Unapoibiwa lakini usilalamike

Unapoibiwa lakini usilalamike

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,771
Reaction score
46,063
Kwamba upinzani hawakuibiwa? Nani asiyejua?

Kwa amani na usalama wa nchi yetu wanatakiwa wasipige kelele wala kulalamika juu ya kuibiwa kwao? Vinginevyo kesi za ugaidi na utakatishaji pesa zitawahusu?

Je, CCM hawakujua kuwa wapinzani walifahamu kuwa bila tume huru haya yangeweza kuwafika?

Kwamba CCM walikwenda kiasi walichokwenda? Si kuwa kama ni faulo basi hata mtoto mdogo kaona?

Kwa mwendelezo huu CCM wanadhani kuna yeyote atakubaliana na hali kama hii leo au hata kesho?

Kama wapo bado wenye busara, ilikuwa ni muda muafaka kwa CCM kutambua kuwa, kama amani ni kitu muhimu kwao Na kwetu kama taifa, kubadilisha mwelekeo wao kuhusiana na sintofahamu ya uchaguzi huu na bila ya kuchelewa mno lilikuwa jambo la dharura sana.

Kina Mbowe, Lema, na wenzao si magaidi bali ni wahanga wa wizi ambao wao ni baadhi tu ya wengi wanaopaza sauti zao sasa na hata wanaendelea hivyo kesho.
 
Cc: bashiri, mambosasa na wenzenu.
 
We choose hope over fear. Unity over division. Science over fiction and truth over lies.

If you choose ccm you choose, fear, division, fiction and lies.

Ni taifa la ajabu tu linaloweza kushabikia utengano dhidi ya umoja.

Pole sana Tanzania.
 
Kwamba upinzani hawakuibiwa? Nani asiyejua?

Kwa amani na usalama wa nchi yetu wanatakiwa wasipige kelele wala kulalamika juu ya kuibiwa kwao? Vinginevyo kesi za ugaidi na utakatishaji pesa zitawahusu?

Je, CCM hawakujua kuwa wapinzani walifahamu kuwa bila tume huru haya yangeweza kuwafika?

Kwamba CCM walikwenda kiasi walichokwenda? Si kuwa kama ni faulo basi hata mtoto mdogo kaona?

Kwa mwendelezo huu CCM wanadhani kuna yeyote atakubaliana na hali kama hii leo au hata kesho?

Kama wapo bado wenye busara, ilikuwa ni muda muafaka kwa CCM kutambua kuwa, kama amani ni kitu muhimu kwao Na kwetu kama taifa, kubadilisha mwelekeo wao kuhusiana na sintofahamu ya uchaguzi huu na bila ya kuchelewa mno lilikuwa jambo la dharura sana.

Kina Mbowe, Lema, na wenzao si magaidi bali ni wahanga wa wizi ambao wao ni baadhi tu ya wengi wanaopaza sauti zao sasa na hata wanaendelea hivyo kesho.
Hebu tuache kwanza, makelele yamekua mengi
 
Kwenye hili kwakweli vyombo vya dola vimetusaliti watanzania kwa kiasi kisichotarajiwa. Pamoja na vurugu la wizi wa kura linalofanyika wakati wa uchaguzi hakuna aliyekuwa anategemea vyombo vya dola vitaona mabegi kura ambazo zimeshapigwa bila kuchukuwa hatua zozote. Maana yake wizi ulibarikiwa na wao. Ndiyo maana siyo rahisi kuona waliohusika kukabiliana na mkono wa sheria
 
Hebu tuache kwanza, makelele yamekua mengi

Hata mamboleo, jiwe, malb7, mataga, bashiri, chakubanga na ndugu zao wanasema tuache kwanza.

Kwao hilo watusamehe. Tutawapigia ukulele wa mwizi relentlessly!
 
Back
Top Bottom