johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,968
- 141,976
Askofu Gwajima amesema yeye amekuwa akiisaidia jamii kabla hata hajawa mwanasiasa kwa mfano kuwachimbia Waislamu visima vya maji katika misikiti ya Salasala na Makuti.
Pia amewachimbia visima wananchi zaidi ya 200 na kununua magari ya wagonjwa zaidi ya 17 aliyoyagawa sehemu mbalimbali Kinondoni.
Askofu Gwajima amesema Mungu siyo mwanademokrasia ndio sababu yeye ameamua kufanya siasa ili kupata mchanganyiko sahihi wa kumhudumia mwanadamu kiroho na kimwili.
Askofu Gwajima yuko mubashara Channel ten akihojiwa na Albert Kilala na Vida.
Maendeleo hayana vyama!