Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mheshimiwa John Heche, anawatakia Watanzania wote heri ya mwaka mpya wa 2026.
Tunapoingia mwaka mpya, tunatambua maumivu, hofu na uchovu uliowagusa wananchi...
Anaandika Liberatus Mwang'ombe
Mpaka uzi huu unapanda hewani, jeshi la utekaji la polisi hawajatoa kauli yeyote
UPDATE
Mdogo wake Thadei Kweka aitwaye JB Kweka, kupitia Club House...
Kuna madogo katika soka academy iliyoko Mwanza wameuawa kutokana na kadhia ya Oct 29.
Hawa madogo hawakuhusika kwa namna yoyote ile na maandamano, wala vurugu zilizotokea.
Hivi kuna ulazima wa...
TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu, leo Desemba 30, 2025, imekutana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda.
-
Kikao...
Akitumia ukurasa wake wa X madam president ameandika
Ninaipongeza timu yetu ya Taifa ya mpira wa miguu, Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON)...
Magufuli alikuwa Dikteta lakini alikuwa mzalendo kwa nchi yake, kama ilivyo kwa Putini, lakini Samia yeye si mzalendo hata kidogo bali ni ........wa rasilimali za Tanganyika.
Na bado ameingia...
Kila siku kuna zuka utamaduni mpya Tanzania, kama hii ndo Tanzania mpya wanayoisema nadhani bora ibaki iliyokuwepo
Baada ya uchaguzi yalizuka malumbano ya hoja kati ya "HAKI au AMANI" ni kipi...
Kadiri siku zinavyozidi kwenda mbele mamlaka za Tanzania zitakosa pa kupeleka lawama tena kwasababu mambo yanazidi kudhihirika wazi
Ukweli huwa siku zote haujifichi hata uchelewe kiasi gani...
GT
Utambulisho wa Muamala: 403*288*. Umetuma TSH 500.00 kwenda M-PESA, jina ALUTE SIMON MUGHWAI namba 255797527876, gharama TSH 10.00, wakati 2025/12/31 17:41:22. Salio lako jipya ni TSH 8***...
Majaribio ya kikundi kidogo kuteka nchi yetu yame fail vibaya raia wamepiga kwenye mshono sasa hivi wanalala na viatu wanaogopa mapinduzi.
Wanaogopa kuwajibishwa kwa mauwaji waliyo yafanya wizi...
Tunafunga mwaka kibabe sana,
Ni majina gani ya wanaharakati na viongozi waliokonga na kugusa moyo wako na mioyo ya watanzania katika kusimamia haki, kupambania uhuru wa watu, kuongoza vizuri...
Mwigulu Nchemba ambaye sasa ni Waziri wa mambo ya ndani ni " mcheza cinema " wa siku nyingi na amezoeleka miongoni mwa wapenda cinema mithili ya Jack Chan .
Kuna wakati alishiriki kutengeneza...
Hivi karibuni niliandika nyuzi zilizojikita zaidi kwenye nidhamu na ukosoaji wa matendo mabaya, nyuzi zilizopelekea kupokea jumbe nyingi za huzuni na lawama ambazo zilinihuzunisha sana
Nimeona ni...
Nawaambia Watanganyika katika vitu vinavyotakiwa kususiwa Basi Ni hii tume ya mchongo.
Jambo ili kwa mjinga ni faraja na kwa mtu mwenye akili namwambia na anisikilize
Hii tume imeletwa Kupoteza...
Nimeangalia clip zote za kijana aliyevunjwa miguu akibebwa alipo kuwa mahakamani kwenye kesi za vijana baada ya maandamamo ya 29 Oktoba.
Nimewaangalia vijana Hao wakibebana kisha nimelinganisha...
Nashangaa mtu anaamka asubuhi kwa kutumia jina la chadema anaweka account number yake binafs anaanza kutafuta hela za mwaka mpya kwaajili ya kula na familia yake na watu wanamchangia kweli hii ni...
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, leo Desemba 29, 2025, akiwa Bunju B jijini Dar es Salaam, amefafanua mjadala unaoendelea mitandaoni kuhusu HAKI na AMANI.
Amesema kuwa HAKI ni jambo muhimu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.