Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bado kuna wananchi hawajiamini kama watapiga kura ya Rais kwa maeneo walipo. Hii nikwasababu elimu hi bado haijatolewa vyema. Juzi tulikuwa kwenye usaili wa usimamizi wa uchaguzi mkuu huu...
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Viongozi wa kidini wa Kamati ya Amani Tanzania inayojumuisha viongozi wa kidini na madhehebu mbalimbali Tanzania waonana na Maalim Seif. Kiongozi wa ujumbe wa Kamati ya Amani alibainisha ni...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Dunia yetu inaongozwa na viongozi wengi wa mataifa mbalimbali, kuanzia ngazi za urais mpaka ngazi za chini kabisa, viongozi hawa wana msaada mkubwa sana katika maisha yetu ya kila siku hapa...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Mabadiliko yanayofanywa na NEC katika uchaguzi huu yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Tukumbuke kuwa NEC ndiye hakimu wa uchaguzi huu hivyo akiyumba au kuyumbishwa basi mzigo wote utamwagika...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Mfumo gani wa utawala ungefaa zaidi kuondoa umaskini, kuleta maendeleo makubwa,utangamani,haki na furaha kwa bara la Afrika ? Je ni. 1. Demokrasia 2.Ufalme kamili 3.Udikteta mwema/benevolent
1 Reactions
15 Replies
977 Views
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema kuna mbinu za kuweka mawakala mwaka huu zimekuwa tofauti uklinganisha na miaka iliyotangulia. Amesema...
27 Reactions
78 Replies
7K Views
Nitapiga KURA ya NDIO kuichagua CCM ifikapo tarehe 28 Oktoba 2020. Nitaichagua kwa sababu sababu zifuatazo; 1. Ndicho Chama pekee kinacholinga na kutetea Muungano wa Tangangika na Zanzibar. 2...
10 Reactions
19 Replies
2K Views
VIONGOZI WA DINI (Makundi Yetu) Kama haitapendeza nisamehewe. Katika mchakato kuelekea Uchaguzi Mkuu, tumegawanyika makundi kadhaa: 1. Mitano Kwanza na Mitano tena. Kundi hili linaelekeza wapiga...
20 Reactions
37 Replies
4K Views
Nimemfuatilia sana huyu jamaa kwenye mkutano wa Chadema uliokuwa unahutubiwa na Mh. Tundu Antiphas Lissu, alivyokuwa anahangaika, mara atoe kiredio chake mfukoni kama vile anawasiliana na mtu...
57 Reactions
103 Replies
13K Views
NITATUMIA ELIMU YANGU KUKUZA UCHUMI NA KUFUTA UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE"PROF. LIPUMBA" KYELA- MBEYA Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hai, Kilimanjaro Mgombea udiwani Kata Ya Machame kupitia CCM Jimboni Hai, Ndugu Martin Munisi leo Mapema amefikisha Malalamiko yake kwa Msimamizi wa Uchaguzi dhidi ya Mgombea Ubunge kupitia...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
  • Closed
Ilani ya Chadema ni TAKATAKA ya kutupwa dampo. Haiwezi kuongoza hata kijiji. Ilani haina utafiti wowote wala analysis yoyote imeandikwa kama barua ya posa. Inasema tutaboresha barabara bila...
19 Reactions
47 Replies
4K Views
Yaani mfano Wanachadema au WanaCCM wa jimbo la Mchinga huko, wameamua kumpitisha mtu wao aende akagombee, halafu eti mwisho wa siku eti hichi kitu kinaitwa 'Kamati kuu' kinakaa na kuamua tofauti...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Tumeona miaka yote wananchi wa kawaida wakitumika kama ngazi wakati wa kampeni za uchaguzi, wamekuwa wakivishwa fulana au vitambaa vya kichwani huku wengine wakisimika bendera za vyama vyao mbele...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Umoja wa vijana na umoja wa wanawake umeimarika na umetoa viongozi wengi wa leo na kesho wa Taifa hili. BAWACHA nadhani ndio umoja wa wanawake wa vyama vya siasa uliowahi kusimamisha wanachama...
18 Reactions
50 Replies
7K Views
1. Chama Cha Mapinduzi kimeendelea kuthamini na kudumisha Muungano wetu ambao ni wa kipekee na kihistoria, uliounganisha nchi mbili zilizokuwa huru za Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa...
0 Reactions
1 Replies
692 Views
Nawaza Kwa vina na uwelewa wangu katika uchumi kila nikiangalia kesho nasikia machozi na sikia huzuni najuwa ma million ya watanzania wasio na elimu ya uchumi hawajuwi nini kitatukumbuka na...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Inawezekana ikawa sikubaliani moja kwa moja na kila analolihubiri Tundu Lissu ila kwa kiasi kikubwa naheshimu sana uwezo wake wa kujenga hoja. Zaidi ya mara moja Tundu Lissu ameomba mdahalo na...
14 Reactions
65 Replies
5K Views
Kwa kipindi ambacho nimekifahamu Chama cha Mapinduzi kwa chaguzi zilizopita. Kimekua kikifanya vizuri kwenye kufanya Kampeni za Uchaguzi. Sisemi kwamba mbinu zote walizotumia zilikua ni sahihi za...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
SSP Christopher Bageni atanyongwa hadi kufa. Ndivyo mahakama ya rufaa ilivyoamua. Maamuzi ya leo ni ya mwisho ktk mwenendo wa kesi yake. Hana pengine pa kukata rufaa, pa kukimbilia, wala pa...
26 Reactions
39 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…