Zanzibar 2020 Maalim Seif ametakiwa kufika katika Kamati ya maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar kujibu tuhuma za kukiuka maadili ya uchaguzi

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
3,295
2,000
Tume ya Uchaguzi Visiwani Zanzibar imemtaka Mngombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha @ACTwazalendo maalim @SeifSharifHamad kufika kwenye kamati ya Maadili Majira ya saa 7 mchana kujieleza juu ya malalamiko yaliyotolewa na chama cha Demokrasi makini kuhusiana na Kauli Aliyoitoa siku za hivi karibuni ya kuwaambia watu wakapige kura Oktoba 27 mwaka huu badala ya Octoba 28 siku iliopangwa na ZEC.

"Narudia SOTE TUKAPIGE KURA OKTOBA 27"- amesisitiza tena Maalim Seif baada ya wito huo.
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
6,131
2,000
Hapa Maalim awapige chini.

Asimame na msimamo wake. Kura ni siku moja. Hakuna kukubali kusimama kampeni hata kama ni kwa amri ya jiwe:

IMG_20201015_061530_159.jpg
 
mugah di mathew

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
3,722
2,000
Tume ya Uchaguzi Visiwani Zanzibar imemtaka Mngombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha @ACTwazalendo maalim @SeifSharifHamad kufika kwenye kamati ya Maadili Majira ya saa 7 mchana kujieleza juu ya malalamiko yaliyotolewa na chama cha Demokrasi makini kuhusiana na Kauli Aliyoitoa siku za hivi karibuni ya kuwaambia watu wakapige kura Oktoba 27 mwaka huu badala ya Octoba 28 siku iliopangwa na ZEC.

"Narudia SOTE TUKAPIGE KURA OKTOBA 27"- amesisitiza tena Maalim Seif baada ya wito huo.
Ukijaribu kumfanyia figisu maalimu ujue unacheza na amani ya Zanzibar
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom