Suala zuri kwa Dkt. Magufuli ni kwamba ana mipango mizuri inayotekelezeka

Oct 6, 2020
27
50
Sifa nyingine nzuri aliyonayo JPM ni kupanga mipango vizuri, tena inayotekelezeka. Amepanga na kuanzisha miradi mikubwa mikubwa ambayo ni ya kimkakati na kuchagua kutumia mbinu ya ‘iende pamoja’badala ya ‘mmoja baada ya mwingine’. Ni miradi ghali, lakini serikali yake iliweza kukaa chini na kuona ni wapi fedha za miradi hiyo zitatoka. Hakuna alilopanga JPM likawekwa kapuni. Ajabu zaidi, hata mipango ya watangulizi wake, imeitafutiwa tafsiri nzuri na kufanya itekelezeke.

Alisema wazi kiongozi huyu, akipanga kitu lazima kitekelezeke tena kwa kasi, bila kutafuta visingizio au kuleta uzembe. Kwa kauli yake “anayetaka kuchakata, akachakatie nyumbani”. Hakika, mpango hauwi mpango, bali uliotekelezeka.

Kati ya mambo ambayo yamemtofautisha JPM na viongozi wengi duniani, ni uwezo wake wa kufanya maamuzi vizuri bila kufuata iliyo kwaida au kufuata mkumbo wa kuangalia wengine wanafanyaje, au kujali uhusiano wake binafsi wa kirafiki na mtu mmoja mmoja. JPM kwa mfano, ameushangaza ulimwengu kwa kuamua kushughulikia suala la mlipuko wa COVID–19 (gonjwa la korona) kwa namna ya kipekee. Aliamua kutofunga miji (lockdown) na shughuli za kiuchumi. Ni uamuzi ambao ulionekana wa hatari mno, lakini yeye aliamini anafanya jambo sahihi. Wapo waliobeza uamuzi huo, lakini muda umekuja kuthibitisha kwamba alifanya uamuzi sahihi kiasi kwamba viongozi wengine waliamua kufuata mfano wake.

Aidha imethibitika pasipo shaka, kwamba JPM ana uwezo mkubwa wa kutayarisha mikakati thabiti ya utekelezaji wa mipango mbalimbali. Katika kipindi cha miaka mitano, Magufuli amejipambanua kama kiongozi mwenye uwezo mkubwa wa kuibuka na mikakati ya kufanikisha shughuli za serikali. Mikakati hiyo imekuwa ni pamoja na kubana kabisa matumizi ya Serikali yasiyo ya lazima, kusitisha matumizi ya kwenye sherehe/hafla kadhaa ili fedha zihamie kwenye miradi ya maendeleo na kuyataka mashirika yote ya umma yatunishe mfuko wa serikali kwa kutoa gawio au mchango, na kushusha mishahara iliyokuwa ya kiwango kikubwa mno kwa baadhi ya watumishi (baadhi ilifikia TZS milioni 30+). Alipoweza kutumia mikakati hii kukusanya fedha nyingi, alianza kuhoji kama watu wanaona kwamba kuna miradi inafanyika ambayo awali ilishindikana, na wanafikiri ni kwanini haikuwezekana awali. Jibu linakuwa rahisi, JPM ni mahiri wa mikakati ya kufanya mambo yafanikiwe.

Kadhalika JPM ana uwezo ulio wazi kabisa wa kuvuvia wafuasi. Uwezo wake huu umeonekana katika sura kadhaa, ikiwa ni pamoja na alivyoweza kuwafanya watu watumie misemo yake katika maisha yao ya siku kwa siku. Mathalani, katika kipindi kati ya 2015 na 2020, usemi wa kutumbua majipuna kutumbuliwasio tu umekuwa mbadala wa maneno ya kuachishwa au kufukuzwa kazi, wapo pia ambao wameutumia walipoamua kuwaacha watu waliokuwa na mahusiano nao awali, pale uhusiano ulipokwenda kombo.

Amevutia watu kadhaa, hata akaibuka kijana ambaye huzunguka nchini akiigiza jinsi kiongozi huyu anavyotoa hotuba zake na anavyoagiza mambo yafanyike. JPM amekuwa na kivutio kikubwa hata nje ya Tanzania. Wapo raia kadhaa wa nchi za kigeni walioandika au kutuma ujumbe wao katika mitandao ya kijamii, wengine wakitamani viongozi wa nchi zao wawe kama JPM, na wengine wakifanya mambo fulani fulani kwa kujiuliza, ingekuwa ni JPM angefanyaje jambo husika.

Utoaji wa motisha anaoufanya JPM nao ni wa aina yake. Watanzania wamepigwa butwaa mara kadhaa, punde JPM alipofanya vitendo visivyo vya kawaida vya kuwapongeza na kuwapa motisha watu ambao wamefanya kazi nzuri. Kwa mfano, aliagiza barabara ya juu ya makutano ya Tazara - Dar es Salaam, iitwe kwa jina la Mfugale, ikiwa ni motisha na pongezi kwa Injinia mwenye jina hilo kwa kufanya kazi nzuri na ya kizalendo. Wakati mwingine amekuwa akiagiza watu kadhaa waliofanya kazi nzuri wapewe zawadi hata za fedha taslimu, papo kwa papo na kadhalika.

JPM ana ushawishi mkubwa na anaowashawishi wanashawishika kufanya hata yale yaliyokuwa yameonekana kushindikana au hayawezekani. Hivi karibuni kwa mfano, kiongozi huyu aliwashawishi viongozi wa dini ya kikristo na waumini tena wakiwa ndani ya kanisa, kuthamini watu wa imani tofauti na wao hata akawachangisha fedha kwa ajili ya kujenga msikiti. Wengi waliosikia walijiuliza, yawezekanaje mambo haya? Lakini neno limekuwa kitendo, kwa sababu ya ushawishi wa kipekee toka kwa JPM.

Ni kupitia ushawishi wa kiwango hicho, JPM ameweza kuutafuna mfupa ulioonekana kushundikana, pale alipoweza kuwashawishi viongozi wenzake wa kitaifa kuhamisha makao makuu ya nchi kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma. Wapo waliioona haiwezekani kabisa, JPM amewabadili mawazo. Wapo waliodhani kuhama kungehitaji muda mrefu zaidi, JPM kawaonesha muda mfupi tu unatosha.

JPM vilevile ni bingwa wa kuhimiza utendaji, kiasi kwamba watu wanamheshimu kwa kurejesha nidhamu ya uchapakazi katika ofisi za umma. Amefanya hivi kwa kupitia mbinu mbalimbali, ikiwemo ziara za kushtukiza ili walio watendaji watimize majukumu yao ipasavyo. Kiti cha kuzunguka ndani ya ofisi ya Ikulu katu hakijamfanya ajifungie ofisini, asikague utendaji wa watumishi katika sekta mbalimbali mara kwa mara, asisikilize na kutatua kero za Watanzania. Amekuwa mhimizaji mzuri wa kazi hata kupitia kaulimbiu yake ya ‘Hapa Kazi Tu’. Mara nyingine JPM husisitiza akisema; “Kila mtu afanye kazi, na maandiko yanasema, asiyefanya kazi na asile, na kusema asile, maana yake afe”

Utaratibu wa kawaida wa kirasimu, ungemtaka Rais kila anapotoa maagizo ya kazi pengine atumie barua yenye mihuri ya Ikulu na kadhalika ili msaidizi wake afanye jambo fulani. JPM amezidi hapo mara kwa mara, hususani alipoamua kupiga simu mbele ya hadhara kuwaagiza wasaidizi wake wafike haraka mahali fulani kufanya jambo analotaka lishughulikiwe. Hili litakumbukwa na wengi ikiwa ni pamoja na Katibu Mkuu wa wizara ya maji alipoagizwa kwa simu Mwezi Mei Mwaka 2018 mbele ya mkutano kufika na kuhakikisha kero ya maji Kijijini Kidodi, Mkoani Morogoro inatatuliwa haraka.

Vilevile, Mwezi Septemba Mwaka 2018, akiwa Bunda, Mkoani Mara Rais Magufuli alimpigia simu Waziri wa Ardhi na kumuagiza Waziri ashughulikie sakata la bibi kudhulumiwa ardhi yake ili haki itendeke. Naam, JPM ameamua kuwa mtumiaji wa njia za mawasiliano kwa tija. Mara kwa mara, huwa mwepesi kuwambia wasaidizi wake, wachukue simu za raia fulani fulani wanaotaka usaidizi wa serikali ili kurahisisha mawasiliano kati ya mhitaji na Ikulu ya Rais.

JPM ni bingwa wa ukweli katika kutatua matatizo. Ameweza kutatua matatizo ya miundombinu ya usafiri, pale alipofufua reli zilizokuwa zimekwisha kufa na akaanzisha ujenzi wa reli mpya. Amehuisha Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), japo lilikuwa limekwisha kuchungulia shimo, amerejesha usafiri wa meli kati ya jiji la Mwanza na Bukoba katika wakati ambao watu walikwisha kata tamaa ya kutumia usafiri wa meli kati ya miji hiyo. JPM ameizunguka Tanzania akitatua matatizo ya migogoro ya ardhi (viwanja na mashamba), amedhibiti ujambazi wa kutumia silaha na amepambana vilivyo na tatizo la ufisadi. Naam, JPM ni problem solver.

Nahodha wa serikali ya awamu ya tano ni mahiri katika kutoa mrejesho wa utendaji wa kazi. Amekuwa muwazi sana katika kuwambia watumishi mbalimbali jinsi anavyoridhishwa na utendaji wao au jinsi anavyowaona wakiboronga. Katika hilo, hajawahi kumficha mtu. Kadhalika kupitia hotuba zake, amewataarifu Watanzania serikali inafanya nini na imefikia wapi katika mipango yake. Hotuba yake ya kuvunja Bunge, ilisheheni vilivyo mrejesho huu. Alikuwa wa kwanza vilevile, kuwambia Watanzania, jitihada zake zimeifikisha nchi wapi. Kwa bashasha alitamka, sasa tuko uchumi wa kati, nawapongeza watanzania na wasaidizi wangu.

Mara kwa mara watanzania wamemtaja JPM kuwa ni ‘jembe’. Sifa hiyo inaeleza ukweli juu ya uchapakazi wake na jinsi anavyoweza kuwajibika yeye mwenyewe. Kiongozi huyu, aliwahi hata kueleza hadharani, jinsi alivyokigeuza chumba chake cha kulala, kuwa ofisi ya kazi za ujenzi wa taifa. Walio karibu naye, wamekuwa mashuhuda wa jinsi alivyo mtu wa aina yake, maana hutumia masaa machache sana kupumzika. Ni aina ya kiongozi ambaye pengine anaweza kuitwa ‘the toil of the tropical sun’.

Ama kweli JPM kafanya mengi, yanayothibitisha Watanzania hawakukosea kumpa dhamana ya kuliongoza Taifa. Kwa kweli hawatajutia wakiamua kumuongezea miaka mingine mitano, aipaishe Tanzania juu zaidi.
 
Ni kazi ngumu sana kumsifia magu. Huyu jamaa ni mchafu na kati ya watu wasio na mipango huyu ni namba moja, ni hovyo tunamjua vilivyo hafai kabisa.
 
Nchi itaendaje kwa mipango ya kutu-surprise! Unanadi ilani halafu ukichaguliwa unaanza habari mpya, ilani unaweka pembeni!
 
Ni kazi ngumu sana kumsifia magu. Huyu jamaa ni mchafu na kati ya watu wasio na mipango huyu ni namba moja, ni hovyo tunamjua vilivyo hafai kabisaKi

Fazili, kilicho moyoni mwako ni tofauti na unachoandika!!! Siasa duh. Toroka uje Ccm bado hujachelewa itendee haki moyo wako
 
Hata nyani ukimwambia apore FAO la kujitoa na kujenga fly over hamshindwi

Kwani wewe ukiambiwa kopa, uwape macontructor wajenge fly over utashindwa? Labda uwe kilaza square
 
Magufuli ni kiongozi anayejali wananchi wake na amekuwa mstari wa mbele katika kushughulikia shida za watu wake, simply he is the best
 
Magufuli is true son of Africa
 
Back
Top Bottom