Uchaguzi 2020 Kabendera: Nichague Ubunge jimbo la Ubungo nikomeshe tatizo la wanafunzi kushindishwa njaa shuleni kwa kuleta 'Ubwabwa Mashuleni'

Oct 1, 2020
7
22
Tuchague Kukomesha kushindishwa Njaa watoto wetu Shule za Serikali.

Wagonjwa wanaolazwa Mahospitali ya Serikali wapate huduma ya Chakula kwa gharama ya Serikali.

Tuchague Kukomesha kushindishwa Njaa watoto wetu Shule za Serikali.

Wagonjwa wanaolazwa Mahospitali ya Serikali wapate huduma ya Chakula kwa gharama ya Serikali.

View attachment 1608592
Mlikuwa wapi siku zote aisee...
Msije jaribu kushirikiana na CHADEMA nadhani hata ninyi mnaona wanacyoropoka ropoka, chama chao hakina sera.

Mpo vizuri chauma ila mjitahidi kuelaborate sera ya ubwabwa kwa umma.

Nipo tayari kuwasaidia kufafanua kwa lugha rahisi kabisa.

28 October chagua Magufuli na viongozi wa CCM.
 
Back
Top Bottom