Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari za humu wanajamii, Kwanza nipende kumshukuru Mungu kutufikisha hapa mpaka leo. Ni wazi kabisa katika uchaguzi uliopita haki ya Watanzania imedhulumiwa na kuporwa na watu wasio na utu hata...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Mimi ni Mwana CHADEMA ila msema ukweli na ukweli unampa mtu uhuru. Uchaguzi umeisha ila tumeshuhudia mambo mabaya sana hasa huko Zanzibar Pemba. Tumeshuhudia picha za maiti zikiwa zinatisha na...
3 Reactions
49 Replies
4K Views
Kuna tetesi kwamba James Mbatia (Mwenyekiti NCCR-Mageuzi) atateuliwa na Mh. Rais Magufuli kuwa Mbunge. Huyu bwana alishaonekana kuwa upande wa Serikali ya CCM toka alipomtembelea Rais Ikulu...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Ikiwa imebaki masaa kidogo tu Rais Magufuli kwenda kuapishwa tena kuwa Rais kwa awamu ya pili mkoa wa Dodoma.( 2020 - 2025)
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwenye uchaguzi uliofanyika 28/Oct kweli nilikua natarajia Magufuli atashinda japo siyo kwa % nyingi kama alizokua anatamka Polepole na zilizotangazwa kumpa ushindi. Hivyo sijaona maajabu hapa kwa...
11 Reactions
32 Replies
4K Views
Sijajua utaratibu wa Nccr mageuzi ukoje namna ya kumchagua KUB kama watafanikiwa kuwa chama kikuu cha upinzani. Kama wanatumia utaratibu kama wa Chadema basi Mbatia akishinda ubunge ndiye atakuwa...
4 Reactions
53 Replies
5K Views
Habari Wanabodi Kwanza ningependa kuwapongeza CCM kwa kutwaa viti vingi vya ubunge. Na Kile kiti kikubwa kabisa cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Visiwani Zanzibar. Bila shaka...
10 Reactions
14 Replies
2K Views
Amani ya bwana iwe kwenu wandugu! Nimesikitishwa sana na viongozi wa madhehebu mbali mbali nchini kukaa kimya bila kutamka chochote juu ya hali ya uchaguzi ilivyo mpaka sasa. Viongozi hawa...
20 Reactions
57 Replies
5K Views
1. Vyama vingi kama sio vyote vya upinzani havina mizizi ngazi za chini badala yake vina majina makubwa ya viongozi pale juu wanaofanya propaganda kubwa. 2. Hakuna tafiti za kina zinazofanyika...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Nyumbani tuna amani. Tuna furaha isiyo kifani kwa sababu yule mbwa mbwekaji aliyekata usingizi wetu tumemuua! Hatutaki kelele. Wezi waje au wasije- hilo halituhusu. Raha ya familia ni pana kweli...
7 Reactions
5 Replies
922 Views
Mtafiti Mkuu Tanzania kupitia taasisi ya Redet Prof Mukandara amesema uangalizi wa taasisi yake umegundua uchaguzi ulikuwa huru na wa haki. Prof Mukandara amesema 44% ya waangalizi wake wamesema...
7 Reactions
78 Replies
8K Views
Ifike mahala Watanzania tujifunze kitu kutokana na chaguzi zetu na tukubaliane katika mambo ya msingi ili kuepuka madhara yanayoweza kutokea kwa kusababishwa na kukosekana kwa muafaka wa kitaifa...
1 Reactions
3 Replies
798 Views
Hapo mwanzo ilikuwa ukisema CHADEMA itakufa kifo cha mende walikuwa wanabisha lakini leo watu wanamaliza tanga ndugu kwa kuandaa maandamano ya kumsindikiza marehemu ambaye alianza na Mungu na...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Nianze kwa kusema democracy sio kuondoa chama fulani madarakani ama lazima kuondoa vyama vikongwe vilinavyotawala tangu taifa husika lianze hadi sasa. Democracy sio kuwa chama fulani kisikae...
11 Reactions
104 Replies
8K Views
Ni kweli kuwa CCM ni chama kikongwe Afrika. Kitendo cha vijana wadogo akina Malema na wenzake akina Mbuyiseni Ndlozi kwa kushirikiana na wenzao akina Mnyika na Zitto kutaka kupambana na vyama...
33 Reactions
143 Replies
15K Views
Nichukue Fursa Hii kukupongeza Dokta John Joseph Pombe Magufuli kwa ushindi wa Kishindo wa 84% ya kura zote. Nikupe pole kwa uchovu wa hekaheka za kampeni kwa Siku 60 wakati pia ukitekeleza...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Ukimwangalia ZITO tabia ya usaliti alianza nayo toka zamani tangu enzi akiwa CHADEMA mabeberu wake walikuwa ni Serikali ya Kikwete iliyokuwa inamtumia kula hela zaidi Alipoingia Magufuli alijua...
4 Reactions
57 Replies
5K Views
Mkuu wa Mkoa huo, Godfrey Zambi, ameyaeleza hayo mjini Lindi, alipokuwa akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusiana na uharibifu uliofanywa wakati wa uchaguzi mkuu Oktoba 28, mwaka huu. Watu...
24 Reactions
102 Replies
15K Views
To cut to the chase, Lissu kapata kura ambazo hazifiki hata 2 million. Kama Lissu ni mshindi, maana yake Magufuli amejaziwa kura za bandia zaidi ya 10 million. Registered voters ni chini ya 30...
54 Reactions
281 Replies
23K Views
Uchaguzi umekwisha na matokeo yaneshatoka (yawe halali au sio hilo sio dhumuni la post hii). Lakini kuna maeneo bado kuna manung'uniko makubwa, na hapa ntazungunzia kwa sehemu nilisikia na kuona...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…