Mtoi alipata ajali siku chache baadae, ajali...
31 Reactions
51 Replies
5K Views
Humphrey Polepole Tusipoyauliza leo, hakika tutaulizwa sisi na vizazi vijavyo tukiwa hai au tukiwa tumetangulia mbele ya haki Kabla ya kuuliza maswali yangu manne, ni vema nikaeleza kwanza...
8 Reactions
42 Replies
9K Views
Na: McWenceslaus www.ccmmpya.org 10/10/2020. Leo nimekuja nikiwa na ujumbe maridhawa wenye lengo la kutukumbusha kuhusu malengo ya Muungano wetu na utawala wa umoja wa kitaifa ambao tumekuwa nao...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Taarifa hii ilitolewa jana usiku (7:24 PM) na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Mawasiliano wa CHADEMA, bwana Jon Mrema kupitia mtandao wa twitter: Kesho Jumatatu tarehe 16.03.2020 saa Sita Kamili...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…