Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Simiyu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,576
217,940
Wakuu natanguliza salamu , pia nawaombeni radhi kwa usumbufu wa nyuzi zetu lukuki zinazohusu uchaguzi , muda uliobaki ni mfupi na hatuna namna zaidi ya kuvurumisha hewani taarifa za Mgombea huyu mwenye mvuto kuliko wote na ambaye ni tegemeo la wananchi .

Leo tena Mh Tundu Lissu anaendelea na mikutano ya kuomba ridhaa ya watanzania mkoani Simiyu , ambapo itapigwa mikutano kadhaa .

Endelea kubaki hapa hapa JF kwa Taarifa za uhakika

Ratiba ya Mgombea Urais Oktoba 15, 2020 ( 640 X 640 ).jpg


========



Aingia Bariadi kwa kishindo



Subpost 5 - Ahsanteni Sana SIMIYU. ( 426 X 640 ).jpg



Subpost 1 - Ahsanteni Sana SIMIYU. ( 426 X 640 ).jpg
Subpost 2 - Ahsanteni Sana SIMIYU. ( 500 X 750 ).jpg
 

Attachments

  • Subpost 2 - Muda huu mapokezi ya Mhe. Tundu Lissu jimbo la Bariadi. Wapiganaji ( 352 X 640 ).mp4
    7.9 MB
Lissu hatoshindwa , ondoa shaka
Lissu hatoshindwa , ondoa shaka
Mkuu CCM siku inaanguka hadi wanyama pori na wadudu watambaao watajua kuna jambo limetokea nchini kwao. Kila kiumbe hai nchini kitatikiswa.

Anafanya vizuri ila sioni wala mazingira ya Kushinda kihalali hats kwa hila naona atashindwa. Ila anaweza kuwa stepping stone ya kuimalizia KAZI yake 2025 akiwa makini miaka hii 5 asitolewe masikioni mwa wananchi
 
Back
Top Bottom