Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,697
- 239,262
Ni wakati akichangia mjadala bungeni ,ambapo aliwashukuru wananchi wa Bukoba mjini kwa kumchagua kwa lundo la kura na kumpatia Halmashauri , pamoja na tuhuma kwamba yeye ni gaidi , na kwamba kuna watu walijiapiza kuthibitisha ugaidi wake duniani na hata mbinguni
Ikumbukwe kwamba ndugu Mwigulu Nchemba aliwahi kujiapiza kwamba anao ushahidi usio na chembe ya mashaka ambao anaweza kuutoa hata mbinguni kuthibitisha ugaidi wa kamanda Lwakatare lakini cha kushangaza ushahidi huo alishindwa kuuwasilisha kwenye mahakama za duniani .