Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nasikia kuna watu wanapita huko na huko kwenye ofisi za umma kuuliza taarifa za wafanyakazi mahali walipojiandikisha, namba zao za kadi n.k na wengine wanakwenda mbali kwa kuwachimba mkwara kuwa...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimemsikia mzee kwa muda sasa akiomba nafasi ya kututawala, nikajiuliza ni kweli tunataka mtu wakututawala? Vitabu vitakatifu vinaeleza wazi kuwa binadamu apewa mamla ya kutawala wanyama na vyote...
0 Reactions
4 Replies
771 Views
Polepole bado Ni kijana, na hakuna kijana anaipenda CCM Ila kwa maslahi ya kuwa chama tawala. Hivyo Kama siku CCM (Mungu apishie mbali) ikianguka kwenye uchaguzi CCM itakimbiwa na wengi hata...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Adadi Rajabu na Andrew Chenge ni watu wasomi wa kupigiwa mfano na walishika nafasi nyeti sana nchi hii. Kiu yao ya kuendelea kuitumikia nchi hii imekatizwa na kikundi kidogo tu cha watu tena na...
9 Reactions
48 Replies
6K Views
Inawezekana wakazi wa Chato walikuwa wanaogopa kuwaeleza Watanzania kuwa ‘na sisi ni binadamu wenzenu tunaumia’, lkn kwa kujitokeza kwa wingi kiasi kile pengine zaidi ya walivyompokea Magufuli, ni...
78 Reactions
127 Replies
13K Views
Leo mgombea urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,kupitia chama cha ADC ameendelea na kampeni zake katika Viwanja vya Bakhresa Manzese ,Jimbo la ubungo. Leo ni siku ya furaha na masikitiko...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Kwa mara ya pili katika kipindi hiki cha kampeni, bila sababu za msingi, hamna kivuko cha [URL='. Yote ni kwa ajili ya kuzuia tusifike huko. Sasa tutavuka kivingine na tutafanya mkutano kama...
59 Reactions
321 Replies
35K Views
Facebook imezindua programu kadhaa za kukabiliana na taarifa potofu na uingiliwaji wa uchaguzi nchini Tanzania kabla ya uchaguzi wa mkuu wa Oktoba 28 mwaka huu, limeripoti gazeti la Citizen. Mkuu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
OKTOBA 14 mwaka huu, Watanzania wanaadhimisha kumbukumbu ya miaka 20 tangu kutokea kifo cha muasisi wa taifa hili, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliyefariki dunia Oktoba 14...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
NI NYERERE TU.. Leo ni siku ya NYERERE. Jina hili ni fursa kwetu sote. Amani na umoja wetu ni matunda ya ubongo na mikono yake. Mapema mwaka 1996 nilifika Kijijini Butiama kwa kazi maalum ya...
21 Reactions
22 Replies
3K Views
Walioomba ajira ni zaidi ya laki. Alafu wachaguliwe hao watu 13000. Mini matokeo yake. 1: Kwanza wakuochaguliwa wote hawatapiga kura maana watakuwa maeneo yao ya KAZI. 2: Waliobaki wote...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanawake wamekemea vitendo wanavyofanyiwa vya udhalilishwaji na baadhi ya watu wakiwatukana wanawake wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi. Akiongea mgombea ubunge viti maalumu kupitia tiketi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Licha ya kipigo, alifikishwa mahakamani na baadae kupewa dhamana. Habari na picha hii ni kwa mujibu wa tweet ya Chadema Kanda ya Serengeti Pia soma > John Heche: Mgombea wetu wa ubunge...
5 Reactions
52 Replies
7K Views
Tusilete ushabiki kama ule wa SIMBA na YANGA linapokuja suala la uchaguzi, tukiitana majina sijui nyumbu sijui mataga, hii ni hatma yetu ni maamuzi kwa faida yetu ya kesho. Likitokea baya...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Willson Mahera Charles ametoa ufafanuzi juu ya upotoshwaji uliofanywa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
16 Reactions
160 Replies
17K Views
MADINI HAYAOZI, NAKATAZA UCHIMBAJI MADINI HADI WATANZANIA WATAKAPOKUWA NA UWEZO WA KUCHIMBA MADINI-MWALIMU JULIUS NYERERE. Leo 15:05hrs 14/10/2020 Baada ya Uhuru Serikali ya Tanganyika...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanabodi, Sina lengo la kuishambulia CHADEMA ila Kuna mambo yananitatiza kuhusu kuaminika kwao. Sote tunajua timbwili walilolianzisha bungeni kuhusu korona mpaka kufikia kijikarantini kibabe...
7 Reactions
85 Replies
7K Views
Familia hii ni moja ya familia yenye nguvu kuwahi kutokea Tanzania na Afrika Mashariki. Mke na mme kuwa na nguvu jukwaa, wasomi na watu wenye nguvu ya uthubutu Kama Hawa ni mara chache kutokea...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwl. J. K. Nyerere alisema Watanzania wanahitaji mabadiliko na wasipo yaona ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM. Kuna watu walidhani Tanzania tunahitaji mabadiliko ya maigizo maigizo. Nyerere...
3 Reactions
2 Replies
961 Views
Mwaka 2020 kuna uchaguzi kijijini kwetu, mfalme anayetawala sasa ni katili, ashauriki na kila mtu anamuogopa, mpaka wasaidizi wake wa karibu kabisa. Wananchi hawajui kesho yao hapa kijijini. Hali...
24 Reactions
148 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…