Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sina mengi ya kueleza kila mtu aliona, what he did that strong and patriotic man. Kwa mtizamo wangu ,the man anastahili kupewa Tunzo ya kupigania Taifa na rasimali zetu, akiwa the best soldier...
3 Reactions
7 Replies
279 Views
Siku tume huru ya uchaguzi ikipatikana ccm hawana chao tena nchi hii. Chadema ilikuwa inapendwa hata kabla ya haya mauaji ya halaiki ya watanganyika. Baada ya haya mauaji ya kikatiri nadhani ccm...
6 Reactions
10 Replies
247 Views
Kila baada ya nusu saa gari za polisi zinapita .GEN Z leo hatuna mengi tumewapa muda wa kutosha . Karibuni
3 Reactions
2 Replies
194 Views
Na watanzania tulivyo wa ajabu, na licha ya kuwa tulitukanwa kuwa hatufanyi kazi bado tumejazana kwenye kuview nyimbo zao. Inashangaza sana kuona wasanii tena wakubwa waitanzania ambao wanahamasa...
6 Reactions
26 Replies
749 Views
Makamu mwenyekiti CHADEMA bara John Heche anandika kupitia ukurasa wake wa Instagram kuhusu TRC Kusimamisha safari za SGR kutoka Morogoro -Dodoma kutokana na athari za mvua. "Mradi wa reli ya...
4 Reactions
6 Replies
333 Views
Huwezi kuua watu, miili ya watu umetupa porini, mingine umefukia makaburi ya halaiki, unaendelea kuteka na kuwabambikia watu kesi, halafu ukasema unataka maridhiano!! Ni upuuzi wa hali ya juu...
3 Reactions
0 Replies
150 Views
Maelfu ya waganda wanaomuunga mkono mgombea wa chama Uganda National Uñity platform (NUP) Robert Kyagulanyi Ssentamu almaarufu kama Bobi Wine, wameanza kuhamasishana kugomea Uchaguzi wa nchi hiyo...
8 Reactions
11 Replies
394 Views
Hakuna mmbunge mwenye maslahi kuzidi hawa ma DG wa taasisi za Umma. Massanja aliamua ku risk UDG wake over ubunge, hii ni kwa sababu Massanja anajua alichokifanya pale TRC na ufisadi mkubwa...
9 Reactions
20 Replies
728 Views
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, ameonekana akiwa katika hali ya furaha kubwa kanisani kwake, akicheza na kuimba pamoja na waumini, ikiwa ni mara ya kwanza kuonekana...
5 Reactions
24 Replies
865 Views
Anaandika Baba Askofu Dk Bagonza kutokea Dayosisi ya KKKT Karagwe Kagera. Dr. BASHIRU NA MATUMIZI YA DOLA. Duh!! Najua hili limegusa sana. Kila gazeti litaandika na sisi "mashabiki waandamizi"...
63 Reactions
105 Replies
11K Views
Kuna live ya tiktok inaendeshwa watu wote mule anaeongea kazi kulaumu wenzie kisa hawajaikanzisha huku yeye mda huo hajafanya kitu kakaa ndani sijui anasubiri nani akinukishe wazee Kwa staili hiyo...
1 Reactions
1 Replies
135 Views
KUIFUTA CCM SIO KUONDOA MATATIZO YA TAIFA HILI. HIYO NI PROPAGANDA YENYE UONGO MKUBWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kuna watu wanadanganya Watanzania matatizo ya Nchi hii ni uwepo wa...
10 Reactions
123 Replies
2K Views
Ukishazaliwa Kigoma au ukiwa na asili ya Kigoma jambo la kwanza unalotakiwa kuwa nalo (kichwani) kabla ya yote unatakiwa kuwa na uelewa mzuri wa maswala ya elimu ya uraia na utaifa. Kwasababu hiyo...
16 Reactions
99 Replies
7K Views
Nafuatilia kwa umakini utapeli ambao unaendeshwa na chama cha Demokrasia na Maendeleo kupitia kwa kiongozi wao ambaye Yuko Gerezani Tundu Antipas Lissu Kwa kuwafungua masikio na macho watanzania...
2 Reactions
19 Replies
545 Views
Forbes wametoa tena orodha ya wanawake wenye nguvu zaidi duniani ambayo ya mwaka wa jana (2024) Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa nafasi ya 91. Lakini cha kushangaza mwaka huu amekosekana kwenye...
4 Reactions
12 Replies
457 Views
Kampeni iliyoanzishwa na wanachama na wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na na Maendeleo (CHADEMA) ya kumchangia Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu ambaye amekuwa kizuizini kwa zaidi ya siku 250...
9 Reactions
31 Replies
662 Views
GT Kwa ufupi sana 1. Ni kweli ludovick ni mkatoliki lakini ni msaliti kama yuda 2.Alisoma mpaka ngazi ya frateri ambayo ni ngazi ya juu kabisa kuelekea upadri. 3. Alifukuzwa na kushindwa...
14 Reactions
50 Replies
2K Views
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Juda Thadaeus Ruwa'ichi amesema 2025 ulikuwa mwaka mgumu na mzito. Amesema mwaka huo ambao pia ulikuwa Jubilei Kuu, ulikuwa na changamoto hasa...
0 Reactions
1 Replies
187 Views
Sikutegemea kama usiku huu wa kuamkua 2026 mwaka mpya utanivuruga kisaikolojia Nilizoea kufurahia baruti za mwaka mpya lakini kwa mara ya kwanza nimehuzunika kila ninaposikia milio ya baruti...
2 Reactions
5 Replies
262 Views
Back
Top Bottom