Uchaguzi 2020 Queen Sendiga: Jukumu la Serikali ni kupanga namna njema ya matumizi ya rasilimali zilizopo kwenye maeneo husika kwa manufaa ya wakazi wake

ADC Party

Member
Sep 14, 2020
28
29
Queen Sendiga kaelezea umuhimu wa rasilimali zilizopo Mtwara kunufaisha wanamtwara

"Jukumu lingine kubwa kwa serikali makini inayojali maisha ya watu ni kupanga namna njema ya matumizi ya rasilimali zilizopo kwenye maeneo/mikoa husika kwa manufaa ya wakazi wake

ADC ikipata nafasi ya kuongoza nchi inaahidi kurejesha ujenzi wa kiwanda cha gesi hapa mtwara kama serikali ilivyoahidi wananchi wa mtwara awali na baadae ikafanya tofauti bila kuwashirikisha

Ujenzi wa kiwanda cha kuchakata gesi kutasaidia kupunguza tatizo la ajira kwa vijana,uhakika wa umeme na upatikanaji wa gesi ya gharama nafuu kwa matumizi ya majumbani

Pia mgombea alipata nafasi ya kuwanadi madiwani wa kata mdimba, mikunda na kwanyama

Kesho tunandelea na kapeni ikiwa ni siku ya mwisho kwa wilaya ya Tandahimba"

783933803.jpg
1042965131.jpg
1554861740.jpg
113843979.jpg
1807870431.jpg
1360808506.jpg
1404668493.jpg
 
Chadema angalieni nyomi hiyo. Msije mkashangaa akipata kura nyingi kuliko yule mgombea wenu ambaye watanzania wengi wanamchukulia kama mtengeneza fujo fulani.
 
Queen Sendiga kaelezea umuhimu wa rasilimali zilizopo Mtwara kunufaisha wanamtwara

"Jukumu lingine kubwa kwa serikali makini inayojali maisha ya watu ni kupanga namna njema ya matumizi ya rasilimali zilizopo kwenye maeneo/mikoa husika kwa manufaa ya wakazi wake

ADC ikipata nafasi ya kuongoza nchi inaahidi kurejesha ujenzi wa kiwanda cha gesi hapa mtwara kama serikali ilivyoahidi wananchi wa mtwara awali na baadae ikafanya tofauti bila kuwashirikisha

Ujenzi wa kiwanda cha kuchakata gesi kutasaidia kupunguza tatizo la ajira kwa vijana,uhakika wa umeme na upatikanaji wa gesi ya gharama nafuu kwa matumizi ya majumbani

Pia mgombea alipata nafasi ya kuwanadi madiwani wa kata mdimba, mikunda na kwanyama

Kesho tunandelea na kapeni ikiwa ni siku ya mwisho kwa wilaya ya Tandahimba"

View attachment 1596161View attachment 1596162View attachment 1596163View attachment 1596164View attachment 1596165View attachment 1596166View attachment 1596167
Nina hakika na hili nyomi
 
Chadema angalieni nyomi hiyo. Msije mkashangaa akipata kura nyingi kuliko yule mgombea wenu ambaye watanzania wengi wanamchukulia kama mtengeneza fujo fulani.
Unakimbilia nyomi hujasikia alichoongea? Unajifanya Zuzu makusudi wakati kawavua nguo na Sera zenu za ukoko?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom