Mjue mtia nia wa CUF jimbo la Korogwe mjini "Amina Jumaa Magogo" CUF

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
IMG_20200513_173551_628.jpg
MJUE MTIA NIA WA CUF JIMBO LA KOROGWE MJINI

AMINA JUMAA MAGOGO.

ELIMU.
Mh Amina Magogo alianzishwa elimu Yake ya msingi katika shule ya msingi Namanga,mwaka 1999_2005.

Baada ya kumaliza elimu Yake ya msingi,alifaulu na kujiunga na shule ya sekondari KUNDUCHI GIRL ISLAMIC SCHOOL 2006_2009.

Na baada ya kumaliza elimu ya secondari ,aliendelea na masomo ngazi ya advance ktk shule ya ZANAKI SEC SCHOOL.

Baadae ,akapata fursa ya kujiunga na chuo cha uhasibu ,INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT (IFM) mwaka 2013-2016 na kuibuka na diploma ya banking and finance.

KIUPANDE WA CHAMA.

Mhe,Amina J.Magogo.
Alijiunga na Cuf mwaka 2014,mkoa Wa Tanga,wilaya ya handeni,kata ya Mabanda,Tawi la Komoza

Mh Amina mwaka huu 2020 Kwa mapenzi na heshima ya chama chake ameamua kutia nia kuomba ridhaa ya chama chake ,kugombea ubunge ,jimbo LA korogwe mjini endapo atapita kwenye mchakato wa kura za maoni .

Hiyo ndio historia fupi ya Mh Amina Magogo,mgombea Wa Cuf,jimbo LA Korogwe mjini.
 
Hongera zake.

Binafsi nafurahi kuona vijana ambao ni vizazi vipya vikija kwa kasi sana katika kuomba ridhaa ya kuwa wawakilishi maeneo yao ni jambo zuri na linalotia moyo sana.

Namtakia kila lenye kheri kwake.
 
Jimbo la Handeni yupo Sonia Jumaa Magogo nadhani ni mapacha au ndugu
 
Back
Top Bottom