Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ndugu zangu,
Kama kawaida baada ya uchaguzi tutakuwa tukipata matokeo moja kwa moja toka kwenye majimbo na kupitia Tume ya Taifa ya uchaguzi. Zifuatazo ni baadhi ya kauli tutakazozisikia kutoka kwa wafuasi wa CHADEMA;
1. "Sitapiga kura tena"
2."Watanzania hawajielewi"
3."Wagombea wa ACT wamesababisha Lema,Sugu,Mbowe,Msigwa,Mdee kuanguka.Zitto ni Yuda"
4."Idara ya habari Chadema ifutwe"
5."Watanzania waoga sana"
6."Sitatuma hela kijijini" utafikiri huwa anatuma
7."Magufuli sio Rais wangu"
8."Tundu sema chochote tuingie barabarani"
9."Siangalii Tv wakati Magufuli anaongea"
10."Mbowe sasa basi"
Unaweza kuongeza na wewe na wale wa jazba karibuni.