Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,216
- 113,510
Baadhi yetu tuliwaambia.
Na tumekuwa tukiwaambia kwa miaka mingi tu.
Lakini mko wagumu kuelewa na mko wasahaulifu sana.
Nisirudi nyuma sana maana nikifanya hivyo mnaweza hata msielewe.
2015 mgombea wenu wa UKAWA aliyakataa matokeo ya uchaguzi, hivyo kupelekea na wafuasi wake nao kuyakataa.
Huyu hapa akiyakataa hayo matokeo:
Sababu kuu ya kuyakataa matokeo hayo ni figisu za NEC ya CCM.
Hakuna la maana lililotokea hapo katikati kati ya mwaka 2015 na 2020.
2020 imefika. Uchaguzi umefanyika. Upinzani umeshiriki. Na CCM imeshinda kwa kishindo.
Upinzani unalia kudhulumiwa.
Hakuna jipya sana.
Kilichopo ni ‘narrative’ ya kwamba walau CCM ingewaonea huruma na kuwaachia hata viti vichache bungeni!
Pitiful. Just pitiful. And you’ve got to pity the fool.
Kama ulivyokuwa ule upepo wa 2015, huu wa 2020 nao utapita tu na watashiriki tena uchaguzi wa 2025.
Naamini mpaka kufikia 2025, watakuwa washayasahau haya ya 2020 maana hivyo ndivyo walivyo!
Na uchaguzi huo wa 2025 ukiisha, tutarudi hapahapa tulipo sasa.