Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tundu Lissu anavyoshambulia utadhani ni jeshi lenye askari wengi kiasi cha kuunda batalioni nzima. Ndiyo, inaeleweka chama chake kimempa nyenzo za watu na rasilimali chini ya kampeni yake; lakini...
40 Reactions
50 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo sema kwakweli waafirika hasa vijana tuna takiwa kujitafakari tena kwa kina. Kila siku tumekuwa na mtindo wa kuwalaumu wana siasa kwa umasikini wa nchi zetu ,lakini...
6 Reactions
7 Replies
827 Views
Hili swali najiuliza sipati jibu. Kuna umuhimu gani wa kujishughulisha kukimbizana na muda na watu kufanya miradi ambayo Mwalimu Julius Nyerere hakuifanya enzi akiwa madarakani au kuhimiza ifanywe...
5 Reactions
123 Replies
7K Views
Tume ya Uchaguzi Visiwani Zanzibar imemtaka Mngombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha @ACTwazalendo maalim @SeifSharifHamad kufika kwenye kamati ya Maadili Majira ya saa 7 mchana kujieleza juu...
7 Reactions
50 Replies
7K Views
Mtu akichukua mateka atachukuliwa mateka, mtu akiua kwa upanga, atauawa kwa upanga, hapa ndipo penye subira na imani ya watakatifu Ufunuo 13:10 NA HILI NDILO NENO LA MUNGU.
13 Reactions
81 Replies
10K Views
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk John Pombe Magufuli leo anaendelea na kampeni zake katika jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam ambapo atanadi Sera na...
8 Reactions
68 Replies
8K Views
Kama tujuavyo serikali ya awamu ya tano chini ya rais Magufuli imeibua miradi mingi mikubwa ambayo ipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji, hii ikimaanisha kwamba tayari hii miradi imeshatumia...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwaka 2014 nikiwa katibu wa Umoja wa vijana Chama Chama Cha Mapindizi UVCCM-Mkoa wa Morogoro Tulipokea Wageni Vijana kutoka Africa Kusini. Lengo la Vijana hao ilikua ni kutembelea Eneo la Mazimbu...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema ana uhakika Uchaguzi Mkuu utafanyka kwa amani na utulivu, japo kuna baadhi ya vyama wanataka kuwa na vurugu ili uchaguzi usifanyike. Amesema...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Mtoto wa Baba wa Taifa ndugu Madaraka Nyerere amesema atastaafu siasa siku chache zijazo. Ikumbukwe kuwa Madaraka alikuwa mwenyeji wa mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu alipotembelea Butiama na...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Wakuu natanguliza salamu , pia nawaombeni radhi kwa usumbufu wa nyuzi zetu lukuki zinazohusu uchaguzi , muda uliobaki ni mfupi na hatuna namna zaidi ya kuvurumisha hewani taarifa za Mgombea huyu...
36 Reactions
135 Replies
17K Views
Mimi ni mwanachama wa CCM. Sio mwanachama maslahi au mwanachama fuata upepo, la hasha bali mwanachama mwanzilishi hata kama nilijiunga 1978 mwaka mmoja tokea ianzishwe. Ninafuatilia sana siasa za...
80 Reactions
150 Replies
12K Views
Kuanzia mchakato wa kuwateua Wabunge na madiwani na kukiuka maadili ya chama mengi yameshuhudiwa na malalamiko kwa tume ni mengi sana ambayo hayajajibiwa hadi leo. Maswali ni mengi na imekuwa kama...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Jana nimeletewa barua hii baada ya Kamati ya maadili kuketi, wamenihukumu bila hata kuniandikia tuhuma zangu wala kuniita kujitetea kwenye Kamati. @TumeUchaguziTZ fundisheni wasimamizi wenu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania weaponized laws to undermine political and civil freedoms Tanzanian President John Magufuli’s government has built up a formidable arsenal of laws to stifle all forms of dissent and...
0 Reactions
0 Replies
513 Views
Habari wakuu Ni kawaida ya wasomi kutoa machapisho mbalimbali ya kitaaluma katika fani walizobobea. Mimi nimekuwa interested na kusoma machapisho ya Mh. Rais wetu ya kemia kama nikiyapata. Lakini...
10 Reactions
138 Replies
17K Views
Nimejaribu kufatilia hotuba za Lissu kujua endapo atachaguliwa tutakuwa na Tanzania ipi sijapata jibu nchi itaendelea au kurudi nyuma je miradi kama bwawa la umeme la nyerere, daraja la busisi...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Leo nimeona niliamkie jiji Dar es Salaam. Linapokuja suala la kuleta mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi majiji makuu ya nchi huwa ni kitovu kwa sababu huwa yana wakazi wengi walioelimika na kupata...
25 Reactions
82 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…