The English of President Magufuli of Tanzania

Joshua Bukuru

Member
Apr 16, 2011
76
95
I managed to carefully listen to President Magufuli addressing the EAC heads of State. His english is neither good nor bad but it can be better.

President Magufuli speaks SwahiEnglish, a language nowhere to find. As a matter of fact, President Magufuli needs a 6 month extra english lessons to catch up with his counterparts in the region.

I understand why he didn't attend the Davos Conference in Switzerland, the fear is enorm if you can't express or hold bilateral sessions with your colleagues in a language that yourself you don't manage.

I also understand why he invited all ambassadors to the state house yet he didn't appear. He ended hiding himself underneath of the state house tables somewhere in the house.

His level of english communications is too low. This is another major blow for Tanzanians after Kikwete finding himself in the same situation in his presidency.
 
I managed to carefully listen to President Magufuli addressing the EAC head of States. His english is neither good nor bad but it can be better. P

resident Magufuli speaks SwahiEnglish, a language nowhere to find. As a matter of fact, President Magufuli needs a 6 month extra english lessons to catch up with his counterparts in the region.

I understand why he didn't attend the Davos Conference in Switzerland, the fear is enorm if you can't express or hold bilateral sessions with your colleagues in a language that yourself you don't manage.

I also understand why he invited all ambassadors to the state house yet he didn't apppear.He ended hiding himself underneath of the state house tables elsewhere in the house.

Mjinga wewe, pamoja na english yako ya kuombea kazi, si ajabu unaishi mabonde kuinama na mfukoni jero ya mama ntilie.
English uliyo nayo haikusaidii kujikomboa, mmesoma ila hamja elimika!
 
I managed to carefully listen to President Magufuli addressing the EAC head of States. His english is neither good nor bad but it can be better. P

resident Magufuli speaks SwahiEnglish, a language nowhere to find. As a matter of fact, President Magufuli needs a 6 month extra english lessons to catch up with his counterparts in the region.

I understand why he didn't attend the Davos Conference in Switzerland, the fear is enorm if you can't express or hold bilateral sessions with your colleagues in a language that yourself you don't manage.

I also understand why he invited all ambassadors to the state house yet he didn't apppear.He ended hiding himself underneath of the state house tables elsewhere in the house.

His level of english communications is too low. This is another major blow for Tanzanians after Kikwete finding himself in the same situation in his presidency.
Really the President has limited English vocabularies! I am horrible on how is going work with an International forums!
 
Watu Kama wewe mleta mada uko tayari kumsamehe mtu anayemtafuna mkeo kwa sababu tu amekuomba msamaha kiingereza. Watwana hamuishi kwenye jamii ya Kitanzania. Umeshawahi kumsikia Xi Jinping akiongea kiingereza!!??? Umeshawahi kumsikia Francois Hollande akiongea kiingereza!!!??? Umeshawahi kumsikia Putin akiongea Kiingereza!!?? Umeshawahi kumsikia Kim Jong-Un akiongea kiingereza!!!???
Acha utwana Nyamafu wee...
 
I managed to carefully listen to President Magufuli addressing the EAC head of States. His english is neither good nor bad but it can be better. P

resident Magufuli speaks SwahiEnglish, a language nowhere to find. As a matter of fact, President Magufuli needs a 6 month extra english lessons to catch up with his counterparts in the region.

I understand why he didn't attend the Davos Conference in Switzerland, the fear is enorm if you can't express or hold bilateral sessions with your colleagues in a language that yourself you don't manage.

I also understand why he invited all ambassadors to the state house yet he didn't apppear.He ended hiding himself underneath of the state house tables elsewhere in the house.

His level of english communications is too low. This is another major blow for Tanzanians after Kikwete finding himself in the same situation in his presidency.
Wewe chizi kweli, hivi tunahitaji maendeleo au English. Mbona jk alikuwa hajui kabisa english lakini still amekuwa rais.
We need development, rais wa China hajui lugha yeyote zaidi ya kichina na still anazungumza na wenzake na wanaelewana.
Bahati mbaya sana nimemsikiliza vizuri rais hotuba yake yote. He spoke a very good English lakini kinachomuathiri my president ni mothertongue language. Otherwise he speak a standard English with good pronunciation. Acheni ujinga ukawa baada ya kushindwa mmekuwa mkifuatilia vitu vidogo vidogo baada ya kukosa hoja. Mwacheni rais afanye kazi njema
 
I managed to carefully listen to President Magufuli addressing the EAC head of States. His english is neither good nor bad but it can be better. P

resident Magufuli speaks SwahiEnglish, a language nowhere to find. As a matter of fact, President Magufuli needs a 6 month extra english lessons to catch up with his counterparts in the region.

I understand why he didn't attend the Davos Conference in Switzerland, the fear is enorm if you can't express or hold bilateral sessions with your colleagues in a language that yourself you don't manage.

I also understand why he invited all ambassadors to the state house yet he didn't apppear.He ended hiding himself underneath of the state house tables elsewhere in the house.

His level of english communications is too low. This is another major blow for Tanzanians after Kikwete finding himself in the same situation in his presidency.
Hichi kizungu chako umetowa baada ya kuhariri siku 3...vijana wengi sasa akili zenu zimeharibika kwa kunywa "ukawa"
 
....hivi watanzania tunaitaji english au maendeleo ya kweli?
Kwa nchi maskini kama yetu, hatuna teknolojia ya kwetu na tunategemea misaada lazima tukope lugha ya wenzetu ili tuweze kueleweka la sivyo tutajitenga wenyewe...kisa tunaogopa kiingereza ambacho hata wachina wanalazimika kujifunza ili kuuza bidhaa na huduma zao. Rais ashuriwe apate mtaalam wa lugha aboreshe fluency yake katika english ili aweze kuwasiliana vizuri na wadau wa maendeleo na wabia katika biashara...hapo acheni bla bla na ushabiki usiokuwa na maana.
 
English ni lugha tu kama zilivyo lugha nyingine, nyie mnaojiona mnajua English imewaaaidia nini? Kwani marais wote duniani wanajua kuongea English? Acheni ujinga fanyeni kazi. Magufuli ni Mwanasayansi, na naamini wengi wenu mnaomkejeri hata hammfikii hata kidogo bali ni chuki tu!
 
Kwa nchi maskini kama yetu, hatuna teknolojia ya kwetu na tunategemea misaada lazima tukope lugha ya wenzetu ili tuweze kueleweka la sivyo tutajitenga wenyewe...kisa tunaogopa kiingereza ambacho hata wachina wanalazimika kujifunza ili kuuza bidhaa na huduma zao. Rais ashuriwe apate mtaalam wa lugha aboreshe fluency yake katika english ili aweze kuwasiliana vizuri na wadau wa maendeleo na wabia katika biashara...hapo acheni bla bla na ushabiki usiokuwa na maana.
Toeni upumbavu wenu wa kisiasa. Mbowe umeshamsikia ana hutubu kingereza anavyopumua!!??? Huyo aliyekuwa mgombea wenu wa URAIS umeshamsikia akiongea kiingereza!!!??? Rais JPM ndio Rais wako na wewe na mkeo...
 
Kwa nchi maskini kama yetu, hatuna teknolojia ya kwetu na tunategemea misaada lazima tukope lugha ya wenzetu ili tuweze kueleweka la sivyo tutajitenga wenyewe...kisa tunaogopa kiingereza ambacho hata wachina wanalazimika kujifunza ili kuuza bidhaa na huduma zao. Rais ashuriwe apate mtaalam wa lugha aboreshe fluency yake katika english ili aweze kuwasiliana vizuri na wadau wa maendeleo na wabia katika biashara...hapo acheni bla bla na ushabiki usiokuwa na maana.

Halafu, kama Kiingereza si cha muhimu hivyo kwa nini tunakitumia?

Tunakitumia mahakamani, mashuleni, serikalini, na kwingineko.

Halafu kuna majinga majinga humu ambayo hata Kiswahili hayakijui vizuri yanajifanya kana kwamba kutumia Kiingereza ni kutukuza ukoloni.

Mbona hatuyaoni yakiandamana kupinga matumizi yake kwenye hizo sehemu?

Ukweli ni kwamba Magufuli haimudu vizuri hiyo lugha na wala hakuna ubaya wowote ule.

Atumie tu Kiswahili ambacho kidogo anakimudu vizuri kulinganisha na Kiingereza.
 
Really the President has limited English vocabularies! I am horrible on how is going work with an International forums!
Hii lugha hata wanaosahihisha nao wanakosea. Si busara kutoa kibanzi cha mwenzako wakati weye una boliti. Achana na lugha bwana soma hii sentensi kwa makini utaona makosa ya huyu mwandishi I am horrible on how is going work with an International forums!
 
I managed to carefully listen to President Magufuli addressing the EAC head of States. His english is neither good nor bad but it can be better. P

resident Magufuli speaks SwahiEnglish, a language nowhere to find. As a matter of fact, President Magufuli needs a 6 month extra english lessons to catch up with his counterparts in the region.

I understand why he didn't attend the Davos Conference in Switzerland, the fear is enorm if you can't express or hold bilateral sessions with your colleagues in a language that yourself you don't manage.

I also understand why he invited all ambassadors to the state house yet he didn't apppear.He ended hiding himself underneath of the state house tables elsewhere in the house.

His level of english communications is too low. This is another major blow for Tanzanians after Kikwete finding himself in the same situation in his presidency.
Kweli Rais kiingereza chake hakipo kwenye viwango vya juu lakini hata wewe unaandika kama mtoto wa darasa la pili.
 
Back
Top Bottom