TANZIA Mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT-Wazalendo, Aboubakar Khamis Bakar afariki dunia mjini Zanzibar

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
May 5, 2014
602
1,526
Kwa uchungu mkubwa nawajulisha kuhusu msiba mkubwa tuliopata wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama na Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili Maalim Abubakar Khamis Bakar. Tangu walipompiga risasi chini ya miguu usiku wa tarehe 28/10/2020 hakuwa sawa mpaka mauti. Inna lillah waina ilaih raajiun

Kiongozi wa Chama
Zitto Kabwe

Khamis.JPG
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom