baruti zinazopigwa usiku huu wa mwaka mpya zingepigwa marufuku, zinaleta kumbukumbu mbaya za milio ya risasi ya 29 Oktoba 2025

baruti zinazopigwa usiku huu wa mwaka mpya zingepigwa marufuku, zinaleta kumbukumbu mbaya za milio ya risasi ya 29 Oktoba 2025

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
2,495
Reaction score
7,503
Sikutegemea kama usiku huu wa kuamkua 2026 mwaka mpya utanivuruga kisaikolojia

Nilizoea kufurahia baruti za mwaka mpya lakini kwa mara ya kwanza nimehuzunika

kila ninaposikia milio ya baruti, akili inarudi kwenye milio ya 29 Oktoba mwaka jana
 
Back
Top Bottom