Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu, Wakati maandamano yametangazwa nchi nzima na chama chetu, na kwa kweli mimi nilisema sitashiriki kwa sababu ambazo nilieleza, na zote zimeonekana kuwa kweli, dhamiri yangu imenituma...
11 Reactions
206 Replies
17K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Sijui ni 'genius' gani huyo ambaye ameanzisha hili la kuwa "tunataka amani kwanza". Kwa wiki hasa baada ya Oktoba 29 kumekuwa na jitihada kubwa ya kujaribu kugeuza mambo...
58 Reactions
66 Replies
3K Views
Amejawa na hofu, na anamuona kila mtu ni adui kwake. Ametenda uovu mzito kiasi kwamba siyo tu anawaogopa watu, bali mpk leso yake inamtisha. Ni rahisi kumfitinisha hata na watoto wake. Kama...
67 Reactions
124 Replies
4K Views
Naibu waziri wa Afya na Mbunge wa jimbo la Siha Dkt. Godwin Mollel akichangia kwenye wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya anasema kuna wana CCM wenzao ambao wameanza kuwageuka.
5 Reactions
70 Replies
4K Views
Maana hii ni project na inaratibiwa kwa makusudi kabisa sasa inabidi tujue nani muasisi na mdhamini na lengo ninini?
1 Reactions
18 Replies
396 Views
Ikulu ya Dodoma imetekekezwa? Rais Samia anatumia zaidi ya Dar es Salaam au Tunguu Zanzibar. Je huu ni uungwana?
19 Reactions
123 Replies
7K Views
NB: Anayetaka kuthibitisha hili, aende pale Mabibo zilipo Hostel za wanachuo wa UDSM aulize steshenari aliyokuwa anauza Dada Devotha. Watakuambia hajui alipo zaidi ya wiki sasa.... Shetani yuko...
19 Reactions
43 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Awali ya "Saint Clemence" ndugu Clemence Kenani Mwandambo, mkazi wa Uzunguni "A" Jijini Mbeya kwa tuhuma za kuchapisha na kusambaza...
8 Reactions
44 Replies
1K Views
Serikali baada ya kukusanya kodi zetu haitoi ufafanuzi sahihi mfano huu mwaka serikali imekusanya takriban trilioni 8.7 za kitanzania Lakini hatuambiwi mgawanyiko wa hizi fedha maana ni fedha zetu...
6 Reactions
34 Replies
654 Views
Kati ya Amani na Haki kipi ni dependant variable ie katika equation hii: y = ax +b..... ..which is y and which is x ( kama ulisoma hesabu at least mpaka form 2
5 Reactions
22 Replies
353 Views
GT, Huko serikalini kuna mambo hayapo sawa hili lipo waazi kabisaa. Huyu mzee namheshimu sanaa kama naye kafika hatua ya kuongea hivi something is wrong and burning inside samia government...
45 Reactions
148 Replies
4K Views
Katika kitabu hiki cha shehe MUZAFFAR AHMAD DURRANI, kuna tafsiri ya Qur an 17:81 nayo inakwenda kama ifuatavyo Tafsiri: "Mola wangu uniingize mwingizo mwema". Wanazuoni wa dini ya Allah hapa...
6 Reactions
45 Replies
808 Views
Nimeona mchakato huu usipite bila kutoa neno japo dogo kwa kuanzia. Kwa mambo aliyofanya na kusema mpaka sasa, kuna jambo moja pekee ambalo ni muafaka kwa Tundu Lissu nalo ni Kufukuzwa CHADEMA...
11 Reactions
108 Replies
4K Views
Ni wakati akichangia mjadala bungeni ,ambapo aliwashukuru wananchi wa Bukoba mjini kwa kumchagua kwa lundo la kura na kumpatia Halmashauri , pamoja na tuhuma kwamba yeye ni gaidi , na kwamba...
8 Reactions
108 Replies
23K Views
Wana jamvi, Ttaarifa za hivi punde ni kwamba, Wilfred Lwakatare Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA ameshinda kesi iliyokuwa inamkabili. Mahakama imetupilia mbali tuhuma zote...
4 Reactions
99 Replies
14K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Analivusha Taifa na watanzania huku kila mmoja wetu akiwa na amani...
-2 Reactions
66 Replies
664 Views
Ninadhani aliyepona kipindi kile ni Wema sepetu nae nadhani sijui Nini kilimponya. Yule bwana aliyesimamia UJENZI wa ghorofa pacha za Benk Kuu pale posta. Yule Mzee kupitia Kodi za watanzania...
4 Reactions
11 Replies
419 Views
Kabla ya yote ningependa kuanza na maneno yafuatayo ya Utangulizi wa hiki ninachotaka kukisema hapa kama ifuatavyo: USALITI; Usaliti ni neno pana sana..., Lina madhara mengi sana..., Hujuma...
23 Reactions
409 Replies
36K Views
Mtu mmoja aliyejitambulisha kama mmiliki wa magari ya Esther Joseph Didas Ngelewiya akiongea na wanahabari hivi karibuni alisema: “Mimi ndiye mmiliki wa mabasi ya Esther Luxury Coach, hivi...
3 Reactions
97 Replies
5K Views
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amewaonya Watanzania dhidi ya kuingia kwenye kile alichokitaja kuwa ni mtego wa migogoro ya kidini, akisisitiza kuwa migogoro inayogusa imani za watu...
3 Reactions
41 Replies
846 Views
Back
Top Bottom