Polepole hakua mjinga atoke cuba na kuja nchini kuhamasisha UKOMBOZI ilihali akijua usalama wake upo rehani, hii ni mbinu ya UKOMBOZI lazima uwe tayari kuwa sadaka ili wengine waone dhamira ya...
ROADMAP 2026: SIASA ZA UTAKASO. UTU WA KALE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Leo ni January Moja 2026.
2. Namshukuru MUNGU kwa kutupa nafasi hii. Wote mnajua jinsi mwaka uliopita 2025...
Hivi maridhiano yanayobembelezwa ni yapi? Labda mtupatie miili ya kina soka mdude nk pamoja na ile miili ya 2910 na waliomshambulia LISSU wafikishwe mahakamani otherwise Bora muanguke wote nyie...
Watanzania tunajua ukubwa ni dawa sasa imekuwa tofauti kwenye jukwaa letu hili la jamiiforum ambapo hakuna uhusiano kati ya ukongwe wa mwanachama na ukomavu wa akili.
Nashangaa kuona mtu yupo...
Yule sheikh aliyevimbiwa ubwabwa na kuwataka waislam wasile chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya sikukuu ya Christmas pia awashauri wasitumie kalenda ya wakristo.
Nchi nyingi duniani zikiwemo...
Huwezi amini RAIS wa awamu ya NNE akiwa Waziri wa Mambo ya Nje aliwahi PIGWA zungurute kwa kuzungukwa kwa kunyimwa kupewa mgao wa RUSHWA na Balozi aliyenunua jengo la ubalozi wa Italy kipindi kile...
Genz wamemchangia Mhe. Tundu Lissu 20M mpaka sasa, Genz wanamwaga Moto.
Hawa vijana hawana show za kindezi.. Na ujumbe wanaopeleka una mwangwi mkubwa Sana😂😂😂
Happy new year Tundu lissu the...
Elimu ya hela inahitajika sana nchini.
Mtu anakaa tu nyumbani anaona hana Hela anaamua kuanza kuwatapeli watz kisa yy ni kiongozi wa chadema basi anaona chadema ni shamba lake kwamba yy na...
Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruwai'chi ameonesha kukosa uvumilivu wa kimungu na kumtukana lofa mtu...
Nimekuwa napata shida sana kutokana na elimu ya Gwajima . Tokea kipindi akitangazia umma na akiliamsha dude pale Kanisani kwake, basi ,nikawa napata shida kutokana na matamshi yake.
Kila kazi ina...
Jina: Josephat Mathias Gwajima
Tarehe ya Kuzaliwa: 19 Desemba 1970
Mahali alipozaliwa: Kabale (Koromije), Wilaya ya Misungwi, Mkoa wa Mwanza
Uraia: Mtanzania
Hali ya Ndoa: Ameoa Grace Gwajima...
“Tunaapa kuilinda nchi hii na mipaka yake, kulinda usalama wa raia na mali zao. Na katika hali hiyo, nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo.” - Rais Samia Suluhu akizungumza na wazee wa...
Sheikh Hilal Shawej maarufu kama Kipozeo amesema haki haiwezi kupatikana bila kuwepo kwa amani na utulivu katika jamii, akibainisha kuwa amani ndiyo nguzo kuu ya maendeleo na ustawi wa taifa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mheshimiwa John Heche, anawatakia Watanzania wote heri ya mwaka mpya wa 2026.
Tunapoingia mwaka mpya, tunatambua maumivu, hofu na uchovu uliowagusa wananchi...
Anaandika Liberatus Mwang'ombe
Mpaka uzi huu unapanda hewani, jeshi la utekaji la polisi hawajatoa kauli yeyote
UPDATE
Mdogo wake Thadei Kweka aitwaye JB Kweka, kupitia Club House...
Kuna madogo katika soka academy iliyoko Mwanza wameuawa kutokana na kadhia ya Oct 29.
Hawa madogo hawakuhusika kwa namna yoyote ile na maandamano, wala vurugu zilizotokea.
Hivi kuna ulazima wa...
TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu, leo Desemba 30, 2025, imekutana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda.
-
Kikao...
Akitumia ukurasa wake wa X madam president ameandika
Ninaipongeza timu yetu ya Taifa ya mpira wa miguu, Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.