TANZIA Diwani mteule wa kata ya Kinuni iliyopo Zanzibar, Suleiman Mohamed Hassan afariki dunia

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Diwani mteule wa kata ya Kinuni iliyopo Zanzibar, Suleiman Mohamed Hassan amefariki dunia juzi na kufanya idadi ya madiwani waliofariki dunia baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28 kufikia wanne.

Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi wa CCM kwa upande wa Zanzibar, Catherine Peter Nao amesema diwani huyo alifariki ghafla baada ya kuanguka nyumbani kwake na kupelekwa katika Hospitali ya Altabib.

Hata hivyo, Hassan alifariki dunia muda mfupi baadaye akiwa katika hospitali hiyo.
 
Ni kwamba, Udiwani, ubunge na hata nafasi nyingine yeyote, sio kinga ya kifo!!

Kifo kipo tangu Adamu wa kwanza

RIP diwani
 
Wapemba kusoma halalbadri ya nguvu kuongeza kasi ya maombi yao na kuwapukutisha washindi wa uwongo wa tume,yaani ccm hawana amani wanayavhungulia mauti.
 
diwani+pic.jpg

Diwani mteule wa kata ya Kinuni iliyopo Zanzibar, Suleiman Mohamed Hassan amefariki dunia juzi na kufanya idadi ya madiwani waliofariki dunia baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28 kufikia wanne.
 
Wapemba kusoma halalbadri ya nguvu kuongeza kasi ya maombi yao na kuwapukutisha washindi wa uwongo wa tume,yaani ccm hawana amani wanayavhungulia mauti.
Ujinga wako ndio mtaji wa kina ZITTO
 
Back
Top Bottom