Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Saashisha Elinikyo Mafuwe ameshinda kiti cha ubunge Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro baada ya kumshinda mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe. Je, Saashisha Mafuwe ni nani? Naomba mwenye profile yako...
2 Reactions
38 Replies
6K Views
Kuna jambo ambalo ninaliwaza. Najua kwamba Mheshimiwa Rais anazo nafasi kumi za uteuzi wa wabunge kikatiba.Najua pia kwamba anao uhuru wa kuteu mtu yeyote kwa nafasi hizo bila kuulizwa.Katika...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Barua ya wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe Dkt. John Pombe Magufuli. Kwako Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Natumai unaendelea vizuri na shughuri zako za kila...
13 Reactions
54 Replies
6K Views
Leo 11:35hrs 07/11/2020 Matokeo ya uchaguzi wa Marekani yametusaidia kuondoa ujinga wa Chadema, Matokeo ya Uchaguzi wa Marekani is a "score" to us Tanzanians and Our President John Pombe...
4 Reactions
45 Replies
5K Views
Kuna taarifa zinasambaa kuwa CHADEMA hakitachagua wabunge wa viti maalumu kwenye uchaguzi huu huku wakijua kabisa kuwa ipo kisheria. Kutochaguliwa wabunge waliokuwa wabunge miaka 10 kutoka...
13 Reactions
171 Replies
15K Views
Kuwepo kwenu bungeni ni muhimu sana like never before. Kama kweli mpo kwa ajili ya kupigania uhuru wa kweli kutoka kwa wakoloni wazawa basi ni vyema mpeleke hao wabunge 19 bungeni. Sauti zao...
17 Reactions
244 Replies
16K Views
Nchi yetu iko katika mfumo wa vyama vingi kama inavyobainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1) Kwa Bahati mbaya sana, ingawa Katiba ya nchi inatamka hivyo...
12 Reactions
74 Replies
6K Views
Kwa sasa mtu mwenye ushawishi mkubwa na mwenye uwezo was kuleta mageuzi ni mheshimiwa rais John pombe Magufuli kwani hakuna kikundi Wala taasisi wala mtu mwenye nguvu zaidi yake katika Siasa na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Zitto Kabwe amewashutumu viongozi wa upinzani walioenda kwenye sherehe za uhuru, Mwanza na kupanda jukwaani kuomba maridhiano ya kisiasa kwa Rais Magufuli. Ametoa shutuma hizo kupitia mitandao ya...
19 Reactions
445 Replies
44K Views
Kada mkongwe wa CHADEMA na msaidizi wa Lema jijini Arusha anayejulikana kwa jina la Kadogoo anasema haamini kama Lema kakimbilia Kenya. "Mimi ndiye niliyempa Lema jina la Mandela baada ya kukaa...
9 Reactions
52 Replies
4K Views
Kitendawili cha kumpata Waziri Mkuu wa Tanzania baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, mwaka huu, kitatenguliwa kesho. Ama atateuliwa Kassim Majaliwa aliyemaliza muda wake kwa kipindi cha kwanza...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi, Dkt. Hussein Mwinyi amezindua Baraza la Kumi la Wawakilishi Katika uzinduzi huo amewaomba wajumbe kutoa ushirikiano kwa serikali na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
TAREHE: 11 NOVEMBA, 2020 Mheshimiwa Zubeir Ali Maulid; Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar, Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla; Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Omar Othman...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Chama tawala nchin Zimbabwe cha ZANU PF kimeitaka nchi ya Marekani kuacha kuingilia mambo ya Tanzania kwani nchi hiyo ni huru. Source: CRI kiswahili ======== ZIMBABWE ruling party ZANU-PF has...
9 Reactions
53 Replies
6K Views
Kwanza niwe muwazi kabisa mimi ni muumini wa kufuata na kutii sheria bila shuruti, Na katika vyama vya upinzani wabunge wa chadema huwa nawakubali baadhi yao katika kuikumbusha, kuishauri na...
4 Reactions
59 Replies
5K Views
Namsifu sana huyu waziri asiyependa majivuno, hana vijembe hakika huyu ndiye anastahili kupewa wadhifa mkubwa na kutupeleka inchi ya maziwa na Asali. Tatizo ni chama kilichomlea na wastaafu...
27 Reactions
267 Replies
30K Views
Ndugu zangu, Tuseme tu ukweli hakuna mfuasi yeyote wa CHADEMA mwenye akili hata asilimia moja ya alionayo Mbowe. Mbowe hutoa hela zake mfukoni ili kukiendesha chama, yaani ni mwenye upendo wa...
5 Reactions
79 Replies
6K Views
Kama miujiza ingekuwa jambo la kujiamuria,ningeamuru mara moja mimi Upendo Furaha Peneza niwe mwanachama wa TANU YOUTH LEAGUE. Niwe miongoni mwa kina Nyerere,Sykes,Kawawa nk nishiriki agenda nzito...
9 Reactions
19 Replies
3K Views
Tanzania ni taifa ambalo limezidi kuwashangaza wengi ambao hawalijui kwa undani. Hakuna suala ambalo limeshangaza wengi duniani kama mbinu iliyotumika nchini ili kupambana na janga la korona...
15 Reactions
77 Replies
6K Views
Kama Membe ambaye hakufanya kampeni na mwishoe alijitoa kwenye uchaguzi ameshika nafasi ya 3 ina maana angefanya kampeni angekuwa namba 2 akimzidi Tundu Lissu wa CHADEMA. Napendekeza uchaguzi wa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…