Elections 2015 CHADEMA wakishindwa watasingizia NEC!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Hii ni tabia ya wapinzani toka 1995.
Mwaka huu tume inafanya kazi kwa weledi sana na mpaka sasa hatujaona mapungufu ya NEC ukiacha shutuma za kitoto kutoka kwa Mbowe.

Kwa jinsi NEC inavyoendesha mambo yake katika uchaguzi wa mwaka huu sitegemei CHADEMA kuwasingizia tume kuwa kuna wizi wa kura.
 
tatizo tume inajitakia yenyewe hizo lawama. inapoanza kutengeneza mazingira ya kutoaminika maana yake kuna tatizo. kwa mfano sheria ya uchaguzi inaruhusu watu kukaa umbali wa mita 100 toka kituo cha kupigia kura. kuna haja gani ya tume kuwaambia watu warudi nyumbani baada ya kupiga kura?
 
Hii ni tabia ya wapinzani toka 1995.
Mwaka huu tume inafanya kazi kwa weledi sana na mpaka sasa hatujaona mapungufu ya NEC ukiacha shutuma za kitoto kutoka kwa Mbowe.

Kwa jinsi NEC inavyoendesha mambo yake katika uchaguzi wa mwaka huu sitegemei CHADEMA kuwasingizia tume kuwa kuna wizi wa kura.

Mbowe anakuja na drama za tume huru ya uchaguzi,usalama wa taifa na vilio vya kilasiku.wakati yeye ndie alieamrisha Ukawa wagomee mchakato wa katiba BMK.
 
Hii ni tabia ya wapinzani toka 1995.
Mwaka huu tume inafanya kazi kwa weledi sana na mpaka sasa hatujaona mapungufu ya NEC ukiacha shutuma za kitoto kutoka kwa Mbowe.

Kwa jinsi NEC inavyoendesha mambo yake katika uchaguzi wa mwaka huu sitegemei CHADEMA kuwasingizia tume kuwa kuna wizi wa kura.
kweli wewe ni maku keep be blindly
 
Tatizo viongozi wa Ukawa hawajui na hawajijui wao ninani.

Jukumu la ukawa lilikuwa ni kutuletea Katiba na wala sio kutuletea Lowasa.
 
Mwaka huu kushindwa hakupo tena ccm wajianda kutuachia mdalaka mwaka huu tumejiandaa vya kutosha
 
Ukawa ni umoja wa katiba ya wananchi...sasa mbona ni NI UMOJA WA KUTETEA RICHMOND
 
Kutafutwa rais wa nchi si kama mchezo wa kumbolela. Mchezo wa kombolela unaweza kuvunjwa wakati
wowote na kuanza upya. Lakini si kupatikana rais, au
kiongozi wa kuongoza taasisi nyeti kama Ikulu ya
Tanzania.
 
Hii ni tabia ya wapinzani toka 1995.
Mwaka huu tume inafanya kazi kwa weledi sana na mpaka sasa hatujaona mapungufu ya NEC ukiacha shutuma za kitoto kutoka kwa Mbowe.

Kwa jinsi NEC inavyoendesha mambo yake katika uchaguzi wa mwaka huu sitegemei CHADEMA kuwasingizia tume kuwa kuna wizi wa kura.

Ccm wakishindwa watamsingizia nani??
 
Back
Top Bottom