Neno kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Bishop Gwajima kuhusu yanayoendelea nchini kwa hivi sasa

Mtu akichukua mateka atachukuliwa mateka, mtu akiua kwa upanga, atauawa kwa upanga, hapa ndipo penye subira na imani ya watakatifu
Ufunuo 13:10

NA HILI NDILO NENO LA MUNGU.
Katika vitu vinavyoshangaza ni kuona kuna watu wanaojivunia vyeti lakini wanadanganywa na so called askofu ambaye hata akisimama tu madhabahuni anaonekana ni typical case of mental illness.
 
Katika vitu vinavyoshangaza ni kuona kuna watu wanaojivunia vyeti lakini wanadanganywa na so called askofu ambaye hata akisimama tu madhabahuni anaonekana ni typical case of mental illness.
Mungu akusamehe
 
Tehteh Mnamwamini mfuga mapepo? duh! ila kweli mwisho wa dunia umekaribia.
Hivi pamoja na mavyeti yenu yooote! mmeshindwa kugundua kuwa huyo jamaa ni mental case?
Umejuaje kama mfuga mapepo? Bac nawewe mfuga mapepo maana huwezi kumhukum mtu kwa kuhisi yamkini unamjua vizuri au huea mnakutana huko kwenye ufigaji
 
Back
Top Bottom