Natamani Robert Amsterdam angekuwa anajua Kiswahili

Best Daddy

JF-Expert Member
Apr 2, 2019
766
1,287
Amani iwe nanyi.

Nimejaribu kupita pita karibu kila tweet ya huyu anaejipambanua kama anataka kuipigania haki katika nchi yetu ya Tanzania hasa wakati huu wa Uchaguzi, Bw. Robert Amsterdam.Nimecheka sana.

Yaani kila tweet anayozungumzia Tanzania, Ukipita kwenye replies utaona asilimia 98% ya hizo reply ni kuukataa huu upuuzi wake,Hawajaishia hapo kuna waswahili wanampa michambo/wanamkejeli vya kutosha, kuhusu matusi kwake imekuwa ni sehemu ya reply katika tweets zake wakitaka aiache Tanzania kama ilivyo.
In short, Watanzania asilimia kubwa wamemkataa.

Na kama jamaa angekuwa anajua kiswahili au ana translate zile comments kwa Lugha yake, anaenda kukata tamaa mapema sana kwa kile anacho amini anakipigania watu hawakitaki kabisa na angejiona boya|mjinga sana.

Watanzania hatutaki external influence kwa jambo lolote litaloleta negative impacts katika nchi yetu.
 
Anachamba yule robert sijawahi kuona ni km ndugu yake lissu

Ila amekutana na waswahili wanampa vidonge hadi amekuwa mpole
 
kwani wewe ni msemaji wa tweet za watu, ama wewe unayekubalika ni nani anayekujua???
 
Mkuuu huyo hawezi kukata tamaa sasa hivi mpaka yule baby wake apigwe kwenye box la kura, baada ya hapo atamuoa tu huyo baby wake maana madini aliyoahidiwa yatakuwa yameota mbawa.
Naona kabisa Lazima mtu na baby wake lazima wagombane baada ya october 28,2020.
 
Anachamba yule robert sijawahi kuona ni km ndugu yake lissu

Ila amekutana na waswahili wanampa vidonge hadi amekuwa mpole
Waswahili wanapenda nchi yao sijawahi ona kabisa.

Roberto Mwaka huu Lazima anyooke.
Hii nchi aliyovamia sio kabisa, ina watu wake bwana.
 
Mkuuu huyo hawezi kukata tamaa sasa hivi mpaka yule baby wake apigwe kwenye box la kura, baada ya hapo atamuoa tu huyo baby wake maana madini aliyoahidiwa yatakuwa yameota mbawa.
Mkuu kwani hata wewe ni mwamko mweupe inayopendwa na Jiwe?
 
Mapimbi vibaraka wa mhutu wanaolipwa mtandaoni ndio watanzania ? Soma ujumbe wake .
Screenshot_20201010-182619.png
Screenshot_20201010-182406.png
 
Amani iwe nanyi.

Nimejaribu kupita pita karibu kila tweet ya huyu anaejipambanua kama anataka kuipigania haki katika nchi yetu ya Tanzania hasa wakati huu wa Uchaguzi, Bw. Robert Amsterdam.Nimecheka sana.

Yaani kila tweet anayozungumzia Tanzania, Ukipita kwenye replies utaona asilimia 98% ya hizo reply ni kuukataa huu upuuzi wake,Hawajaishia hapo kuna waswahili wanampa michambo/wanamkejeli vya kutosha, kuhusu matusi kwake imekuwa ni sehemu ya reply katika tweets zake wakitaka aiache Tanzania kama ilivyo.
In short, Watanzania asilimia kubwa wamemkataa.

Na kama jamaa angekuwa anajua kiswahili au ana translate zile comments kwa Lugha yake, anaenda kukata tamaa mapema sana kwa kile anacho amini anakipigania watu hawakitaki kabisa na angejiona boya|mjinga sana.

Watanzania hatutaki external influence kwa jambo lolote litaloleta negative impacts katika nchi yetu.
Kibaraka wake Lissu atakuwa anamdanganya kwenye hizo tweets ili waendelee kupata pesa toka kwa mabeberu!
 
Mapimbi vibaraka wa mhutu wanaolipwa mtandaoni ndio watanzania ? Soma ujumbe wake .View attachment 1596897View attachment 1596899
Mlivyo Wanyonge mmeshindwa kuzungumza wenyewe na kutake any action kama chama, Wote macho kwa boya moja linaitwa Roberto awazungumzie .

Mlikuwa mnamuandaa awe msemaji mkùu nini wa serikali mkijua mtapita??

Adhabu yenu ya kumtegemea Roberto itafanyika tar.28 katika box la kura.
 
Mkuu kwani hata wewe ni mwamko mweupe inayopendwa na Jiwe?
Mkuu mimi siyo mzee wa faragha,!

Yule baby wa Amsterdam mwaka huu atatembea huku anaongea pekeake, na sokoni kununua nyanya ataenda sana. We subiri ifike tareh 28
 
Atleast kaanza kupatia jina la Magufuli. Wakati anaandika “Magafuli” alikuwa anaonekana sio makini. Learned brothers wote wapo smart na ni kosa kukosea spelling hata moja
 
Back
Top Bottom