Njia sahihi na salama kabisa ya kurejesha utulivu nchini ni kutafuta mlipo jikwaa nakuondoa hicho kizingiti kilicho fanya mjikwae ,
Kuendelea kudhani kwamba amani na upendo wa taifa vitarejea kwa...
Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ?
Moja ya hoja kuu kuwa hakukuwa na uchaguzo...
Moja ya wizara za kwanza kabisa kuundwa mara baada ya Tanganyika kupata uhuru ni ya vijana, iiitwa "wizara ya utamaduni wa taifa na vijana" (ministry of national culture and youth).
Waziri wa...
Tanzania Kuna kikundi cha watu mitandaoni na kilikuwepo awamu zote tangu awamu ya Mkapa mpaka sasa, kazi yao kuu ni kukejeli na kutukana viongozi wetu. viongozi wetu MSIFE MOYO kwani Kila mtu...
https://www.youtube.com/live/0oisjyeeiTk?si=ZyTQ-O1IFxIhOKkd
MDAHALO KUHUSU UENDESHAJI ENDELEVU WA BANDARI UNAENDELEA PEACOCK HOTEL
Baraza la Wasafirishaji Tanzania (Tanzania Shippers’ Council...
Hamjambo wote!
1. Kama mtanitazama vizuri kwa wale wenye kunijua kidogo mtagundua siko Sawa. Ni kama nimeathirika kisaikolojia hivi. Ni kama mtu niliyepitia au kuona mambo magumu na mabaya.
2...
Sheikh Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke, amewaomba Watanzania kuingia mwaka 2026 kwa kusameheana na kuachana na chuki, akisisitiza kuwa msamaha ni...
January 27, 2001 yalifanyika maandamano yaliyoitishwa na chama kikuu cha upinzani CUF kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa Zanzibar wa Oktoba 2000 uliyompa ushindi mgombea wa CCM Dkt. Amani Abeid...
Leo wamekubali bila chenga kuwa wamefungia X sababu ya maudhui ya ngono! Kampeni ya CCM kutaka kufungia mitandao kabla ya uchaguzi inaenda kutimia.
Ila😂😂🤣 kwahiyo na Insta inafuata, Youtube...
Mambo yanayoendelea SGR ya wananchi kulalamikia huduma ni mchezo unatengenezwa ili Serikali ije na maelezo kuwa TRC haiwezi kusimamia SGR hivyo Serikali imepata mwekezaji atakayeendesha kwa...
Kiufupi,mwenye ID Robert Hariel Mtibeli kasema ni propaganda kusema kwamba matatizo tuliyonayo Tanzania hayatokani na CCM bali yanatokana na malezi na ukoloni mambo leo.
Kusema kwake huko ni...
Kama mjuavyo tunauaga mwaka 2025 kwa kishindo cha Ushindi wa 97.6%. Hivyo kama ilivyo kawaida ya Mheshimiwa kutoa Hotuba ya kuuaga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya. Je Hotuba itarushwa saa ngapi...
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando, ameingilia kati na kutolea ufafanuzi sintofahamu iliyotawala miongoni mwa wakazi wa Goba kuhusu kuondolewa kwa kamera za usalama (CCTV) katika makutano ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuuhutubia taifa kuhusiana na kuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya 2026. Hotuba hiyo itarushwa mubashara kupitia...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, akiongea na wahariri pamoja na waandishi wa habari, leo Jijini Dar es Salaam, amesema maandamano ambayo waandamanaji wanaenda...
Tumetoka kujaza Ile form ya Tume ya uchunguzi wa matukio ya tar. 29
Tumeijaza kabla hatujatawanyika kwenda kwenye majukumu ya kujitafutia riziki hii form siyo ngumu inaeleweka watanzania tujaze...
Jane Flanaga, Africa Correspondent
Sunday December 28 2025, 6.46pm GMT, The Times
Killings, abductions and torture have followed demonstrations over the disputed re-election of Samia Suluhu...
Mwaka 2015 kuna kiongozi mmoja wa CHADEMA ngazi ya Jimbo alikwenda kwenye Kijiji fulani ndani ya Jimbo lake na kukuta uongozi wa Kijiji hicho ni CHADEMA. Akashangaa Sana.
Alipouliza imekuwaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.