The conduct of the upcoming elections in Tanzania has important consequences not only for Tanzania, but for the entire East African region. Tanzania’s history of peaceful multi-party elections...
Habari IGP Sirro.
Matumaini yangu nikuwa huwa naamini katika utendaji wako uko makini!
Na mbaya zaidi hiki chombo cha Polisi unakielewa vizuri sana kwa kuzingatia wewe umepitia ngazi mbali mbali...
Wanabodi, kama heading inavyosomeka:
TLS- Tanganyika law society na wanasheria wengine, tuleteeni Test case dhidi ya NEC jinsi walivyooendesha uchaguzi huu chonde chonde.
Tunafahamu kwamba...
Ndugu Rais, nakusalimu.
Awali ya yote ninakupongeza kwa dhati kabisa kwa kuchaguliwa kwako kwa kishindo kuingoza tena Tanzania kwa miaka mingine mitano. Ushindi huo sio bahati mbaya. Watanzania...
Vurugu na ukatili wa Vyombo vya Dola ni sehemu muhimu ya Serikali za kidikteta katika kupambana na wapinzani wao kwa kisingizio cha kulinda amani na usalama. Kuna kila dalili maandamano...
Kwa yanayoendelea nashauri Wanasiasa wapumzike kabisa na wapige kimya, Mbowe na Wakina Zitto wote wapige kimya make haiwezekani wahangaike peke yao huku sisi tukiwa kwenye keyboard tu.
Vizazi...
Wasalaam wajumbe!
Ninawaomba sana upinzani katika nchi hii utambue kua mabadiliko ya mifumo ya kiutawala iliyojaa uonevu na ukoloni hayatafanywa na CCM. Hiki chama kilichobakisha sasa ni kugawana...
Katika viongozi ambao wamepitia katika changamoto nyingi miaka mitano iliyopita ni Freeman Mbowe anashika nafasi ya pili baada ya Tundu Lissu.
Tukianza na kwamba ameharibiwa biashara zake...
Waandishi wa habari wa Tanzania wamekuwa vituko. Hawajui kuuliza maswali, hawajui kuhoji na wameweka ushabiki mbele kuliko Tanzania. Kumpenda Magufuli au kiongozi yeyote wa Upinzani haina maana...
Niko hapa nimekutana na "jamaa" yangu aliyekua msimamizi mkuu wa kituo.
Daah!
Yani nna hasira kweli kweli! Hivi inakuaje mmekula kiapo tena kwa kushika biblia alafu unarudi kituoni mnafanya...
ITV habari saa2 , Wafuasi wapatao 20 wa CHADEMA Singida wamefikishwa mahakamani kwa makosa 3 mkusanyiko usio halali. Nimependa tabasamu lao na tumaini lao kwa mageuzi wakiwa mahakamani hakika...
Uchaguzi umekwisha.
Kwa jimbo la Kawe, Gwajima ndio kidedea kwa miaka mitano ijayo. Sasa Askofu Gwajima kaa chonjo, waingereza husema, you should hit the ground running.
Yule dada Halima...
Habari wana JF, poleni kwa pilikapilika nyingi za maisha. Leo kuna jambo nimeona niliongelee kwa upana zaidi. CHADEMA kwa sasa ni taasisi kubwa sana hivyo ni wajibu wa viongozi na wanachadema...
ANAANDIKA MH.TUNDU LISSU
-------
Waheshimiwa viongozi salaam. Mimi na timu yangu ya kampeni tuko Kilimanjaro International Airport tangu saa nne asubuhi. Tulikuja kuweka mafuta kwenye chopper...
Kwa cheo chake, kwenda hadharani, njiani kwenye miradi ya serekali kutoa hela mbele.ya umati nikuonyesha nini?
Kuna ustawi wa jamii namafungu yao na vyombo na taasisi na wizara husika kuyafanyi...
Watanzania wenzangu, napenda kutoa angalizo muhimu sana. A political mercenary is a gun for hire!
Tufanyeni makosa mengine yote tunayoweza kufanya, lakini shime shime tusije tukaingia kwenye...
I enjoyed talking with NCCR-Mageuzi’s James Mbatia and hearing his insights gained from 30 years in Tanzanian politics. I hope to meet with candidates and leaders from ALL PARTIES to share...
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Prof Ibrahim Lipumba, ametangaza kuwa kutokana na uchaguzi mkuu ulivyoendeshwa nchini, chama hicho hakitashiriki uchaguzi wowote na badala yake kitajikita...
Kwasababu kwa kiasi kikubwa kura ya turufu katika uchaguzi huu walikuwa nayo wasimamizi wa uchaguzi na askari polisi, narudia wito wangu tena kwa viongozi wa upinzani kuacha kujihangaisha kuongoza...